Denis Nyali

Denis Nyali Jina langu naitwa Denis Nyali Afisa Utawala katika kituo cha Nuru FM kinachopatikana mkoani iringa,

Mbasha Azua Gumzo Kuoa Mwanamke wa Bar
08/09/2024

Mbasha Azua Gumzo Kuoa Mwanamke wa Bar

Hii Hapa Idadi Ya Waimbaji Wanaotazamwa Zaidi Nchini Tanzania Kupitia Youtube
19/04/2024

Hii Hapa Idadi Ya Waimbaji Wanaotazamwa Zaidi Nchini Tanzania Kupitia Youtube

...

18/04/2024

NINA KUOMBEA UWE BABA BORA NA UWE MUME BORA MUWEZE KUDUMU KWENYE NDOA YENU K**A ILIVYO YANGU - MAJANI (BABA PAULA)...

Kutoka kwenye shughuli ya Baby Shower yake Paula na Marioo, kumeibuka maneno baada ya Baba Mkwe wa Marioo (Producer Majani) kumpa ujumbe mzito Marioo ambaye anatarajia kumletea mjukuu wa k**e Bwana Majani pamoja na Bi. Kajala.

"Omari Ninakuombea Uwe Baba Bora Na Uwe Mume Bora Muweze Kudumu Kwenye Ndoa Yenu K**a Ilivyo Yangu Ina Miaka 14 Hivi Sasa", nukuu kutoka kwa ambaye ameongea hayo yote akiwa mubashara kupitia kituo cha habari cha EFM

📷

Kwa habari zetu nyingi zaidi tembelea tovuti yetu www.msasamedia.com

Address

Iringa

Telephone

+255717667442

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Denis Nyali posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Denis Nyali:

Share