Manyasi Media

Manyasi Media We Do ๐Ÿ‘‡
๐Ÿ“ธ Photography
๐Ÿ“ฝ๏ธ Videography
๐Ÿ–Œ๏ธ Graphic Design & Printing
๐Ÿ“ข ๐Ÿ“ฑMarketing & Social Media

K**a ulikosa Show ya juzi ya Poetry, Magic & Live Music, basi hakikisha haukosi Show ijayo maana Live Music kutoka kwa K...
06/03/2024

K**a ulikosa Show ya juzi ya Poetry, Magic & Live Music, basi hakikisha haukosi Show ijayo maana Live Music kutoka kwa Kapandila ilikuwa ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ kuliko maelezo
radio




๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Yaliyojili kwenye Usiku wa Poetry, Magic and Live Music Jumamosi iliyopita ndani ya  kwa usimamizi wa   Na  huku show nz...
05/03/2024

Yaliyojili kwenye Usiku wa Poetry, Magic and Live Music Jumamosi iliyopita ndani ya kwa usimamizi wa Na huku show nzima ikienda hewani ( live ) kupitia .radio
radio




๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Mkali na Bingwa wa Mazingaombwe Mr. NIBOMASTER atakuwepo siku ya jumamosi hii ya tarehe 2/3/2024 pale  kukuburudisha na ...
28/02/2024

Mkali na Bingwa wa Mazingaombwe Mr. NIBOMASTER atakuwepo siku ya jumamosi hii ya tarehe 2/3/2024 pale kukuburudisha na kukushangaza kwa mengi kwenye Magic hatari ambazo hujawahi ziona. Hii ni kwa mtonyo wa Tsh.15,000 tu kuanzia saa12 jioni hadi saa4 usiku. Show hii imeandaliwa na Na .

Sehemu ya kupata tiketi๐Ÿ“
1. Sinza - Powaful products - +255 762 177 073
2. Skycity - Spectrumtz - +255 756 237 783
3. UDSM - Rais wa wanafunzi - +255 733 289 005
radio







26/02/2024

"Anaitwa .romantic77 Mtunzi na muimbaji wa mashahiri nae atakuwepo kwenye Usiku wa A Night Of Poetry magic and live music march 02 ,2024 ,Imeandaliwa na Na .

Kiingilio ni Tsh.15,000/- tu getini

Sehemu ya kupata tiketi๐Ÿ“
1. Sinza - Powaful products - +255 762 177 073
2. Skycity - Spectrumtz - +255 756 237 783
3. UDSM - Rais wa wanafunzi - +255 733 289 005
radio






"Anaitwa ZAMDI,  Binti mwenye uwezo mkubwa wa utunzi na uimbaji wa mashahiri nae atakuwepo kwenye Usiku wa A Night Of Po...
26/02/2024

"Anaitwa ZAMDI, Binti mwenye uwezo mkubwa wa utunzi na uimbaji wa mashahiri nae atakuwepo kwenye Usiku wa A Night Of Poetry magic and live music march 02 , 2024 ,Imeandaliwa na Na .

Kiingilio ni Tsh.15,000/- tu getini

Sehemu ya kupata tiketi๐Ÿ“
1. Sinza - Powaful products - +255 762 177 073
2. Skycity - Spectrumtz - +255 756 237 783
3. UDSM - Rais wa wanafunzi - +255 733 289 005
radio








22/02/2024

โ€œ Harusi ya mwafulani isikutoe mafua, ukapata tabu yaani mtihani kupumua roho juu mawinguni, unajipiga kifua โ€œ Salehe Ostaz

Tickets za Show ya Poetry, Magic and Live Music bado zipo kwa gharama ya Tsh.15,000 tu lipia tiketi yako kupitia Mpesa Lipa namba : 5814223 : NEEMA S.ABEID au Fika kwenye vituo vyetu vya tiket

Location ๐Ÿ“
1. Sinza - Powaful products - +255 762 177 073
2. Skycity - Spectrumtz - +255 756 237 783
3. UDSM - Rais wa wanafunzi - +255 733 289 005

Cc
Boresha Radio

Manyasi Media


Henry Manyasi

Nafasi Art Space

21/02/2024

We are at it again guys... Karibuni sana Spectrum-poetryTz is back to give you another amazing night of poetry, Magic and Live Music yaani mashairi, mazingaombwe pamoja na muziki mubashara. This event which will be held at Nafasi Art Space on the 2nd of March from 6-10pm will be dedicated to . Welcome to have your minds blown by the way of the words with our theme "The Truth ๐Ÿ†š The Facade[womanhood101]" ....

Tickets Bado zipo with our flat rate of 15K per person, lipia tiketi yako kupitia Mpesa Lipa namba : 5814223 : NEEMA S.ABEID au tupigie kwa simu namba 0699344300 / 0758431802

Cc radio








๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

20/02/2024

Ikiwa wewe ni mwanamke/mwanaume na umeachwa, usipange kukosa kuna mengi yakujifunza na utapata msamaha na ndoa/penzi/mahusiano yako yatarudi k**a zamani. Ni USIKU WA POETRY, MAGIC and LIVE MUSIC itakayofanyika NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space Tarehe 2/3/2024 kuanzia saa 12 jioni hadi Saa4 usiku.

Lipia tiketi yako leo, kwa Tsh.15,000 tu kupitia Mpesa Lipa namba : 5814223 : NEEMA S.ABEID

Mawasiliano Zaidi:
0699344300
0758431802

Cc
Boresha Radio

Manyasi Media

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Kumekucha!  kwa kushirikiana na Manyasi Media inakuletea A NIGHT OF POETRY MAGIC AND LIVE MUSIC, tarehe 02/3/2024 pale N...
19/02/2024

Kumekucha! kwa kushirikiana na Manyasi Media inakuletea A NIGHT OF POETRY MAGIC AND LIVE MUSIC, tarehe 02/3/2024 pale NAFASI ART SPACE. Kupitia tukio hilo tutasherehekea mafanikio ya wanawake, kuongeza ufahamu kuhusu masuala ya wanawake, na kuhamasisha mabadiliko chanya kuelekea siku ya mwanamke duniani huku tungo na burudani ikiendelea kurindima kutoka kwa wasanii mahiri kuanzia Saa12 jioni hadi Saa4 Usiku.

Jipatie tiketi yako leo, kwa Tsh.15,000 tu kupitia Mpesa Lipa namba : 5814223 : NEEMA S.ABEID

Hii siyo ya kukosa!!

Mawasiliano Zaidi:
0699344300
0758431802

Cc Boresha Radio

Kongamano la scholarship fair lililofanyika, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam - Nkrumah Hall, ikiongozwa na Naibu Waziri wa ...
12/02/2024

Kongamano la scholarship fair lililofanyika, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam - Nkrumah Hall, ikiongozwa na Naibu Waziri wa Elimu, sayansi na teknolojia Mhe. Omari Juma Kipanga

Cc;

Photo Credit
Photo & Video Production
Graphic Design & Printing
+255 758 431 802

Unapoanza wiki yako na tabasamu lenye kuashiria furaha na mafanikio kwa wiki inayoanza, โœŒ๏ธ๐Ÿ˜ŠBrand Manyasi Media Photo & V...
11/01/2024

Unapoanza wiki yako na tabasamu lenye kuashiria furaha na mafanikio kwa wiki inayoanza, โœŒ๏ธ๐Ÿ˜Š

Brand Manyasi Media
Photo & Video Production
Graphic Design & Printing
+255 758 431 802

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Ikiwa nywele zako zinamuonekano mzuri, unapaswa kwenda kuzionyesha.. ๐Ÿ’†๐Ÿ’ƒBrand Manyasi Media Photo & Video ProductionGraph...
07/01/2024

Ikiwa nywele zako zinamuonekano mzuri, unapaswa kwenda kuzionyesha.. ๐Ÿ’†๐Ÿ’ƒ

Brand Manyasi Media
Photo & Video Production
Graphic Design & Printing
+255 758 431 802

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #

Friday Mood! ๐Ÿ˜œBrand Manyasi Media Photo & Video ProductionGraphic Design & Printing+255 758 431 802                     ...
07/01/2024

Friday Mood! ๐Ÿ˜œ

Brand Manyasi Media
Photo & Video Production
Graphic Design & Printing
+255 758 431 802

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Address

Ngome Road
Dar Es Salaam

Telephone

+255758431802

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Manyasi Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Manyasi Media:

Videos

Share

Category