Njaro Media

Njaro Media Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Njaro Media, Media/News Company, S. L. P 2528, Dodoma.

Main Official page for | | Based on Sport | Entertainment

NJARO TV
WakaliwaUpdates
Tunazungumza Michezo na Burudani

SUBSCRIBE YOUTUBE YA NJARO MEDIA

28/01/2025

Dancing challenge

27/01/2025

Huu ubabe Yanga mnautoa wapi?


26/01/2025

Mwigizaji wa Filamu Nchini kwa Kushirikiana na Wizara ya Kilimo amezindua rasmi kampeni ya "JEMBE NI MAMA " inayolenga kumuinua mwanamke na kuunga mkono Juhudi za Rais Samia katika sekta katika sekta ya kilimo .

Ameyasema hayo baada ya kuelezea mafanikio mazuri aliyoyapata katika kilimo ambapo ameelezea jinsi kilimo kilivyompa mafanikio zaidi tangu mwaka 2018.

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Uzinduzi wa kampeni hiyo leo Januar 26, 2025 Uwoya amesema kuwa lengo la kampeni hiyo ni kusaidia Wizara ya Kilimo katika kuhakikisha wanawake wanakuwa na kilimo bora na chenye maslahi kwao.

Amesema mradi huo utaenda kufichua na kumuinua mwanamke anayefanya kilimo duni katika jamii yake na kumpa thamani ya kunufaika na kilimo bila kuharibu misingi ya kifamilia.


25/01/2025

Club ya Simba kesho inatarajia kucheza mechi dhidi ya Kilimanjaro Wonderes katika uwanja wa KMC.

Mechi hiyo ni ya mtoano ya Kombe la Shirikisho ya CRDB, Kocha msaidizi Seleman Matola amefunguka uzito wa mechi hiyo ambapo amesema wao ni k**a Fainali.


25/01/2025

Wasemaji wa hizi Timu ndogondogo mko wapi?

24/01/2025

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stevin Wasira, amesema kauli mbiu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya β€œNo Reform, No Election” ...

22/01/2025

NJARO GAMES SEASON 01, EP 01

Follow page zetu Kuendelea kufurahia Maudhui yetu

21/01/2025

USISAHAU KU-SUBSCRIBE, KU-LIKE, KU-COMMENT NA KU-TURN ON NOTIFICATION ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KILA SIKUTUNAPATIKANA KWENYE MITANDAO YOTE YA KIJA...

21/01/2025

USISAHAU KU-SUBSCRIBE, KU-LIKE, KU-COMMENT NA KU-TURN ON NOTIFICATION ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KILA SIKUTUNAPATIKANA KWENYE MITANDAO YOTE YA KIJA...

 Tunatoa Shukrani za dhati kwa wafuasi wote wanaofuatilia Maudhui yetu ya Mitandao yetu ya kijamii, jambo ambalo limepel...
20/01/2025

Tunatoa Shukrani za dhati kwa wafuasi wote wanaofuatilia Maudhui yetu ya Mitandao yetu ya kijamii, jambo ambalo limepelekea kufikisha Followers 40,000 kwenye mtandao wa Facebook.

Tunawaomba muendelee kutufiatilia ili kupata Updates zaidi
View| Follow| Like | Comment |Share
Instagram
Facebook
Tiktok
Threads
X (tweeter)





Don't forget to Subscribe on YouTube




19/01/2025

Mtoto mwenye umri wa Miaka sita Anayefahamika kwa jina la Camila Abdallah aomba Kukutana na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan.

Ameyasema Hayo Tarehe 18 January 2025, jiji Dodoma Alipo Kuwa akifanyiwa mahojiano baada ya kumaliza kwa hutuba yake Rais Samia Alipo kuwa Katika Mkutano Mkuu Maalumu Wa chama Cha Mapinduzi (CCM )

Camila Amesisitiza kuwa Siri hiyo awezi kumwambia Mtu Mwingine zaidi ya Rais Samia Hivyo ameomba wadau waweze kumsaidi akutane na Rais Samia ili aweze kumwambia siri hiyo.

Kwa upande mwingine amempongeza Rais Kwa Jitihada za kumwinua na kumlinda mtoto ili apate haki na malezi bora katika Taifa.


19/01/2025

Battle ya Rap kati ya NA ndani ya Talatala Lounge Dodoma

19/01/2025

Usiku wa Leo msanii mkubwa tanzania na Afrika kiujumla akiwa Dodoma ametangaza kumchukua msanii mpya anaefahamika kwa jina la ili kuweza kumsaidia kimziki kupitia lebo yake ya

Diamond amefanya maamuzi hayo baada ya kumsikiliza akifanya Live perfomce ambayo ilimvutia kwa kipaji kikubwa alichokuwa nacho msanii huyo.

Katika kulitekeleza hilo amemkabindhi fedha Taslim kiasi cha milioni mbili k**a nauli ya kuelekea ya kutoka Dodoma kwenda Dar es salaam yalipo Makao Makuu ya

AIdha, alikuwa ni msanii ambaye anafanya live band ambayo ipo chini ya msanii mkongwe kupitia bendi yake ya ambapo huwa inatoa burudani zake kila Alhamisi ( ) na Juma mosi ( ) katika bar maarufu Dodoma ya

tumefanya juhudi za kumtafuta na kupiga nae stori kuhusiana na tukio hili ambalo limetangazwa mbele ya mashabiki zake amefunguka namna ambavyo amefurahishwa na jambo hili alilolifanya .


ππˆπ“π€π€ππ™π€ 𝐍𝐀 πŠπ€π™πˆ π˜π€ πŠπ”π„ππƒπ„π‹π„π™π€ 𝐅𝐀𝐋𝐒𝐀𝐅𝐀 π˜π€ πƒπŠπ“. π’π€πŒπˆπ€ π˜π€ 4𝐑, π‚π‚πŒ 𝐍𝐈 π‚π‡π€πŒπ€ 𝐂𝐇𝐀 π€πŒπ€ππˆ - πŒπ€πŠπ€πŒπ” πŒπ–π„ππ˜π„πŠπˆπ“πˆ - 𝐍𝐃𝐆. WASIRA Mak...
18/01/2025

ππˆπ“π€π€ππ™π€ 𝐍𝐀 πŠπ€π™πˆ π˜π€ πŠπ”π„ππƒπ„π‹π„π™π€ 𝐅𝐀𝐋𝐒𝐀𝐅𝐀 π˜π€ πƒπŠπ“. π’π€πŒπˆπ€ π˜π€ 4𝐑, π‚π‚πŒ 𝐍𝐈 π‚π‡π€πŒπ€ 𝐂𝐇𝐀 π€πŒπ€ππˆ - πŒπ€πŠπ€πŒπ” πŒπ–π„ππ˜π„πŠπˆπ“πˆ - 𝐍𝐃𝐆. WASIRA

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu. Stephen Wasira akizungumza kwa kutoa shukrani kwa kuaminiwa na kuchaguliwa katika nafasi hiyo mbele ya Viongozi na Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaifanyika katika ukumbi wa JKCC Jijini Dodoma.

β€œKazi yetu ya kwanza ni kushika dola kwa serikali zote Tanzania Bara na Zanzibar, sasa katika serikali za mitaa tayari na tumefanya vizuri sasa kazi tuliyonayo ni kuk**ata dola ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar”

β€œTujiandae vema na ikifika mwezi Oktoba tutak**ata dola kwa kura nyingi za ushindi na kura unazipata kwa kutekeleza ahadi na ilani ya chama chako, sisi CCM tumetekeleza kwa kishindo chini ya Mwenyekiti na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan”

β€œCCM hatuna sababu ya kushindwa uchaguzi, Miradi yote inatekelezwa kwa wakati na maendeleo yanafanyika” β€œTwendeni tukashinde uchaguzi, sababu tunazo, nia ipo na uwezo tunao, huu ndio wito wangu na kazi inaanza”

β€œNataka Dunia ijue , wana CCM na wasio wana CCM, Chama chetu ni cha umoja, amani na maendeleo, tunapewa nchi ili kufanya kazi na haiwezi kufanyika k**a hakuna amani, Mwenyekiti wetu ana falsafa ya 4R na mimi nasema kazi nitakayoanza nayo ni kuendeleza maridhiano na wengine wanasema hakuna maridhiano, hapana haturidhiani na mtu mmoja bali tuna ridhiana na jamii yenye wadau wengi na viongozi wa kidini, tutasaidiana nao katika maridhiano kwasababu CCM ni chama cha amani, k**a una chama chako kinataka vita sisi tutazungumza na wewe kuwa huko hatuendi kwakuwa amani ni msingi wa maendeleo”


πƒπŠπ“. π’π€πŒπˆπ€ π€πŒπ“π€ππ†π€π™π€ 𝐒𝐓𝐄𝐏𝐇𝐄𝐍 π–π€π’πˆπ‘π€ πŠπ”π‚π‡π€π†π”π‹πˆπ–π€ πŠπ”π–π€ πŒπ€πŠπ€πŒπ” πŒπ–π„ππ˜π„πŠπˆπ“πˆ 𝐖𝐀 π‚π‚πŒ 𝐁𝐀𝐑𝐀 Aidha, kura zilizopigwa na Wajumbe ni...
18/01/2025

πƒπŠπ“. π’π€πŒπˆπ€ π€πŒπ“π€ππ†π€π™π€ 𝐒𝐓𝐄𝐏𝐇𝐄𝐍 π–π€π’πˆπ‘π€ πŠπ”π‚π‡π€π†π”π‹πˆπ–π€ πŠπ”π–π€ πŒπ€πŠπ€πŒπ” πŒπ–π„ππ˜π„πŠπˆπ“πˆ 𝐖𝐀 π‚π‚πŒ 𝐁𝐀𝐑𝐀

Aidha, kura zilizopigwa na Wajumbe ni 1921 Kura zilizoharibika kura ni 4 Kura za halali ni 1917 kura za ndio 1910 sawa na ushindi wa 99.42%. Kura za hapana ni 7


18/01/2025

USISAHAU KU-SUBSCRIBE, KU-LIKE, KU-COMMENT NA KU-TURN ON NOTIFICATION ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KILA SIKUTUNAPATIKANA KWENYE MITANDAO YOTE YA KIJA...

 kuingilia kati sakata la zuchu na
17/01/2025

kuingilia kati sakata la zuchu na


Bongo flavor ipo Dodoma kwa sikuzo zote hizi 3 kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi ( CCM)
17/01/2025

Bongo flavor ipo Dodoma kwa sikuzo zote hizi 3 kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi ( CCM)

Address

S. L. P 2528
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Njaro Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Njaro Media:

Videos

Share