05/05/2024
DIRECTOR KHALFAN AFARIKI DUNIA
Muaandaji Maarufu wa Video za Muziki ( Director Khalfani ) Maarufu K**a 'Khalmandro' amefariki Dunia Leo May 5, 2024 kutokana na Maradhi yalikua yanamsumbua kwa muda Mrefu .
Director khalmandro
alilazwa Katika Hospital ya Taifa ya muhimbili moi emergency siku chache zilizopiata huku
Damu Ikidaiwa kuvilia kwenye ubongo
Na Kupata strock mkono wakulia na mguu wa kulia hali iliyopelekea kutoweza kuongea Wala kula
Mungu ailaze Roho yake mahali pema 🙏