![Nsekera Fintech Solutions Logo and /or Brand Identity Design✒️.Siku chache Zilizopita Boss alitutafuta akihitaji Logo kw...](https://img5.medioq.com/956/881/926733279568816.jpg)
17/01/2025
Nsekera Fintech Solutions Logo and /or Brand Identity Design✒️.
Siku chache Zilizopita Boss alitutafuta akihitaji Logo kwa ajili ya Biashara Yake!
Boss alihitaji Logo ya kipekee, isiwe na mambo mengi na ambayo itaweza Kutumika k**a icon na kukaa kwenye Kofia..
Jina la Biashara yake lilikuwa NSEKERA CASH POINT lakini kwa kuwa jina Hili limezoeleka, Common ( CASH POINT) Tulishauriana kuja na Jina la Kipekee na ambalo litaendana na maono ya Sasa na Badae katika Brand Yake!
Baada ya siku Kadhaa za Utafiti na Ushauri wa Hapa na Pale tulikuja na jina la NSEKERA FINTECH SOLUTIONS likiwa na Maana ya Huduma za Kifedha(Miamala) na zinazohusisha Teknlojia k**a Cryptocurrency n.k
N:B: KWA kuwa Biashara ya Cryptocurrency haijarasimishwa Tanzania Basi logo yetu haikupaswa kuwa na ishara yeyote ya Cryptocurrency au zinazohusiana...
Kazi ikaanza rasmi na Hapo ndipo tukatengeneza Concept 2 za Logo na Hii Concept ndio IKAPITA✅
Karibu Ujionee Maana ya Logo na Ikiwa katika Matumizi ( Brand In Action)
Je , unahitaji Msaada au Huduma zetu za Utengenezaji Logo au Utambulisho wa Chapa wa Biashara au Kampuni Yako?
Wazi Nasi Leo Tukuhudumie kwa Kubonyeza Link ya WhatsApp katika Bio📩
Au Piga simu📞:+255 753 744 699
Credit Ig :.creatives