Soka la Bongo

Soka la Bongo Taarifa zote za Habari za Michezo Bongo , jiunge NAMI hapa.

🚨NBC PREMIER LEAGUE | FULL-TIME Tabora United 0-3 Simba SC ⚽⚽Ateba ⚽Kapombe ⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kweny...
02/02/2025

🚨NBC PREMIER LEAGUE | FULL-TIME

Tabora United 0-3 Simba SC

⚽⚽Ateba
⚽Kapombe

⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio

📂Unajiuliza ni wapi utapata habari za Uhakika kabisa Saa 24 kuhusu soka letu? Basi jibu lako ni . Follow Sasa Kwa Uhakika wa Taarifa za michezo!

🎙️

🚨NBC PREMIER LEAGUE | HALF-TIME Tabora United 0-2 Simba SC ⚽⚽Ateba ⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio 📂Un...
02/02/2025

🚨NBC PREMIER LEAGUE | HALF-TIME

Tabora United 0-2 Simba SC

⚽⚽Ateba

⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio

📂Unajiuliza ni wapi utapata habari za Uhakika kabisa Saa 24 kuhusu soka letu? Basi jibu lako ni . Follow Sasa Kwa Uhakika wa Taarifa za michezo!

🎙️

🚨Kikosi cha Tabora United dhidi ya Simba SC.⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio 📂Unajiuliza ni wapi utapat...
02/02/2025

🚨Kikosi cha Tabora United dhidi ya Simba SC.

⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio

📂Unajiuliza ni wapi utapata habari za Uhakika kabisa Saa 24 kuhusu soka letu? Basi jibu lako ni . Follow Sasa Kwa Uhakika wa Taarifa za michezo!

🎙️

🚨Kikosi cha Simba SC leo dhidi ya Tabora United.⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio 📂Unajiuliza ni wapi ut...
02/02/2025

🚨Kikosi cha Simba SC leo dhidi ya Tabora United.

⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio

📂Unajiuliza ni wapi utapata habari za Uhakika kabisa Saa 24 kuhusu soka letu? Basi jibu lako ni . Follow Sasa Kwa Uhakika wa Taarifa za michezo!

🎙️

🚨NBC PREMIER LEAGUE | FULL-TIME Yanga SC 4-0 Kagera Sugar FC ⚽Mzize ⚽Mudathir ⚽Pacome ⚽Musonda ⏩️ Soma zaidi www.sokalab...
01/02/2025

🚨NBC PREMIER LEAGUE | FULL-TIME

Yanga SC 4-0 Kagera Sugar FC

⚽Mzize
⚽Mudathir
⚽Pacome
⚽Musonda

⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio

📂Unajiuliza ni wapi utapata habari za Uhakika kabisa Saa 24 kuhusu soka letu? Basi jibu lako ni . Follow Sasa Kwa Uhakika wa Taarifa za michezo!

🎙️

🚨NBC PREMIER LEAGUE | HALF-TIME Yanga SC 1-0 Kagera Sugar FC ⚽Mzize ⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio 📂U...
01/02/2025

🚨NBC PREMIER LEAGUE | HALF-TIME

Yanga SC 1-0 Kagera Sugar FC

⚽Mzize

⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio

📂Unajiuliza ni wapi utapata habari za Uhakika kabisa Saa 24 kuhusu soka letu? Basi jibu lako ni . Follow Sasa Kwa Uhakika wa Taarifa za michezo!

🎙️

🚨Kikosi cha Kagera Sugar dhidi ya Yanga SC.⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio 📂Unajiuliza ni wapi utapata...
01/02/2025

🚨Kikosi cha Kagera Sugar dhidi ya Yanga SC.

⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio

📂Unajiuliza ni wapi utapata habari za Uhakika kabisa Saa 24 kuhusu soka letu? Basi jibu lako ni . Follow Sasa Kwa Uhakika wa Taarifa za michezo!

🎙️

🚨Kikosi cha Yanga SC dhidi Kagera Sugar.⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio 📂Unajiuliza ni wapi utapata ha...
01/02/2025

🚨Kikosi cha Yanga SC dhidi Kagera Sugar.

⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio

📂Unajiuliza ni wapi utapata habari za Uhakika kabisa Saa 24 kuhusu soka letu? Basi jibu lako ni . Follow Sasa Kwa Uhakika wa Taarifa za michezo!

🎙️

📌 |Bernard Morrison hayuko ‘FIT’ na hatatumika mechi za awali za DURU la pili. Swali; Ken walimsajili vipi mchezaji mwen...
01/02/2025

📌 |Bernard Morrison hayuko ‘FIT’ na hatatumika mechi za awali za DURU la pili.

Swali; Ken walimsajili vipi mchezaji mwenye majeraha kwenye nyakati ngumu walizonazo? Lakini Je, Dirisha dogo unamsubiri mchezaji, serious?

⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio

📂Unajiuliza ni wapi utapata habari za Uhakika kabisa Saa 24 kuhusu soka letu? Basi jibu lako ni . Follow Sasa Kwa Uhakika wa Taarifa za michezo!

🎙️

“Sisi kwa upande wetu tunataka Kurudi kwenye Nafasi yetu ya Juu, hivyo tutatimiza majukumu yetu ili tushinde, nawaomba s...
01/02/2025

“Sisi kwa upande wetu tunataka Kurudi kwenye Nafasi yetu ya Juu, hivyo tutatimiza majukumu yetu ili tushinde, nawaomba sana Wananchi waje kutupa Sapoti Kesho ili tufurahi pamoja” Kibabage

⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio

📂Unajiuliza ni wapi utapata habari za Uhakika kabisa Saa 24 kuhusu soka letu? Basi jibu lako ni . Follow Sasa Kwa Uhakika wa Taarifa za michezo!

🎙️

“Tunafahamu utakuwa mchezo mgumu hivyo tunapaswa kucheza vizuri zaidi na kiukweli tunawaheshimu sana Kagera Sugar, Tunaj...
01/02/2025

“Tunafahamu utakuwa mchezo mgumu hivyo tunapaswa kucheza vizuri zaidi na kiukweli tunawaheshimu sana Kagera Sugar, Tunajua watakuja vizuri hasa kwa Kujilinda zaidi hivyo tunapaswa kutumia nafasi tutakazozitengeneza” Sead Ramovic

⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio

📂Unajiuliza ni wapi utapata habari za Uhakika kabisa Saa 24 kuhusu soka letu? Basi jibu lako ni . Follow Sasa Kwa Uhakika wa Taarifa za michezo!

🎙️

🚨 PACOME, YAO NA DUBE WATENGWA YANGA…..RAMOVIC AWAPIGA ‘MKWARA.KIKOSI cha Yanga juzi jioni kilikuwa uwanjani kuvaana na ...
28/01/2025

🚨 PACOME, YAO NA DUBE WATENGWA YANGA…..RAMOVIC AWAPIGA ‘MKWARA.

KIKOSI cha Yanga juzi jioni kilikuwa uwanjani kuvaana na Copco ya Mwanza katika pambano la kiporo cha michuano ya Kombe la Shirikisho, huku kocha wa timu hiyo, Sead Ramovic akiwatega mastaa wa timu hiyo akiwamo Pacome Zouzoua, Yao Kouassi na Prince Dube.

Kocha huyo raia wa Ujerumani, amewatumia mastaa hao ujumbe na wengine wa timu hiyo mapema kwa kuwataka wakae kwa kutulia kwani anaenda kusaka kikosi kipya kwa ajili ya msimu ujao, hivyo kila mechi watakaopewa nafasi kucheza, waitumie kwa akili ili panga lisije likawapitia.

Ramovic, aliyetua Yanga Novemba mwaka jana kuchukua nafasi ya Miguel Gamondi aliyefurushwa baada ya timu hiyo kupoteza mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu mbele ya Azam FC na Tabora United, licha ya kuifikisha timu makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu wa pili mfululizo.

Tangu ajiunge na Yanga, kocha huyo ameiongoza katika mechi 11, zikiwamo tano za Ligi Kuu alizoshinda zote na sita za Ligi ya Mabingwa Afrika na alishinda mbili, sare mbili na kupoteza mbili, huku timu hiyo ikishindwa kwenda robo fainali kutokana na kuvuna pointi nane tu.

Kocha huyo alisema, wakati Ligi Kuu Bara ikianza mwezi ujao sambamba na kuwepo kwa mechi za Kombe la Shirikisho, ni wakati wa yeye na jopo lake la benchi la ufundi kuanza msako wa kikosi kipya atakachoanza nacho upya msimu ujao baada ya safari hii kuikuta timu katikati ya mashindano.

Alisema kiu ya kila mwanayanga ni kutaka kuona Yanga inafanya vyema katika michuano ya ndani ili irudi kimataifa na anataka kuhakikisha anakuwa na kikosi bora kitakachohimili michuano hiyo na kazi ataianza sasa kwa mechi zote zilizosalia za michuano ya ndani baada ya kukwama kimataifa.

⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio

📂Unajiuliza ni wapi utapata habari za Uhakika kabisa Saa 24 kuhusu soka letu? Basi jibu lako ni . Follow Sasa Kwa Uhakika wa Taarifa za michezo!

🎙️

🚨 KAMWE:- MAUMIVU HAYA YATAKUWA MARA MBILI KWETU…OFISA Habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema maumivu ya kuondolewa kwenye h...
28/01/2025

🚨 KAMWE:- MAUMIVU HAYA YATAKUWA MARA MBILI KWETU…

OFISA Habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema maumivu ya kuondolewa kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika yawe darasa na sehemu ya kupambana wasije kuumia zaidi siku za usoni.

Kamwe amesema maumivu wanayopata kwa kuondolewa kwenye makundi wanaweza kuhisi makubwa na mazito, wanatakiwa kutumia nafasi hii kujiuliza na kujipanga kwa ajili ya kutetea mataji ya Ligi Kuu Tanzania Bara na Kombe la Shirikisho (FA).

“Tukipoteza makombe yetu tuliyopata msimu uliopita, maumivu haya yatakuwa makali mara mbili au zaidi. maumivu haya yawe darasa na sehemu ya kupambana kufanya vizuri, tusije kuumia zaidi, tumegundua furaha yetu inawaumiza wapinzani wetu, basi tushik**ane,” amesema.

Kamwe amesema sasa nguvu na akili zao wanatakiwa kuelekeza katika michuano iliyopo mbele yao ya Ligi Kuu na michuano ya kombe la FA kuhakikisha wanafanikiwa kutetea mataji hayo.

“Tunahitaji kufanya vizuri katika michezo yetu ya ligi kukusanya alama tatu kila mechi na kurejea kwenye nafasi yetu ya kuongoza ligi na kufanya vizuri michuano ya FA,” amesema Kamwe.

Yanga ilishuka dimba la KMC Complex, kwenye mchezo wa michuano ya kombe la Shirikisho la FA dhidi ya Copco FC, uliochezwa, Jumamosi, Januari 25 na kushinda kwa goli 5-0.

⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio

📂Unajiuliza ni wapi utapata habari za Uhakika kabisa Saa 24 kuhusu soka letu? Basi jibu lako ni . Follow Sasa Kwa Uhakika wa Taarifa za michezo!

🎙️

🚨 KUHUSU MPINZANI ROBO FAINAL CAF….ZIMBWE AVUNJA UKIMYA SIMBA…ATAJA WANAYEMTAKA.NAHODHA wa Simba, Mohammed Hussein `Zimb...
28/01/2025

🚨 KUHUSU MPINZANI ROBO FAINAL CAF….ZIMBWE AVUNJA UKIMYA SIMBA…ATAJA WANAYEMTAKA.

NAHODHA wa Simba, Mohammed Hussein `Zimbwe Jr, amesema kumaliza kinara wa kundi kwenye michuano kombe la Shirikisho Afrika kumewapa nafasi ya kukwepa kukutana na timu kongwe au tishio barani Afrika katika hatua inayofuata.

Simba hatua inayofuata ya robo fainali inatarajiwa kucheza na kati ya Stellenbosch ya Afika Kusini, Al Masry ya Misri au Asec Mimosa ya Ivory Coast.

“Kwa `Level`ya Simba ilipofikia sio kuogopa timu au mpinzani yoyote anayekuja mbele yetu, siku zote unapomaliza nafasi ya juu unatengeneza nafasi ya mpinzani kukuogopa,” amesema.

Zimbwe Jr amesema baada ya kufanikiwa sasa wanahitaji kuona Simba inaendelea kufanya vizuri katika hatua inayofuata na kucheza nusu fainali.

“Simba bado haijawa imara k**a ilivyokuwa misimu mitatu au minne, lakini taratibu tunarudi kwenye ubora wetu kwa kuwa tishio kwa mashindano ya ndani na nje,” amesema.

⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio

📂Unajiuliza ni wapi utapata habari za Uhakika kabisa Saa 24 kuhusu soka letu? Basi jibu lako ni . Follow Sasa Kwa Uhakika wa Taarifa za michezo!

🎙️

🚨 BAADA YA KUISHIA MAKUNDI CAF….PACOME ASHINDWA KUJIZUIA YANGA…MSIMAMO WAKE HUU HAPA…WIKIENDI iliyopita Yanga ilitoka 0-...
28/01/2025

🚨 BAADA YA KUISHIA MAKUNDI CAF….PACOME ASHINDWA KUJIZUIA YANGA…MSIMAMO WAKE HUU HAPA…

WIKIENDI iliyopita Yanga ilitoka 0-0 na MC Alger, matokeo hayo yaliifanya kushindwa kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikimaliza nafasi ya tatu Kundi A.

Kushindwa kufuzu robo fainali, kumemfanya kiungo fundi wa timu hiyo, Pacome Zouzoua kutoa kauli ya tumaini jipya.

Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara na Kombe la FA, waliuanza msimu huu kwa kuivua Simba taji la Ngao ya Jamii.

Baada ya kubeba Ngao ya Jamii, huku Yanga ikishindwa kufikia malengo ya kucheza robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, Pacome amesema hawatakubali tena kuona wanawaumiza mashabiki wao hivyo wameamua kurudi kivingine uwanja wa mapambano.

Pacome alisema mpaka sasa hata wao hawaamini k**a timu yao imekosa kutinga robo fainali lakini sasa wanajipanga kutetea mataji yao ya ndani.

“Kuna wakati unaona ni k**a ndoto kukosa kucheza robo fainali, kuna wakati unapata matokeo ambayo yanashtua, hii imewaumiza sana mashabiki wetu na hata sisi wachezaji,” alisema Pacome na kuongeza.

“Haitakuwa nzuri k**a tutawaumiza na kukosa makombe ya ndani ambayo tunayashikilia, tutafanya kila linalowezekana kuhakikisha tunatetea makombe yetu yote.”

⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio

📂Unajiuliza ni wapi utapata habari za Uhakika kabisa Saa 24 kuhusu soka letu? Basi jibu lako ni . Follow Sasa Kwa Uhakika wa Taarifa za michezo!

🎙️

🚨AFCON 2025GROUP F.Cote D’ivore 🇨🇮Cameroon 🇨🇲Gabon 🇬🇦Mozambique 🇲🇿⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio 📂Una...
27/01/2025

🚨AFCON 2025

GROUP F.

Cote D’ivore 🇨🇮
Cameroon 🇨🇲
Gabon 🇬🇦
Mozambique 🇲🇿

⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio

📂Unajiuliza ni wapi utapata habari za Uhakika kabisa Saa 24 kuhusu soka letu? Basi jibu lako ni . Follow Sasa Kwa Uhakika wa Taarifa za michezo!

🎙️

🚨AFCON 2025GROUP D.Senegal 🇸🇳DR Congo 🇨🇩 Benin 🇧🇯Botswana 🇧🇼
27/01/2025

🚨AFCON 2025

GROUP D.

Senegal 🇸🇳
DR Congo 🇨🇩
Benin 🇧🇯
Botswana 🇧🇼

🚨AFCON 2025GROUP E.Algeria 🇩🇿Burkina Faso 🇧🇫Equatorial Guinea 🇬🇶 Sudan 🇸🇩⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye B...
27/01/2025

🚨AFCON 2025

GROUP E.

Algeria 🇩🇿
Burkina Faso 🇧🇫
Equatorial Guinea 🇬🇶
Sudan 🇸🇩

⏩️ Soma zaidi www.sokalabongo.com link kwenye Bio

📂Unajiuliza ni wapi utapata habari za Uhakika kabisa Saa 24 kuhusu soka letu? Basi jibu lako ni . Follow Sasa Kwa Uhakika wa Taarifa za michezo!

🎙️

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Soka la Bongo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category