Dartaarifa

Dartaarifa Sports & Entertainment

Nani anabisha Diamond sio BIlionare?
17/01/2025

Nani anabisha Diamond sio BIlionare?

WEKA MBALI
16/01/2025

WEKA MBALI

Hizi ni kufuru inayofanyika katika sherehe hizi ambazo hufanyika usiku wadada wakicheza nusu utupu ni zaidi ya laana

ON DartaarifaFM
06/01/2025

ON DartaarifaFM

Dartaarifa tv KINGJMSEKE KUANZA MAJARIBIO HUKO UINGEREZA MANCITYMtoto wa rapa wa Tanzania John makini Ambae anaitwa KING...
18/12/2024

Dartaarifa tv KINGJMSEKE KUANZA MAJARIBIO HUKO UINGEREZA MANCITY

Mtoto wa rapa wa Tanzania John makini Ambae anaitwa KINGJMSEKE ameanza majaribio huko uingereza mancity tv YouTube channel

Dartaarifa tv ADIDAS YAMPA YAMINE LAMAL ZAWADI YA KIATU kinda wa Barcelona Ambae amekuwaa na kiwangoo kizur msimu huu am...
18/12/2024

Dartaarifa tv ADIDAS YAMPA YAMINE LAMAL ZAWADI YA KIATU

kinda wa Barcelona Ambae amekuwaa na kiwangoo kizur msimu huu amezawadiwa na Adidas kiatu hichoo ambachoo kigharam kubwa sana

Dartaarifa tv YouTube channel

Dartaarifa tv ONA kufuru aliyoufanyaa Chris brown southFull ipo you tube
18/12/2024

Dartaarifa tv ONA kufuru aliyoufanyaa Chris brown south
Full ipo you tube

 . papa Francis aonya makasisi kuacha kufanya siasaWito umetolewa kwa makasisi wa kanisa la katoliki kuacha kufanya sias...
16/12/2024

. papa Francis aonya makasisi kuacha kufanya siasa
Wito umetolewa kwa makasisi wa kanisa la katoliki kuacha kufanya siasa

Wito huo umetolewa na papa Francis alipokuwa kwenye ziara ya siku moja huko corcia katika, kisiwa cha ufaransa cha meditarian, ambapo katika mkutano huo alionya dhidi ya aina mbalimbali za Hali kiroho ambayo Hali hiyo inachangia kuibua mizozo migawanyiko duniani

"Wachungaji wakanisa kuwa macho kutumia utambuzi na kuwa waangalifu" alisema papa Francis

Papa Francis alifanya safari yake ya tatu na pengine ya mwisho mwaka 2024

Kwa taarifa zaidii nenda you tube dartaarifa tv usisaahu kusabuscribe

Euromonitor international  imetangaza Bangkok kuwa jiji Bora la utalii duniani mwaka 2024 baada ya Jiji kuu la Thailand ...
16/12/2024

Euromonitor international imetangaza Bangkok kuwa jiji Bora la utalii duniani mwaka 2024 baada ya Jiji kuu la Thailand kuvutia idadi ya rekodi ya wataliii milioni 32.4 idadi hiyoo inapelekea kuwa mbali na istanbul ilishika nafasi ya pili 23

K**a Jiji la utalii Bangkok tayar ilivuka kiwango hicho kabla ya janga la COVID-19 katika utalii wa kimataifa mwaka 2023 na kuendelea kukua kwa asilimia 30 mwaka huu

Mafanikio ya BANGKOK yanatokana tu sio tu na idadi kubwa ya wageni Bali pia sera utalii mvuto wa jumla wa thailand

 mechi kati ya Simb sport club na Sfxaien uliopigwa pale uwanja wa Benjamin mkapa uliomalizika kwa Simba kuondoka na ush...
16/12/2024

mechi kati ya Simb sport club na Sfxaien uliopigwa pale uwanja wa Benjamin mkapa uliomalizika kwa Simba kuondoka na ushindi wa goli 2-1

Utata uliotokeaaa ni mara baada ya Simba kupata goli dakika ya 98 na wakati dakika ziliongezwa 8 na hivo kupelekeaa utata Hadi mashabiki wa Simba kung'oa viti na

Mchezo wa kombe la shirikisho barani Africa kati ya Simba sport club dhidi ya Sfxaien umemalizika pale uwanja wa Benjami...
16/12/2024

Mchezo wa kombe la shirikisho barani Africa kati ya Simba sport club dhidi ya Sfxaien umemalizika pale uwanja wa Benjamin mkapa .

Simba kuibuka msindi wa magoli 2-1 na kumsaidia Simba kupata points 3 na jumla kuwa na alama 6 kwenye kundi lake

  performing at FNB stadium Johannesburg nchini south AfricaMwanamuziki "Chris brown" kutoka marekani amefanya shoo juma...
16/12/2024

performing at FNB stadium Johannesburg nchini south Africa

Mwanamuziki "Chris brown" kutoka marekani amefanya shoo jumamosi na jumapapili yaan 14 na15 mwezi wa 12 mwaka 2024

Uwanja huo wa "FNB" ulioko mjini Johannesburg nchini south Africa unaingiza jumla ya watu elfu 94

you tube usisaahu kusabuscribe

Prince dube Leo ndio alikuwa k**a mwamuzi wa mchezo kati ya tp mazembe na yanga uliopigwa pale Lubumbashi congo aliingia...
14/12/2024

Prince dube Leo ndio alikuwa k**a mwamuzi wa mchezo kati ya tp mazembe na yanga uliopigwa pale Lubumbashi congo

aliingia mara baada ya kutoka kwa na dube aliingia sub yanga ikiwa inaongozwa bao moja kwa sifur

Dakika za mwishooo prince dube alisawazishaa na yanga kupata sare ya 1-1

Nenda you tube usisaau kusabuscribe tv

Mechi imemalizika pale Lubumbashi congo kati ya yanga na tp mazembe na mchezo umemalizika kwa 1-1 goli la yanga likifung...
14/12/2024

Mechi imemalizika pale Lubumbashi congo kati ya yanga na tp mazembe na mchezo umemalizika kwa 1-1 goli la yanga likifungwa na prince dube na tp mazembe likifungwa na fofana
YouTube

Yanga akiwa ugenini anaongozwa kwa goli moja goli ambalo limefungwa dakika "42" na mfungaji ni fofana sasa ni kipindi ch...
14/12/2024

Yanga akiwa ugenini anaongozwa kwa goli moja goli ambalo limefungwa dakika "42" na mfungaji ni fofana sasa ni kipindi cha kwanza kimemalizika

Dartaarifa tv DONALD TRUMP AMETANGAZWA KUWA MTU BORA WA MWAKARais mteule wa marekani donald trump ametajwa kuwa mtu Bora...
14/12/2024

Dartaarifa tv DONALD TRUMP AMETANGAZWA KUWA MTU BORA WA MWAKA

Rais mteule wa marekani donald trump ametajwa kuwa mtu Bora mwaka wa jarida la Time kwa mwaka 2024 heshima ambayo amepewa mara mbili Hadi sasa

Jarida Hilo lilifunua pichaa ya trump kwenye jarida lake Alhamisi 12 pamoja na mahojiano na k**anda mkuu ajaye yakigusia mamboo mbalimbali ikiwa na pamoja ya ushindi wake wa uchaguzi mustakabadhi wa harakati za MAGA,na mipango yake ya muhula wa pili,ikiwemo kuwarejesha mamilioni ya wahamiaji

Jarida Hilo liliita kuzaliwa upya kwa kisiasa kwa trump kuwa "hakuna kifani katika historia ya marekani"

Address

Ward Mbezi Juu
Dar Es Salaam
14128

Telephone

+255765926458

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dartaarifa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dartaarifa:

Videos

Share

Category