The icon global_podcast

The icon global_podcast Nifahamu inapatikana Spotify|boomplay|instagram|youtube k**a , kwa update

Kuna muda nili post kitu kuwakumbusha wasanii kwamba muziki sio tu kuimba, kufanya video kwenye ndinga kaliiii, kupost m...
29/10/2023

Kuna muda nili post kitu kuwakumbusha wasanii kwamba muziki sio tu kuimba, kufanya video kwenye ndinga kaliiii, kupost misosi na vacation kalii, Ooooooops Big No kwa wasanii wa type hii na wapo wrong sana, ni furaha yetu k**a jamii kuona wasanii au celebrities wakubwa wakiishi sehemu ya maisha yao na jamii zao, kwa maana ya kwamba hata k**a hawana baraka za vipato vikubwa ila wao ni maarufu basi watumie nafasi hii kuisemea jamii zao. Shetta kafanikiwa katika hili itoshe kusema shetta nae ni wasanii walio fanikiwa na haya ndio mafanikio yake kwasababu anaisemea jamii yake na kupinga unyanyasaji unao endelea hasa kwa wanawake na watoto, sio kwamba ni ushamba wasanii kujichanganya na jamii kwasababu ukitaja watoto wa mjini haswaaaaaa kwenye industry ya bongo shetta nae yumo tena unaambiwa mtoto wa ilala huyo, tarehe 16 July 1990 pale Amana kazaliwa pale pale mitaa yake ya kuchezea chezea hadi anakua kijana wa shule unaambiwa ni mchikichini Ilala boma sasa hiyo nakwambia, shule ya msingi kasoma boma primary secondary kenda Benjamin mkapa 2008, wasanii wa mkoa bado wapo awajafikilia kutua Jiji la lawama.
Ni shetta huyu ambae alitikisa chanel kubwa za muziki Afrika baaada ya ngoma zake kukaa kwenye Top 10 ya channel hizo kubwa nazungumzi chanel k**a MTV Africa, ambapo ilikua sio kawaida kwa miaka ya 2014 kukuta ngoma ya bongo fleva narudi Bongo fleva ikipigwa kwenye top 10 ya TV kubwa k**a hii kwa kipindi hicho tulizoea kuona south Africa na Nigeria wakitawala count down hizo πŸ™Œ lkn shetta yeye aliweza na goma lake lileee la Kerewa ft diamond.
Ujue kurudisha Asante kwa watu walio kupa nafasi ni kitu muhimu sana pia unaweza usitoe shukrani kwa yule alikupa mchongo wa kazi ila shukran yako ukaionesha k**a love kwa kutoa michongo kwa watu wengine basi yule alikupa mchongo atakua proud na uungwana wako, huo ni kma mfano. Lkn hii kwa uharisia uenda Dully anajihisi proud akimuona shetta anajitoa kwaajili ya jamii yake , uenda Dully anasema waooooo!! That's ma Boy, kutoka Misifa camp k**a dancer, kua backup singer , kesho kaja na dar stamina, kuaminiwa na mwana FA ku collaborate nae , kasimama k**a masanii afu Leo anaisemea jamii sio kitu kidogo. Asante kwa shetta

Kuna muda nili post kitu kuwakumbusha wasanii kwamba muziki sio tu kuimba, kufanya video kwenye ndinga kaliiii, kupost m...
29/10/2023

Kuna muda nili post kitu kuwakumbusha wasanii kwamba muziki sio tu kuimba, kufanya video kwenye ndinga kaliiii, kupost misosi na vacation kalii, Ooooooops Big No kwa wasanii wa type hii na wapo wrong sana, ni furaha yetu k**a jamii kuona wasanii au celebrities wakubwa wakiishi sehemu ya maisha yao na jamii zao, kwa maana ya kwamba hata k**a hawana baraka za vipato vikubwa ila wao ni maarufu basi watumie nafasi hii kuisemea jamii zao. kafanikiwa katika hili itoshe kusema shetta nae ni wasanii walio fanikiwa na haya ndio mafanikio yake kwasababu anaisemea jamii yake na kupinga unyanyasaji unao endelea hasa kwa wanawake na watoto, sio kwamba ni ushamba wasanii kujichanganya na jamii kwasababu ukitaja watoto wa mjini haswaaaaaa kwenye industry ya bongo shetta nae yumo tena unaambiwa mtoto wa ilala huyo, tarehe 16 July 1990 pale Amana kazaliwa pale pale mitaa yake ya kuchezea chezea hadi anakua kijana wa shule unaambiwa ni mchikichini Ilala boma sasa hiyo nakwambia, shule ya msingi kasoma boma primary secondary kenda Benjamin mkapa 2008, wasanii wa mkoa bado wapo awajafikilia kutua Jiji la lawama.

Ni shetta huyu ambae alitikisa chanel kubwa za muziki Afrika baaada ya ngoma zake kukaa kwenye Top 10 ya channel hizo kubwa nazungumzi chanel k**a MTV Africa, ambapo ilikua sio kawaida kwa miaka ya 2014 kukuta ngoma ya bongo fleva narudi Bongo fleva ikipigwa kwenye top 10 ya TV kubwa k**a hii kwa kipindi hicho tulizoea kuona south Africa na Nigeria wakitawala count down hizo πŸ™Œ lkn shetta yeye aliweza na goma lake lileee la Kerewa ft diamond.
Ujue kurudisha Asante kwa watu walio kupa nafasi ni kitu muhimu sana pia unaweza usitoe shukrani kwa yule alikupa mchongo wa kazi ila shukran yako ukaionesha k**a love kwa kutoa michongo kwa watu wengine basi yule alikupa mchongo atakua proud na uungwana wako, huo ni kma mfano. Lkn hii kwa uharisia uenda Dully anajihisi proud akimuona shetta anajitoa kwaajili ya jamii yake , uenda Dully anasema waooooo!! That's ma Boy, kutoka Misifa camp k**a dancer, kua backup singer , kesho kaja na dar stamina, kuaminiwa na mwana FA ku collaborate nae , kasimama k**a masanii afu Leo anaisemea jamii sio kitu kidogo Dully na wasanii

Tukiingea fact kabisaa ni wasanii wachache ambao wanaweza ku mantain yani awe upcoming artist atoe hit back to back then...
25/10/2023

Tukiingea fact kabisaa ni wasanii wachache ambao wanaweza ku mantain yani awe upcoming artist atoe hit back to back then zifanye vizur all the time, sote tutakua mashaihidi wa hili, tumepokea wasanii wengi wapya kwenye game wametoa hit song moja then wakashindwa ku mantain kufanya back to back. ni miongoni mwa wasanii ambao wamefanikiwa katika consistence kwasababu tulidhani labda atapotea baada ya lakini akaja ku bast tena kwenye joint ya zote hizo zikiwa ni mapiano vasion............................................................
Nilipata bahati ya kupiga story na Chino moja kati ya swali nililo muuliza ni je k**a mapiano ikipotea na ikaacha ku hit k**a aina nyingine za muziki ambazo zilifanya vizur na zikaja kupotea je yeye atafanya aina gani ya muziki tofauti na piano??
Alinambia kwamba yeye hajafanya muziki kwa kujaribu japo yeye ana mapenzi na muziki wa mapiano ila ana uwezo wa kufanya na aina nyingine za muziki .
...........................................................
Chino kathibitisha kua yeye ni kma la purga au CR7 kwani ana uwezo wa kucheza kwa miguu yote kwenye game kwani la muziki, kaonesha sio piano tu bali hata muziki mwungine anafanya. Kweny joint hii ilo pewa jina la ft kaonesha upande wake wa pili katika mziki wake . Ni ngoma kali ilieleza maisha yake jinsi alivyo toboa kimziki na vitu kma hivyo. Itakua poa kuiongoza kwenye playlist yako πŸ’₯πŸ’₯

Kuna kipind  aliona isiwe kesi sana make Kuna mtu Nina mpenda nime mzawadia moyo haitoshi em nimuweke na kwenye billboar...
23/10/2023

Kuna kipind aliona isiwe kesi sana make Kuna mtu Nina mpenda nime mzawadia moyo haitoshi em nimuweke na kwenye billboard ili aelewe nini namaanisha πŸ˜‚πŸ˜‚ miezi ya mbele iliyo kuja kipindi anatetea penzi pasua kichwa la nae kamweka kwenye bango kumuomba arudishe majeshi aokoe moyo wake πŸ˜‚πŸ˜‚. ........................................................ ......
Basi bwana nimegundua kua k**a mtu aelewe neno mapenzi kwa vitendo basi mchoree picha aelewe πŸ˜‚πŸ˜‚ , sasa Kuna dogo flani hivi kwa mujibu wa .Kae Kijana mwenye umri wa miaka 15 anaenda mbali zaidi ili kuvutia umakini wa Drake ili aweze kuhudhuria sherehe yake ya kuzaliwa ya Sweet Sixteen mwishoni mwa mwaka. Wazazi wa kijana wa Houston Miya Garcia walimnunulia bango lililopanda katika Jiji la Jacinto ambalo lilikuja na mwaliko maalum. β€œDrake, you’re invited to my Sweet Sixteen,” lilisomeka lile bango kubwa lililokuwa na picha ya Miya upande wa kushoto na picha ya Drake upande wa pili. Mwaliko pia umetiwa saini kuwa unatoka kwa "shabiki wako mkuu." Akizungumza na Houston Chronicle, Miya alisema, alimuelezea mama yangu (na) alituwezesha na alishangaa sana. Niliipenda sana." Akielezea uwezekano wa Drake kujitokeza, alisema itakuwa "siku ya kukumbuka milele." Aliongeza, "Itakuwa siku bora zaidi kuwahi kutokea. natumai Drake ataiona hii .

Tuta kumbuka nyuma kwenye halftime za .lb moja kati ya legi bora na pendwa katika michezo msanii  alitumia jukwaa hilo k...
20/10/2023

Tuta kumbuka nyuma kwenye halftime za .lb moja kati ya legi bora na pendwa katika michezo msanii alitumia jukwaa hilo k**a come back yake kwenye game la muzikii baada ya kimya kikubwa kwenye muziki wake hii ikitokana na mambo ya uzazi yaliyo mfanya akae kmy kidogo kwenye muziki wake. Imezoeleka hivyo kwa wasanii wengi huko mbele kutumia jukwaa hili hata bila kulipwa k**a alivyo fanya Rihanna, hii ikiwa na shumuni la kuwapa attention mashabiki, mfano mdogo tu kwa alipo tangazwa kua ata perform kwenye Superbowl mwaka huu ulimwengu wote umesubiri kuona ni nini usher atafanya siku hiyo .................................................................
Kibongo bongo matamasha k**a ya na yamekua matamasha ambayo yamefanya watu wateegee masikio kuona nani atapata bahati ya kutumbuiza kwenye matamasha haya na hii imesaidia kukuza mziki wetu wa ndani. Kwahiyo baada ya ku perform kwenye kilele Cha simba day za ndani zinasema Kiba akaona tobo la mashindano ya akaomba ku perform pia, na wao wakatazama baadhi ya kazi zake ikiwemo show yake ya simbaday na waka vutiwa wakampa dili la ku perform. Kwakua michuno hii ni ya kimataifa nchi zote bala la Africa zina tazama nini kinacho endelea Tanzania basi hii ni nafasi kubwa sana ya kiba kuonesha makali yake na hii itamsaidia kumpush tena kimataifa, ambapo kwa muda sasa atujamuona kiba yule wa kimataifa. πŸ’₯πŸ’₯

12/10/2023

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The icon global_podcast posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to The icon global_podcast:

Videos

Share

Category