NURU FM Iringa 93.5

NURU FM  Iringa  93.5 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from NURU FM Iringa 93.5, Media, benbelastreet Gangilonga, Iringa.
(2)

NURU FM RADIO INASIKIKA KATIKA WILAYA ZOTE ZA MKOA WA IRINGA NA BAADHI YA WILAYA ZA MIKOA WA DODOMA K**A VILE WILAYA YA CHAMWINO NA MPWAPWA SAMBAMBA NA WILAYA YA KILOSA MKOANI MOROGORO,

Serikali inatarajia kufanya Utafiti wa Kilimo, uvuvi na ufugaji Ili kuendana na Milengo ya Milenia ya Maendeleo endelevu...
07/11/2024

Serikali inatarajia kufanya Utafiti wa Kilimo, uvuvi na ufugaji Ili kuendana na Milengo ya Milenia ya Maendeleo endelevu ya kupambana na Njaa kabla ya mwaka 2030.

Hayo yamezungumzwa na Kamisaa wa sensa ya watu na makazi Bi. Anna Makinda katika Hafla ya kufunga mafunzo ya siku 14 ya wadadisi na wasimamizi 178 wa Kilimo wa mwaka 2023/24 katika Chuo Cha Afya Manispaa ya Iringa.

Makinda amesema kuwa Wadadisi na wasimamizi hao wanajukumu la kuangalia Takwimu za uzalishaji kwenye kilimo, ufugaji na uvuvi katika Jamii zao kwa Kuzalisha kwa takwimu sahihi Ili kuongeza uzalishaji na kufanya nchi kuwa kwenye ulimwengu wa mataifa yenye mipango katika uzalishaji kwa kutumia takwimu.

"Niwaambie vijana wangu Roho na uhai wa nchi unategemea takwimu sahihi kwani hata wakulima wakitaka kulima itawasaidia kujua ni mbolea kiasi Gani inahitajika katika shamba la ukubwa kiasi Fulani, na baada ya hapo nitapata mavuno gunia ngapi" Alisema Makinda

Naye Mtakwimu Mkuu kutoka Zanzibar Kasimu Salim Ally Alisema kuwa Mafunzo K**a hayo yanaendelea visiwani Zanzibar huku akiwataka Washiriki kutimiza wajibu wao Ili kufikia lengo la utafiti ambao wamefundishwa.

Awali Mtakwimu Mkuu wa serikali Bi Albina Chuwa amebainisja kuwa kitendo cha Kuandaa takwimu za kilimo, uvuvi na ufugaji kitasaidia Kukusanya sera za kuboresha sekta hizo.

Alisema Katika Utafiti wa pili kufanyika kupitia Shirika la FAO duniani walikubaliana kuwa ikifika mwaka 2030 kuwe hakuna njaa katika mataifa yote.

"Utafiti huu utasaidia kuiambia serikali ni wapi tumefikia katika kupambana na Njaa kabla ya mwaka 2030 na niwajulishe kuwa Kilimo kinachangia asilimia 26 ya uchumi wa Tanzania, na Ili tupime kilimo hiki ni lazima kuwe na utafiti na kupima kilimo tunacholima K**a kina tija" Alisema Bi. Albina.

Kwa upande wao baadhi ya Washiriki wa Mafunzo hayo ambao ni Wadadisi na wasimamizi Kilimo wa mwaka 2023/24 wamesema kuwa kupitia sensa ya watu na makazi wataweza Kutekeleza majukumu Yao na kuhakikisha wanaandaa takwimu ambazo zitasaidia kukuza sekta ya Kilimo, uvuvi na ufugaji.


Leo kwenye Kipindi Cha Mitetemo ya Afrika atakuwepo Mchungaji Rukia kuzungumzia kuhusu Misingi ya Maisha ya kweli ni Kwe...
07/11/2024

Leo kwenye Kipindi Cha Mitetemo ya Afrika atakuwepo Mchungaji Rukia kuzungumzia kuhusu Misingi ya Maisha ya kweli ni Kweli Yenyewe kuanzia saa 3 kamili usiku.




Yaliyojiri kwenye vichwa vya magazeti Leo November 7 2024.
07/11/2024

Yaliyojiri kwenye vichwa vya magazeti Leo November 7 2024.



06/11/2024

cc:


πŸ“Έ


Umewasha Redio ? tune sasa 93.5 Nuru Fm πŸ’₯πŸ”₯
06/11/2024

Umewasha Redio ?

tune sasa 93.5 Nuru Fm πŸ’₯πŸ”₯

Vibeonvibes, tupo nao mjengoni saa hii ndani ya Sayari ya Burudani πŸ”₯πŸ”₯Tune sasa  93.5 Nuru Fm.cc:
06/11/2024

Vibeonvibes, tupo nao mjengoni saa hii ndani ya Sayari ya Burudani πŸ”₯πŸ”₯

Tune sasa 93.5 Nuru Fm.

cc:


06/11/2024

cc


πŸ“Έ

06/11/2024

cc


πŸ“Έ


Ianze siku yako na 93.5 Nuru Fm πŸ”₯
06/11/2024

Ianze siku yako na 93.5 Nuru Fm πŸ”₯


05/11/2024



05/11/2024

TULIYONAYO JIONI YA LEO KWENYE HABARI

Wanawake wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Vijijini wametakiwa kutenga muda wa kukaa na watoto wao ili kujenga mahusiano mazuri ya kirafiki na ya ukaribu.
#####################X

Watu wasiofahamika wamevunja na kuondoka na misalaba iliyowekwa kwenye makaburi ya Kola, mkoani Morogoro.

NA KATIKA HABARI ZA KIMATAIFA
Je umewahi kufikiria kwanini uchaguzi wa rais wa Marekani mara zote hufanyika wakati wa majira ya kipupwe na siku ya Jumanne?
###########################

NA KATIKA HABARI ZA MICHEZO
Kocha wa Singida Black Stars, Patrick Aussems amesisitiza umuhimu wa kutumia mapumziko ya wiki mbili za kalenda ya Fifa kuboresha kikosi ili kukabiliana na ratiba ngumu ya kucheza michezo mitatu ndani ya siku nane.

Umeandaliwa na Dawati la habari la Nuru Fm
Na kusomwa na

🎦🎬



Yaliyojiri kwenye vichwa vya magazeti Leo November 5 2024.
05/11/2024

Yaliyojiri kwenye vichwa vya magazeti Leo November 5 2024.




Address

Benbelastreet Gangilonga
Iringa
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NURU FM Iringa 93.5 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to NURU FM Iringa 93.5:

Videos

Share

Category