Nyang'hwale Tv

Nyang'hwale Tv Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nyang'hwale Tv, Media/News Company, Nyang'hwale, Geita.

MKUTANO WA BARAZA MAALUM LA MADIWANI SIKU YA KWANZA KUJADILI RASIMU YA BAJETI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG'HWALE KW...
24/01/2025

MKUTANO WA BARAZA MAALUM LA MADIWANI SIKU YA KWANZA KUJADILI RASIMU YA BAJETI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG'HWALE KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

https://youtu.be/V_SxEK25e5I
27/08/2024

https://youtu.be/V_SxEK25e5I

HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG'HWALE MKOANI GEITA IMEANZISHA MPANGO MAALUM WA KUWATEMBELEA WANAFUNZI MASHULENI KWA LENGO LA KUWAPATIA ELIMU JUU KUJILINDA NA ...

https://youtu.be/vs2J-w5Q89g KIJANA MARCO NHINDA ALIYEDAIWA KUFIA DUARANI MACHIMBONI,ASIMULIA MAZITO BAADA YA KUKUTWA HA...
24/08/2024

https://youtu.be/vs2J-w5Q89g KIJANA MARCO NHINDA ALIYEDAIWA KUFIA DUARANI MACHIMBONI,ASIMULIA MAZITO BAADA YA KUKUTWA HAI MGODI MWINGINE

MKUU WA WILAYA YA NYANG'HWALE MHE.GRACE KINGALAME,AMEHUTUBIA BARAZA LA MADIWANI WILAYANI NYANG'HWALE 21/8/2024, AMEWAONY...
22/08/2024

MKUU WA WILAYA YA NYANG'HWALE MHE.GRACE KINGALAME,AMEHUTUBIA BARAZA LA MADIWANI WILAYANI NYANG'HWALE 21/8/2024, AMEWAONYA BAADHI YA WATUMISHI AMBAO HAWATAKI KWENDA NA KASI YA DOKTA SAMIA SULUHU HASSAN,AIDHA KINGALAME AMESEMA RAIS SAMIA ANAFANYA KAZI KUBWA USIKU NA MCHANA,HALALI WEWE UNAPATA WAPI USINGIZI!?""BADO KUNA BAADHI YA WATU WACHACHE WANANIJARIBU,KUNA MAENEO BADO KUNA CHANGAMOTO YA UZEMBE,"NAOMBA NIWAAMBIE SINTOLEGEZA KAMBA KAMWE!SIWEZI KUVUMILIA KUONA MTU YOYOTE ANAMKWAMISHA RAIS WETU KWA NAMNA YOYOTE,TUTAWASHUGHULIKIA, IKIBIDI KIJESHI MPAKA WATANYOOKA,AU WATUPISHE MAPEMAAA,TUNAKWENDA KWA KASI YA SGR,"PIA AMEWATAKA WATUMISHI WA KADA ZOTE KUWASAIDIA WANANCHI AMBAO NDIO WAAJILI WETU NA SI VINGINEVYO!....

MKUU WA WILAYA YA NYANG'HWALE MHE.GRACE KINGALAME,AMEHUTUBIA BARAZA LA MADIWANI WILAYANI NYANG'HWALE 21/8/2024, AMEWAONYA BAADHI YA WATUMISHI AMBAO HAWATAKI ...

01/05/2024
MHE,HUSSEIN NASSOR (KASSU)AKIONGEA KATIKA MKUTANO WA PILI WA  BARAZA LA MADIWANI 29/02/2014 KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI...
02/03/2024

MHE,HUSSEIN NASSOR (KASSU)AKIONGEA KATIKA MKUTANO WA PILI WA BARAZA LA MADIWANI 29/02/2014 KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA NYANG'HWALE,MHE,HUSSEIN AMEMPONGEZA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA NYANG'HWALE BI,HUSNA TONI KWA JITIHADA KUBWA ZA USIMAMIZI WA MIRADI HUSUSAN USIMAMIZI MZURI WA UJENZI WA JENGO LA HALMASHAURI YA NYANG'HWALE ,HUSSEIN AMESEMA,NI JUKUMU LA KILA KIONGOZI/MTUMISHI WA SERIKALI,MBUNGE NA MADIWANI WA HALMASHAURI KUWAJIBIKA KWA KUTIMIZA WAJIBU IPASAVYO ILI KUWATUMIKIA WANANCHI KWA KUWASIKILIZA NA KUTATUA KERO ZAO KWA WAKATI KWANI WAO NDIO WAAJIRI WETU "NAWAOMBA SANA TUSITUMIE MUDA MWINGI KUKAA MAOFISINI KWENYE VIKAO NA BADALA YAKE TUTUMIE MUDA MWINGI KUWAFUATA WANANCHI NA KUWASIKILIZA KWA MAKINI,HII NDIO NJIA NZURI YA KUMSAIDIA DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AMBAE AMETUAMINI K**A WATAALAM KATIKA NAFASI ZETU" ,KATIKA HATUA NYINGINE KASSU AMEIOMBA OFISI YA MKUU WA WILAYA YA NYANG'HWALE KUFUATILIA KWA KARIBUSUALA LA MITETEMO INAYOSABABISHWA NA MGODI WA BULYANHULU AMBAPO BAADHI YA WANANCHI WAMERIPOTI MARA KADHAA KUATHIRIKA NA MILIPUKO HIYO,

Address

Nyang'hwale
Geita

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyang'hwale Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nyang'hwale Tv:

Share