Allah hana mshirika

Allah hana mshirika WAO WALIKUWA K**A SISI NA SISI TUTAKUWA K**A WAO... SWALA NDIO UFUNGUO WA JANNAH......
TUMCHEALLAH
(41)

11/04/2023

Maashaallah
08/04/2023

Maashaallah

01/12/2022

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ

إِذَا جَاءَ نَصْرُ اللَّهِ وَالْفَتْحُ
Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,

وَرَأَيْتَ النَّاسَ يَدْخُلُونَ فِي دِينِ اللَّهِ أَفْوَاجًا
Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi,

فَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ وَاسْتَغْفِرْهُ ۚ إِنَّهُ كَانَ تَوَّابًا
Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba.

26/10/2022

Kisa cha kusisimua kuhusu mashindano ya sayyidunaa ABUBAKR na sayyidunaa UMAR juu ya kumsaidia bibi kizee kipofu

هَٰذَا خَلْقُ اللَّهِ فَأَرُونِي مَاذَا خَلَقَ الَّذِينَ مِنْ دُونِهِ ۚ بَلِ الظَّالِمُونَ فِي ضَلَالٍ مُبِينٍHuu ni uum...
03/10/2022

هَٰذَا خَلْقُ اللَّهِ فَأَرُونِي مَاذَا خَلَقَ الَّذِينَ مِنْ دُونِهِ ۚ بَلِ الظَّالِمُونَ فِي ضَلَالٍ مُبِينٍ

Huu ni uumbaji wa Mwenyezi Mungu. Basi nionyesheni wameumba nini hao wasio kuwa Yeye! Lakini madhaalimu wamo katika upotovu uliyo dhaahiri. (31:11)

INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUN.SHEIKH YASUPH AL-QARDHAWY AFARIKI DUNIA.ALLAH AMREHEMU NA AMJAALIE PEPO IWE MAKAZI YAK...
26/09/2022

INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUN.

SHEIKH YASUPH AL-QARDHAWY AFARIKI DUNIA.
ALLAH AMREHEMU NA AMJAALIE PEPO IWE MAKAZI YAKE SHEIKH WETU

18/09/2022

Today's Best Photo🌿🥰 💙❤💙❤💙❤💙❤💙❤
10/09/2022

Today's Best Photo🌿🥰

💙❤💙❤💙❤💙❤💙❤












Today's the best Photo 🌿🥰💚💚💚💚💚💚💚💚💚        's Best            •           
06/09/2022

Today's the best Photo 🌿🥰
💚💚💚💚💚💚💚💚💚







's Best



















Today's Best Photo ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️        's Best            •      
02/09/2022

Today's Best Photo ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️








's Best














*TAHADHARI!* *TAHADHARI!**TAHADHARI NA KAMPENI CHAFU!*Kuna msahafu umepigwa chapa na Wazayoni na Maadui wa Uwislsmu Wana...
01/09/2022

*TAHADHARI!* *TAHADHARI!*
*TAHADHARI NA KAMPENI CHAFU!*

Kuna msahafu umepigwa chapa na Wazayoni na Maadui wa Uwislsmu Wanao piga kampeni ya kuhalalisha USHOGA, ukiwa katika karatasi za rangi mbali mbali, RAINBOW, ambazo ni ALAMA na NEMBO ya Kuhalalisha Ushoga.

Inagawiwa bure, na yumkini imechakachuliwa ndani yake.

Ukiupata, au ukipewa, au ukiuona utie moto. *Ukipewa pokea na uchome moto, papo hapo!*.

*لعنهم الله لعنا كبيرا*


👇👇👇👇 Hii hapa picha yake.

30/08/2022

Subhanah ALLAH 😳😳😳

• Today's the best Photo 😍😍😍• 
29/08/2022

• Today's the best Photo 😍😍😍













• Today's the best Photo 😍😍😍• 
27/08/2022

• Today's the best Photo 😍😍😍











HISTORIA FUPI YA SHEIKH HAMID KISHKI AZHARY ALLAH AMREHEMU_______________________________________________🔘 Aliishi masik...
21/08/2022

HISTORIA FUPI YA SHEIKH HAMID KISHKI AZHARY ALLAH AMREHEMU
_______________________________________________

🔘 Aliishi masikini, na alikufa maskini, alimiliki godoro lake tu.

🔘 Alipoteza uwezo wa kuona akiwa na umri wa miaka 17.

🔘 Alienda kwa daktari kufanyiwa upasuaji wa macho, alipofika nyumbani ulimpata usingizi akamuona Mtume wa Mwenyezi Mungu (rehema na amani ziwe juu yake) katika ndoto.

🔘 Akamwambia utakutana na Mola wako ukiwa hivi... Yaani hakuna haja ya kufanya oparesheni yoyote kwenye macho yako.

🔘 Sheikh Kishki alikuwa akisema, “Mungu mrehemu” Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu aliyechukua macho yangu nisione nyuso za madhalimu.

🔘 Mahubiri yake yalikuwa yakitikisa viti vya madhalimu.

🔘 Alikuwa akimuomba Mungu maishani mwake amfishe akiwa amesujudu, na hakika Mola Mlezi akamjibu na akafa hali akiwa amesujudu mbele ya Allah.

Tukiwa na watu wa namna hii lazima tujivunie.

Tumuombe Mwenyezi Mungu aifanye sura yake isambae duniani kote ili kizazi kijacho kijue historia yake na kimuombee rehema.

Sheikh Abdul Hamid_Kishk

31/12/2021

Maashaallah

28/08/2021

Msikilize sheikh na share kwa wingi INSHAALLAH

BREKING NEWSMASHEIKH WAWILI WA UAMSHO WAACHIWA NA KURUDI ZANZIBAR. 15/6/2021Katika hali iliyo nzuri na ya Kufurahisha za...
16/06/2021

BREKING NEWS

MASHEIKH WAWILI WA UAMSHO WAACHIWA NA KURUDI ZANZIBAR.
15/6/2021

Katika hali iliyo nzuri na ya Kufurahisha zaidi kwa Waislam ni Jana Majira ya Jioni Mashekh Waliokuwa Gerezani kwa Mashtaka ya Ugaidi Waachiwa na Kurudi Zanzibar kwenye Familia Zao.

Mashekh Hao wa Uamsho walio Achiwa ni Sheikh Mselem Ally, Bingwa wa Kutafsiri Qur'an, na Shekh Faridi Had ndio wameachiwa jana Jioni wakiwa na Afya Njema kabisa.

Asante Mama kwa Kufanya Haki na Uadilifu Allah Akulinde na Maadui.

10/06/2021

Msikilize kwa umakini sana

17/05/2021

👂🏻msikilize Kwa makini sana utajifunza kitu inshaallah

Ijumaa maquburi
07/05/2021

Ijumaa maquburi

30/04/2021

Kimeniliza Kisa hiki share

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Allah hana mshirika posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Allah hana mshirika:

Videos

Share

Category


Other Newspapers in Dar es Salaam

Show All

You may also like