
12/02/2025
K**a Mkurugenzi Msaidizi wa online TV nimeguswa na Post hii ya Mkurugenzi Mwenzangu
πππππππππππ
Sapoti yenu Kwetu Watu Wa Media Ni ya Mhimu Tena Jamani Sisi uwaga Hatuna Makuu. Msituache k**a tulivyo Mwishoni tuakaja kuchukuliwa na Wa Missionary wa Mbali mkaanza kusema hooo Tunalinga Kumbe Wala na Hamkawii kusema ni filimason π€£π€£π€£π€£
Tumeshawashutikia Sisi Hatutafanya k**a Goodlock gozibeth π€£π€£π€£π€£