Mnyama double

Mnyama double Muzik ni Maisha Fata ndoto zako na Amini mafanikio yapo

Rest in Peace brother D7 inawezekana kizazi Cha Sasa kisijue umuhimu wako Lakini sisi tuliobahatika kupata nafasi yakutu...
24/09/2023

Rest in Peace brother D7 inawezekana kizazi Cha Sasa kisijue umuhimu wako Lakini sisi tuliobahatika kupata nafasi yakutusapoti kipindi ambacho Ilikuwa ngumu kusapotiwa na wengine na uku ukiwa kwenye kituo kikubwa Cha redio na uliweza kutupanafasi kadri ya uwezo wako wewe ni mtu mwema Sana kwangu wakati wote na nilishawai kukwambia mala nyingi sana kadri nilivyoweza "Wewe umekuwa ukinisapoti nikiwa Sina nguvu mpaka Leo nimepata nguvu nashukuru Sana brother"ninamengi yakuongea Sana ila kazi ya Mungu Haina makosa pia unatufundisha jambo kwenye maisha yetu Haya majina nanafasi tulizonazo sio kitu ila kikubwa ni Utu Tusaidie watu kadri tuwezavyo hiyo ndio Hazina yetu maana wakati wowote tunaweza kuondoka na tuliokuwa tukiwasaidia wanaweza kutuombea kipindi hatuwezi kujiombea πŸ™πŸ™πŸ™πŸ₯ΊπŸ₯ΊMungu akulaze mahali pema brother Shukrani kwa wakati wako kwangu na kwa wengine pia

Kwanini uwangaike kutafuta Saloon ya K**e ukiwa DodomaπŸ€·πŸΌβ€β™€οΈ inayoweza kukupa Huduma Bora ya Kusuka,Steaming,Weaving,Make...
28/06/2023

Kwanini uwangaike kutafuta Saloon ya K**e ukiwa DodomaπŸ€·πŸΌβ€β™€οΈ inayoweza kukupa Huduma Bora ya Kusuka,Steaming,Weaving,Make up,Retouch, Breaching,Washing set na Vingine vingi Karibu Trina Dressing Saloon kwa huduma zote hizo unaweza mpigia simu namba 0687437464 au Instagram Saloon inapatikana Mitaa ya kwa mzee wa swaswa Dodoma karibuni sanaπŸ₯°

Leo ndio Leo  na  Watakuwa Live  ndani ya Kipindi Cha BIG FUSE  CFM 103.3 Dodoma kuanzia saa 8:30 mchana Mpaka saa 11 ji...
14/06/2023

Leo ndio Leo na Watakuwa Live ndani ya Kipindi Cha BIG FUSE CFM 103.3 Dodoma kuanzia saa 8:30 mchana Mpaka saa 11 jioni na Watangazaji pia unaweza kutusikiliza live kupitia www.cfm.co.tz
Kinawaka LeoooπŸ”₯πŸ”₯πŸ“»

Mnyama Double  (DodomaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ)Haikuwa Rahisi kufika nilipo Leo ilikuwa safari ndefu yenye changamoto kibao vikwazo dharau mat...
08/06/2023

Mnyama Double
(DodomaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ)
Haikuwa Rahisi kufika nilipo Leo ilikuwa safari ndefu yenye changamoto kibao vikwazo dharau mateso na vitu vingi mpaka nilipo Leo Bonyeza Link hapo chini πŸ‘‡ itakupeleka moja kwa moja kwenda kujifunza njia tulizopitia mpaka kufika tulipo Leo πŸ‘‡
https://micshariki.africa/double-y-a-k-a-mnyama-double-mwimbaji-mchanaji-mtayarishaji/ (πŸ‡°πŸ‡ͺ Shukrani kwa MicsharikiAfrica πŸ™πŸ™Œ) au nenda kwenye page ya

Oiiii Album Uso na Ubongo  ishatoka πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ  na .b__mzee_wa_kimba wasanii hawa wa Hiphop  wamekuletea album moja wakiwemo wo...
06/05/2023

Oiiii Album Uso na Ubongo ishatoka πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ na .b__mzee_wa_kimba wasanii hawa wa Hiphop wamekuletea album moja wakiwemo wote wawili inaitwa USO NA UBONGO iliyobeba nyimbo 26 pia ikishirikisha manguli wa muziki wa Hip-hop Tanzania Maproducer ni hii nikati ya album Bora album inapatikana kwa Watsup,Email pamoja na telegram elf 10,000 tu ukitumiwa kwenye njia hizo ila ukiitaji kwa flash 20,000 tu au wasilina nasi kwa simu namba Name:Face B β€Žβ€Ž(0672634342β€Žβ€Ž)
Name:Abby the Brain (0688812109)
Shukrani kwa wote waliosapoti album hii na watakao sapoti album hii pamoja na watakao nunua Album hiiπŸ™πŸ™

Kikubwa Pumzi tu πŸ™πŸ‘‘πŸ’ͺπŸ½πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
15/02/2023

Kikubwa Pumzi tu πŸ™πŸ‘‘πŸ’ͺπŸ½πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

New Album is Out πŸŽ€πŸ‡ΉπŸ‡Ώ*  zuu Republic* #Baada ya kimya Cha muda mrefu na kuondokewa na watu wa karibu R.I.P 🀲Albert Magwea...
23/12/2022

New Album is Out πŸŽ€πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
* zuu Republic* #

Baada ya kimya Cha muda mrefu na kuondokewa na watu wa karibu R.I.P 🀲Albert Magwea,Mez B,Geez Mabovu🀲

Sasa East zuu Father πŸ‘‘ kukuletea Album yenye Ujazo mkubwa sana πŸ’ͺ🏽
inapatikana kwenye Digital platform zote pia unaweza isikiliza kwa kugusa link hizi hapa chini πŸ‘‡
https://www.boomplay.com/albums/60830050?from=search&srModel=COPYLINK&srList=WEB
πŸ‘‡
https://open.spotify.com/album/7rjWXz5EhvQ7G1rk5cHHOB?si=7DyfWeZfQpeCPmSGHwt8LQ&utm_source=native-share-menu

Pia unaweza nicheki kwenye simu namba 0654 753 754 kwa manunuzi ya moja kwa moja

Na link kwa bio

Album Produced by




Zuu Republic
Mkoministi

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Habari !!!Baada ya miaka mingi Kupita Sasa Sinza Star 🌟  Kakuletea  ya *  LIFE* # yenye ujazo wa nyimbo 20  ipo platform...
25/10/2022

Habari !!!
Baada ya miaka mingi Kupita Sasa Sinza Star 🌟 Kakuletea ya * LIFE* # yenye ujazo wa nyimbo 20
ipo platform zote Link hizi hapa
#πŸ‘‡ * ://youtu.be/jLTFQmfqB6I* #
Boomplay πŸ‘‡
*https://www.boomplay.com/share/album/57092122* #
Instagram πŸ‘‡ Link kwenye bio
Love Life Album out Now πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Exclusive kabisaa tarehe 5oct   na  watakuwepo  kwenye Pindi la  Micharazo Time kuanzia saa 11 jioni mpaka saa 2 Usiku  ...
05/10/2022

Exclusive kabisaa tarehe 5oct na watakuwepo kwenye Pindi la Micharazo Time kuanzia saa 11 jioni mpaka saa 2 Usiku Leo ndio itafamika 🀣

Host
Ndio atamaliza shughuli nzima ya LeoπŸ˜†

Kwenye mashine


Unaweza kutusikiliza na kututazama Kupitia kinga'amuzi Cha star times chanel namba 113 pia kupitia link hii
πŸ‘‡ http://Www.goliveafrica.media/live/1/DodomaTV tutazame live kupitia simu yako ya mkononi

Ndani ya "BONGO 255" JUMATANO hii  SEP 28, 2022.ATASIKIKA    ndani ya  πŸ“» akitambulisha Wimbo mpya  Ft  _Unitue  Kuanzia ...
28/09/2022

Ndani ya "BONGO 255" JUMATANO hii SEP 28, 2022.

ATASIKIKA ndani ya πŸ“» akitambulisha Wimbo mpya Ft _Unitue
Kuanzia saa 6 na nusu mchana mpaka saa 10 jioni 🧭

HOSTED BY AND

Bonyeza hapaπŸ‘‡Kusikiliza Live.

http://ndstream.net/globalradio/Global

Stream AUDIOMACK AND SOUND CLOUD. Tucheki kupitia whatsapp namba
0743095549

Exclusive interview πŸ“» Jumatano ya Leo ya tarehe 21 kutoka kusini mwa TzπŸ‡ΉπŸ‡Ώ   100.9 Mbeya kwenye taasisi ya kiburudani  PO...
21/09/2022

Exclusive interview πŸ“» Jumatano ya Leo ya tarehe 21 kutoka kusini mwa TzπŸ‡ΉπŸ‡Ώ 100.9 Mbeya kwenye taasisi ya kiburudani POWER CLUB SHOW nitakuwa Live nikitambulisha Wimbo wangu mpya ft NITUE Pindi likiendeshwa na mnyama mkali na na kwenye mashine kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 11 jioni Unaweza kusikiliza pia online radio google accessfm radio Mbeya utatusikiliza liveeee πŸ“»πŸ“» Usikoseee Nipo Liveeee LeooooooπŸ“»πŸ“»πŸ“»πŸ”₯πŸ”₯

Chindoman Festival Atown City Shukrani πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺπŸ½πŸ™
07/09/2022

Chindoman Festival Atown City Shukrani πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺπŸ½πŸ™

Nipo Arusha town wazee cm ziite πŸŽ¬πŸŽžοΈπŸ’―πŸ”₯πŸ”₯
30/08/2022

Nipo Arusha town wazee cm ziite πŸŽ¬πŸŽžοΈπŸ’―πŸ”₯πŸ”₯

Chindoman Festival ndani ya Arusha  jumamosi ya tarehe 27 /8/2022  ndani ya Billy's Rivel Arusha Pia kutakuwa na Album l...
20/08/2022

Chindoman Festival ndani ya Arusha jumamosi ya tarehe 27 /8/2022 ndani ya Billy's Rivel Arusha Pia kutakuwa na Album launch ya na wasanii kibao kwenye jukwaa akiwemo na Y.O.G & Kashaga Sio yakukosa watu wa Arusha na mikoa yote hii ni session 2 ya chindoman Festival njoo upate burudani πŸŽ¬πŸŽ¬πŸŽžοΈπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺπŸ’₯πŸ’₯πŸ’―

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mnyama double posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category