Team seeker

Team seeker Ishi kulingana na umri sio mazingira tena

02/03/2025

NIKUPE CHEMSHA BONGO

26/10/2024

🙏🙏🙏🙏

  6 ZA     1. Acha Kuwaeleza Watu Mipango Yako(Stop telling people your plans)Unapowashirikisha watu mipango yako kupita...
18/08/2024

6 ZA

1. Acha Kuwaeleza Watu Mipango Yako
(Stop telling people your plans)
Unapowashirikisha watu mipango yako kupita kiasi, huwa unayaumiza maendeleo yako mwenyewe. Fanya mambo kimya kimya ili ushinde. Husisha walio wa lazima kuhusishwa pekee kwenye kila hatua.

2. Tambua Wakati wa Kusema Hapana
(Know when to say no).
Watu imara hutanguliza usalama wao na afya zao za mwili na akili kabla ya kuwafurahisha wengine. Jifunze kusema hapana mara nyingi zaidi.

3. Fanya Uamuzi, na Uusimamie
(Make a decision, and commit to it)
Watu wengi hawana nidhamu na huzirudia ruwaza zao mbaya. Fanya uamuzi wa kubadilika na bakia hivyo.

4. Kuna Nguvu Kwenye Namba
(There is power in numbers)
Hakuna mtu aliyewahi kufanikiwa maishani peke yake. Unahitaji timu inayokujenga na kukuwezesha. Acha kuwa mbwa mwitu mpweke.

5. Ukondeshe Usumbufu Wako, Lisha Fokasi Yako(Starve your distractions, feed your focus)
Fokasi kwenye malengo yako badala ya kukimbiza hisia za starehe zinazoletwa na homoni ya dopamini. Utafanikisha jambo lolote unalolitaka.

6. Wakati Wote Wape Thamani Wengine(Always provide value to others)
Ipo siri moja tu ya mafanikio: Kuyafanya maisha ya wengine kuwa marahisi(mepesi). Kwenye biashara na mahusiano, kuwapa watu thamani kutakufanya uwe kipaumbele chao

Address

MOROGORO
Dodoma
622

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Team seeker posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Team seeker:

Share

Category