06/09/2024
Makamu wa Rais wa klabu ya Young Africans Sports Club Arafat Haji leo amemtembelea mchezaji wa Yanga Farid M***a baada ya kufanyiwa upasuaji wa misuli iliyochanika nyuma ya goti na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi miwili hadi mitatu