"Waziri Wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Prof Palamagamba Kabudi amepokea Taarifa maalumu ya mapendekezo Ya aina ya michoro ya Vazi la Taifa Kutoka kwa Kamati iliyopewa jukumu ilo. Cc: @wizara_sanaatz #vazilataifa🇹🇿 #boresharadio #onlineradio #washadata #usikivuendelevu #
"Baadhi Ya Wachezaji wa mpira wa miguu wanaocheza nafasi za ndani waliojikuta wanakuwa magolikipa wa muda . @edgarmtawala6 #footballfans #bsportsboresharadio
"Mkali wa #afrofusion @mkanyialeo Nae kutikisa kuta kongwe za Zanzibar Tamasha la 22 la @sautizabusara Feb 14 - 16 ,2025 .#Zanzibar #afrofusion #africanmusic #africanart #africandancers #boresharadio #washadata #usikivuendelevu #royaltourtanzania
Changamoto katika malezi hususani kwenye mahusiano yanaathiriwa na tamaduni zetu. Wazazi wengi leo hii bado wanaona haya kuzungumza na watoto wao kuhusu mahusiano. JE, NI MIIKO AU NI DONDA NDUGU LINALOTAKIWA KUONDOLEWA? Share some ideas kwenye comments tuhabarishane!
#lifeisgame : Karibu Kwenye #B_sports ya Leo Maskani kwetu ni @boresharadio #bsportsboresharadio #basketballfans🏀
B_sports @boresharadio. MAZOEZI NA AFYA : Kufanya Check Up mara kwa mara ni muhimu sana kwa Afya yako. Dr. Michael kutoka @nilaxhomehealthcare#mazoezinaafya #bsportsboresharadio #onlineradio #washadata #usikivuendelevu
#B_sports @boresharadio"Hongera sana @simbualphonce Na @magdalena_chripine Kwa kushinda medali ya dhahabu baada ya kumaliza nafasi ya kwanza mashindano ya Majeshi AMGA 2024 nchini Nigeria. 🇹🇿🏅👏@nsc_bmt @gersonmsigwa @athleticstanzania#amga2024 #nigeria #bsportsboresharadio #washadata #usikivuendelevu #tanzaniarunners
"King Kazu Mchezaji mwenye umri mkubwa anaetoa darasa kubwa uwanjani . Edgar Mtawala #footballfans #kazuyoshimiura #bsportsboresharadio
"Wachezaji wa mpira wa miguu waliogeuka Kuwa Yuda kwa mashabiki wao baada ya kusajiliwa .Edgar Mtawala #factfinder #solcampell #carlostevez #luisfigo #johnobimikel #mauroicardi #robinvanpersie#bsportsboresharadio #footballfans #washadata #usikivuendelevu
"Wachezaji waliopata kadi nyekundu za kushangaza na kubakisha historia mpaka leo kwenye dunia ya mpira wa miguu . Edgar Mtawala. #factfinder #bsportsboresharadio #footballfans #washadata #usikivuendelevu
#B_sports @boresharadio "Hili ndo eneo ambalo Tanzania @taifastars wamebadilika na wanacheza vizuri . Edgar Mtawala@hamisa24 #bsportsboresharadio #washadata #onlineradio #usikivuendelevu #footballfans
Ain’t no music like good old Rhumba vibes! 🎶✨ Calling all Boomers, Millennials, Gen Zs, and Gen Alphas—let’s unite and groove! 💃🕺 #BoreshaRadio #UsikivuEndelevu #RhumbaForever #TimelessTunes"