AD: Kipindi -13: Umuhimu wa Kifungua Kinywa
Kifungua kinywa ni mlo muhimu wa siku! Jifunze jinsi ya kuandaa kifungua kinywa chenye virutubisho. ๐ณ๐ฅ
#FB
#FAO
AD - Kipindi 12: Tabia na Mtindo Bora wa Kimaisha
โFanya afya kuwa tabia!โ ๐โ๏ธ๐ Chunguza mabadiliko rahisi ya mtindo wa maisha unayoweza kuzingatia ili kuwa na maisha yenye afya na furaha zaidi katika kipindi chetu kipya!
#NguvuYaProtini
#FBDGs
#LisheBora
#vyakulavyaasili
Kipindi 11: Lishe kwa Watoto Wachanga na Wadogo (Umri wa Miezi 6-24)
โKukua kwa afya!โ ๐ฝ๏ธ Sikiliza ili kupata vidokezo vya kuwapa watoto wa miezi 6 hadi 24 lishe kamili na yenye uwiano. Kila tonge ni muhimu!"
"Wakati wa kuanzisha vyakula mbalimbali! Jifunze kuhusu lishe bora kwa watoto wadogo.
AD - Kipindi 10: Lishe Bora na Vyakula vya Nafaka, Mizizi, na Ndizi Mbichi
โFahamu nguvu ya wangaโ ๐ฅ Gundua jinsi vyakula vya nafaka, mizizi, viazi, ndizi za kupika, na ndizi mbichi vinavyotoa nishati na virutubisho muhimu kwa mwili wako. Jifunze jinsi ya kuvitumia kwenye milo yako kwa nishati ya muda mrefu katika kipindi cha wiki hii!
#NguvuYaProtini
#FBDGs
#LisheBora
#VyakulaVyaAsili
AD - Kipindi 9: Lishe Bora na Vyakula vya Jamii ya Mikunde, Karanga, na Mbegu
๐ฑ๐ฅ Kipindi hiki kinaangazia maajabu ya lishe yanayotokana na mikunde, karanga, na mbegu. Gundua jinsi vyakula hivi vyenye virutubisho vingi vinavyoweza kuboresha lishe na afya yako!
#NguvuYaProtini
#FBDGs
#LisheBora
#VyakulaVyaAsili
AD.
Samaki na Wadudu Ulikuwa unajua? ๐ฆ Vyakula vya asili ya wanyama vina virutubisho tele! Jiunge nasi kuchunguza faida za samaki na hata wadudu kwa lishe bora. Samaki na wadudu ni vyanzo vizuri vya protini, vitamini, na madini! Jifunze jinsi wanavyoweza kusaidia lishe yako. ๐๐
Food and Agriculture Organization of the United Nations (FAO)
#NguvuYaProtini #FBDGs #LisheBora #VyakulaVyaAsili
AD: Kipindi - 6: Mlo Kamili kwa Lishe na Afya Bora
Mwongozo wa Chakula na Ulaji Zanzibar, Furahia ladha za kipekee za Zanzibar! ๐๏ธ Tazama kipindi chetu kipya kujua jinsi viungo vya asili vinavyoweza kukusaidia kuunda milo kamili inayoboost afya yako.
#Agriconnect
#FBDGs"
AD: Kipindi - 6: Mlo Kamili kwa Lishe na Afya Bora
Mwongozo wa Chakula na Ulaji Tanzania Bara Katika kipindi hiki, utajifunza kuhusu umuhimu wa mlo kamili kwa afya na jinsi unavyoweza kuutumia kuboresha maisha yako. Jiunge nasi kwa safari ya kupendeza kote Tanzania Bara kupitia FBDGs! ๐. Gundua vyakula mbalimbali vinavyolisha mwili wako.
#Agriconnect
#FBDGs
AD: Kipindi 5 - Lishe kwa Mama anyonyeshaye kulingana na FBDGs za Tanzania
Kulea Uzao! Jiunge nasi tunapochunguza mahitaji muhimu ya lishe kwa mama anyonyeshaye.
Kipindi hiki kinajumuisha miongozo ya lishe, mapishi, na ushauri wa kitaalamu kuhakikisha mama na mtoto wanafanikiwa wakati wa kunyonyesha. Hebu tusherehekee safari ya uzazi kwa milo yenye virutubisho!
#LisheKwaMamaAnyonyeshaye
#MamaWenyeAfya
#SahaniBora
#FBDGsโฆ
Doris Mollel
Msaidizi - Dkt. Ahmed Ghalib
@FAO
AD: Kipindi #4: Manufaa ya Lishe Bora Wakati wa Ujauzito
Kulea Maisha Mawili! Ujauzito ni wakati muhimu kwa lishe! Kipindi hiki kinaangazia mahitaji muhimu ya lishe kwa wajawazito. Gundua virutubisho muhimu, vidokezo vya upangaji wa milo, na jinsi ya kusaidia mama na mtoto kupitia chakula. Maisha yenye afya huanza mapema kuliko unavyofikiria! Jiunge nasi kugundua jinsi ya kujilisha wewe na mtoto wako kwa chakula bora wakati huu maalum! #LisheYaUjauzito #SahaniBora #FBDGs...
Mheshimiwa Riziki Pembe Juma (MB) - Zanzibar
Msaidizi - Zainabu Moyo
ACCOUNTS TO BE TAGGED
FB โ FAO
Kipindi #3: Mfano wa Sahani Bora ya Afya Zanzibar
Gundua Ladha za Zanzibar! Jiunge nasi kwa kipindi cha kuvutia kinachomshirikisha, Mheshimiwa Mama Mariam Mwinyi ambaye pia ni mke, mama, mwanzilishi na mwenyekiti wa "Zanzibar Maisha Bora Foundation," pamoja na Anisa Kassim - MoA Zanzibar, tunapofichua siri za FBDGs za Zanzibar.
Jifunze kuhusu viungo vya asili, mbinu za mapishi, na jinsi ya kuunda milo yenye uwiano mzuri wa afya.
Twende pamoja katika safari ya kula kwa afya na ladha!
#sahanibora
#FBDGs
#mwani
ACCOUNTS TO BE TAGGED
FB โ FAO
Kuchunguza Mfano wa Sahani Bora ya Afya ya FBDGs Tanzania -2
Pamba Sahani Yako na Matunda na Mboga! Katika kipindi hiki, Dkt. Germana Leyna, Mkurugenzi Mtendaji wa TFNC, na Mch. Modest Pesha Mratibu wa Mpango (CCT), wanajadili makundi muhimu ya chakula, wakilenga zaidi umuhimu wa matunda na mboga.
Jifunze jinsi ya kuandaa na kuingiza vyakula hivi vyenye virutubisho vingi kwenye milo yako kwa maisha yenye afya bora.
Sikiliza ili kupata vidokezo vinavyoboost afya yako!
#SahaniBora
#FBDGs
#MatundaNaMboga
Tfnc Tanzania
FAO