Matangazo online

Matangazo online Ukurasa Maalumu kwaajiri ya KUTANGAZA MATANGAZO MBALIMBALI.....Karibuni sana... Utangaze nasi.

JIUNGE UJIFUNZE NAMNA YA KUTANGAZA NA KUKUZA BIASHARA YAKO IFIKIE MAMILIONI YA WATEJA �
GHARAMA NI SHILINGI: 5000 TUU.�

https://www.facebook.com/groups/585237179506346/?ref=share

06/08/2023
23/07/2023

Tangaza biashara yako nasi
Ufikie Maelfu ya Wateja.
(Sponsored ads)
Biashara ni MATANGAZO

22/07/2023

GHARAMA YA KURUSHA MATANGAZO BORA KABISA AMBAYO YANAONEKA NCHI NZIMA (Sponsored Ad).

Uzuri wa Matangazo haya yanafanya biashara yako itambulike zaidi na ikue Kwa wepesi na Haraka zaidi nchi nzima Kwa gharama kiasi.
Ulimwengu huu n wa kidigitali Maelfu ya watu wanamiliki simu na wako Mtandaoni Kila siku na Muda wote.

Hivyo tumia nafasi hii kutengeneza pesa katika biashara yako
fahamu kuwa huwezi pata fedha bila kutumia fedha,(No investment No Money) bila kuwekeza ama kutumia fedha Huwezi kupata fedha.
Nakusihi k**a Unadhamira ya dhati kabisa ya kukua na kuendelea kibiashara na kuwa Mtu Mwenye Mafanikio Kwa kile Unachokifanya Usiache furusa hii...Chagua tangazo la Uwezo wako Lipia na Uone Maajabu (Mabadiliko Makubwa) katika biashara yako na pochi yako.

Karibu...👇

2. TANGAZO LA SIKU MBILI.


ii. Gold. 20000.


3. TANGAZO LA SIKU 3.

i. Silver. 25000.

4. TANGAZO LA SIKU 4.

i. Gold. 30000.

5.TANGAZO LA SIKU 5.

i. Gold. 40000

6. TANGAZO LA SIKU 6.

i. Gold. 50000.

7. TANGAZO LA WIKI 1.

i. Gold 70000

8. TANGAZO LA WIKI 02

i Diamond. 120000.

9. TANGAZO LA WIKI 03.

i. Silver. 160000.

9. TANGAZO LA WIKI 04.

iv. Star. 250000

10. GALAXY BUDDLE(MWEZI MMOJA).

i. Diamond •500000.

ii. Star. •800000.

iii. Tanzanite. •1000000.

Karibu:
WASILIANA NASI KWA NAMBA
ZIFUATAZO TUKUHUDUMIE.
0745 - 95 57 68
Call/text/WhatsApp.

20/07/2023
15/07/2023

Hi

04/03/2023

Tangaza Biashara yako nasi ifikie Maelfu ya watu.

05/01/2023

Biashara ni Matangazo
Jitangaze Kila kukicha na Tafuta njia Lukuki za kutangaza na kukuza biashara YAKO
Biashara

07/09/2022

Ongeza Thamani katika biashara ama Huduma Unayotoa.
Itakukuza Maradufu zaidi.

Ongeza ubunifu Katika biashara yako
03/09/2022

Ongeza ubunifu Katika biashara yako

SABABU SITA (6) ZINAZOWEZA KUMPOTEZA  MTEJA AU KUMKERA KATIKA BIASHARA. Muda mwingine unaweza ukajiuliza kwa nini mteja ...
15/08/2022

SABABU SITA (6) ZINAZOWEZA KUMPOTEZA MTEJA AU KUMKERA KATIKA BIASHARA.

Muda mwingine unaweza ukajiuliza kwa nini mteja au wateja Fulani siku hizi huwaoni katika biashara yako, unaanza kumtafuta mchawi ni nani katika biashara yako kumbe mchawi ni wewe mwenyewe ambaye unaweza ukawavuta wateja wengi au mteja au ukaongeza mteja ,wateja katika biashara yako hii inatokana tu na jinsi gani unatoa huduma yako na kumhudumia mteja pia.
Leo tutaangalia ni sababu gani ambazo zinaweza kusababisha kumpoteza au kumkera mteja wako nazo ni:

1. Kuchelewa Kufungua Biashara.

Kuna baadhi ya wamiliki wa biashara wanachelewa kufungua biashara na unakuta mteja anahitajia kupata huduma mapema Ukilinganisha na muda wako ambao unafungua biashara sababu hii inaweza ikampoteza mteja au kumkera k**a tabia yako wewe kila siku ni kuchelewa mteja anakusubiri katika eneo la biashara badala ya wewe kumsubiri mteja sababu inaweza ikapelekea kumkera au kumpoteza mteja wako.

2. Kufanya Biashara kwa Mazoea/ Kujisikia.

Unapokuwa umeamua kufanya biashara basi fanya kila siku bila mazoea au kujisikia kuna wafanyabiashara wengine wanafanya biashara kwa kujisikia au kwa mazoea kwa mfano, leo anaweza kufungua kesho kafunga sasa tabia k**a hii inaweza kumsababishia mteja kupata kero na kukuhama kabisa ukiamua kufanya biashara fanya kila siku bila kukata tama bila kujali siku yaani siku Fulani kuna wateja na siku Fulani hakuna wateja hivyo basi unaamua kutofanya biashara kwa hiyo acha kufanya biashara kwa mazoea.

3. Kuacha Biashara peke yake.

Kuna tabia ya wafanyabiashara wanaweza kufungua biashara yao na kuacha peke yake anazungukazunguka au kwenda sehemu kupiga stori huku akiacha biashara yake wazi mteja akija anapata shida ya kumtafuta mtoa huduma unafikiri k**a kuna sehemu nyingine ambapo mteja huyu anaenda na kumkuta mtoa huduma yuko katika eneo lake la biashara kila siku je ataweza kushawishika tena kurudi kwako? K**a sehemu nyingine anahudumiwa vizuri?

4. Kuwa na Lugha/Kauli mbaya.

Unapokuwa unafanya biashara unatakiwa uwe na kauli nzuri ambazo zitamvutia mteja kuja kwako kupata huduma. Kuna wateja wengine ndio wanaweza kuwa na kauli mbaya lakini wewe hupaswi kuwa na kauli mbaya hupaswi kumjibu kwa lugha mbaya soma saikolojia ya mteja au wateja wako muudumie kwa upendo, kwa ukarimu wa hali ya juu ili siku nyingine arudi tena kwako. Kwa hiyo kauli mbaya ni moja ya sababu ambazo zinaweza kukuletea matokeo hasi katika biashara yako. Chunga sana ulimi wako katika biashara.

5. Kutopenda Biashara yako.

Kuna wafanyabiashara wengine wanatoa huduma k**a vile wamelazimishwa kufanya biashara hiyo. Kutopenda kazi yako ni moja sababu zitakozomfanya mteja naye asivutiwe na biashara yako. Kuwa na uso wa furaha mchangamkie mteja ongea naye vema katika lugha ya ushawishi onesha jinsi gani unaipenda kazi yako, unafanya kwa moyo na juhudi zote huwezi kumpoteza mteja wako. Kwa hiyo ili ufanikiwe katika jambo Fulani penda kwanza hicho unachokifanya kwa moyo wote.

6. Kubadilisha bei mara kwa mara.

Katika kila bidhaa unayouza mfano duka kuna kuwa na bei elekezi ya vitu unavyouza kwa bei ya jumla au rejareja. Sasa kuna baadhi ya wafanyabiashara wanauza kwa bei ya juu sana ili kupata faida ya juu hapa unakuwa unamlangua mteja na kumkatisha tamaa tena ya kurudi kwako kupata huduma, kwa hiyo unapofanya biashara usiwe mtu wa kubadilisha bei mara kwa mara leo mteja akija bei nyingine kesho bei nyingine itamfanya akose imani na wewe na kukukimbia kabisa................................................................................................................................

TANGAZA BIASHARA YAKO
13/08/2022

TANGAZA BIASHARA YAKO

Karibu tutangaze biashara Yako
05/08/2022

Karibu tutangaze biashara Yako

MAFUNZO YA KOMPYUTA NA TEHAMAKwa kutambua umuhimu wa technolojia na TEHAMA katika nchi ya Tanzania, Benjamini Runga Foun...
04/05/2022

MAFUNZO YA KOMPYUTA NA TEHAMA

Kwa kutambua umuhimu wa technolojia na TEHAMA katika nchi ya Tanzania, Benjamini Runga Foundation imeanza kutoa mafunzo ya muda mfupi ya "Basic concepts of computer" yatakayohusisha:-

i. Introduction to Computer
ii. Introduction to Microsoft Office
iii. Introduction to Microsoft Excell
iv. Introduction to the Internet

MUDA WA KOZI: Wiki Moja, kuanzia Mei 9 - 13

Unaweza kuchagua kipindi cha asubuhi au jioni kulingana na nafasi yako.

Asubuhi: Saa 4:15 asubuhi - 6:15 Mchana
Jioni: Saa 10:15 Jioni - 12:15 Jioni
Eneo: BRF Computer Lab (Sakina)

Kwa maulizo na kujisajili piga simu:+255 754 449 568

Mwisho wa kozi kutakuwa na cheti cha ushiriki.

HAKUNA MALIPO

TUNATANGAZA  BIASHARA  ni platform ambayo ipo kwaajili ya kutoa Huduma ya Matangazo Mbalimbali Mtandaoni.           Tupo...
01/05/2022

TUNATANGAZA BIASHARA ni platform ambayo ipo kwaajili ya kutoa Huduma ya Matangazo Mbalimbali Mtandaoni.
Tupo kwaajili ya kutangaza fursa, kazi, biashara na Huduma zingine ambazo Zinafanywa ama Zinatolewa na WAFANYABIASHARA ama WAJASILIAMALI Mbalimbali kokote kule waliko Tanzania.
TUNATANGAZA BIASHARA ni platform ambayo imebatizwa na wateja wetu wengi K**a KINASA WATEJA maana imethibitika kuwa na Uwezo wa kunasa wateja wengiii na Sahihi kwa Muda Mfupi Sana.
TUNATANGAZA BIASHARA tunao Uwezo Mkubwa na wa Uhakika wa Kutangaza FURSA, KAZI, BIASHARA ama HUDUMA yako na Kufikia Wateja Wengi, Maalumu(Specific) kwa Huduma ama Hitaji Lako haraka na kwa Ufanisi zaidi.

Matangazo YETU yote ya Wateja huyaandaa kwa kuzingatia Mambo yafuatayo:

1. AINA YA TANGAZO.

2. LENGO LA TANGAZO.

3. WAHITAJI WA TANGAZO.
Hapa tunajadiliana na Mteja Kisha tunaset(tunaandaa) Tangazo kulingana na Tangazo linalenga watu gani zaidi.
k**a vile ▪️ Wakike tuu.
▪️ Wakiume tuu.
▪️Wakike na wakiume
Pamoja na kuzingatia Tangazo liwafikie watu wa Rika gani(Umri).

4. ENEO LA TANGAZO
Tunashauriana na Mteja ili kufahamu anahitaji Tangazo lake Lionekane Sehemu gani.
Mfano tangazo Lionekane;
i. Nchi za Nje.
ii. Nchi nzima
iii. Mikoa mingapi/ Mkoa gani
iv. Wilaya ngapi/Wilaya Gani
v. Eneo Fulani ndani ya Wilaya.

5. MUDA WA TANGAZO
Hapa tunaandaa Tangazo Lako kadiri ya Uwezo wako kifedha.
Tizama hapo Chini Unaweza chagua Tangazo Lako lirushwe hewani kwa Mujibu wa Utaratibu Upi kwa kuzingatia Muda na idadi ya watu Tangazo litakao wafikia.
Gharama hizi ziko katika Mchanganuo wa Makundi Matano pia Utaratibu wa Tangazo kurushwa hewani ni Kuanzia siku moja Hadi sita Kisha kwa wiki Moja, Mbili, Tatu Hadi Nne(Mwezi mmoja).


WASILIANA NASI.
TUKUHUDUMIE. 0768 - 31 98 68.
Call/text/WhatsApp.

Address

Nkuhungu
Dodoma

Telephone

+255768319868

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Matangazo online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Matangazo online:

Videos

Share

Nearby media companies


Other Social Media Agencies in Dodoma

Show All