29/08/2024
Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho
Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo wamejiingiza kwa nguvu kwenye utamaduni huu mchafu na hatari. Kwa nini nasema ni hatari?
Punyeto na kujichua ni tendo la kiroho
Wengi hutazama tendo la ngono k**a furaha ya kimwili, lakini tumeshaona ni tendo la kiroho linalohusisha sehemu tatu za mwanadamu:
Roho
Mwili
Nafsi
Roho ndio inayoamua k**a iungane na roho nyingine ili kukamilisha uumbaji, ikikubaliana na mwenzake nafsi huungana kuwa kitu kimoja kisha mwili huungana na mwili mwingine kukamilisha tendo hilo kwa nje. Baadaye nitarlezea kwa kina kipengele hiki muhimu ili kujua uhusiano wa roho mwili na nafsi katika nguvu ya mapenzi.
Kwa hiyo tendo la ngono huamshwa rohoni, kisha KUKAMILIKA kwa Muungano wa nafsi, ndipo watu wanaona ushuhuda wa mwili kuwa watu fulani wanapendana. Mungu aliumba mtu mke na mtu mume, hao ndio wanaokamilishana. Kwamba aliumbwa mwanamume kwanza kisha akagawanywa kupata mwanamke, kwa hiyo ili huyu mtu awe kamili, ni lazima awe na opposite s*x wa kumkamilisha. Nimekupa hint ujue mwanamume kumtamani mwanamume mwenzake ni tatizo la kiroho, kadhalika mwanamke pia. Nitafafanua vizuri mbeleni..
Punyeto k**a Ilivyo kwa ngono haiwezi kamwe kukamilika bila kuwa na mwenza. Tendo hili linahusisha kuamsha hamu kwa kuvuta hisia (meditative stimulation) mpaka kufikia s*xual experience. Ni rahisi mtu kujidhani yu peke yake, lakini ukweli ni kuwa kuna mshirika wa pili anayefanya uwezekano wa kumaliza (ejaculation/climax). Hakuna mtu anayeamua tu, ngoja nipige punyeto. Huanza kwanza hamu ambayo huuteka ufahamu na ghafla mtu hujisikia hawezi tena kuvumilia. Sasa hiyo hamu ni NGUVU YA KIROHO inayoingia mwilini, ni ulimwengu wa roho, ni pepo wachafu. Pepo hawa wabaya ndio s*x partners wa wapiga punyeto!! Wao wanashughulika na nafsi ya mtu kwa kuanza na kuiteka roho, kisha wakaungana na mtu huyu katika nafsi kuwa mwili mmoja, ndipo anaanza kujichua kwa kutumia hisia tu mpaka akakojoa
hii imeandikwa na mawasiliano namba +255758669940
Nguvu ya uumbaji imo katika ngono
Zile baraka walizopewa Adam na Hawa "zaeni mkaongezeke, mkaijaze nchi, mkatawale... " ziliwekwa ndani ya nguvu ya ngono. Kwa lugha nyingine kitendo cha s*x kinaachilia nguvu ya uumbaji wa kila kitu duniani. Wazungu wanasema, s*xual in*******se opens portals to other dimensions. Ndio maana mke na mume wakiwa na makubaliano katika Roho, watafanya mambo makubwa katika maisha.
Sasa mpiga punyeto naye huachilia nguvu hiyo ya uumbaji, isipokuwa yeye huitoa kwa mapepo. Kumbuka nguvu hii ni sura yake yeye mwenyewe, nafsi yake halisi akawagawia mapepo. Hii ndio nguvu waitakayo ili kuweza kutekeleza mambo yao hapa duniani. Ni nguvu hii wanaitumia k**a mlango wa kushuka hapa duniani na kuwavuruga wanadamu. Jiulize, katika roho hakuna pepo jije wala dume. Mapepo ni roho wachafu tu, hawazai wala kuzaliana, imekuwaje leo tunapata JINI MAHABA JIKE NA DUME? Mwanamume anapopiga punyeto, huachia nguvu ambayo ni yeye mwanamume, hivyo pepo lililopo huichukua na kuivaa nguvu hiyo hata kuwa na hali ya kiume. Ndipo huanza kuwaingilia wanawake kwa kutumia nguvu hiyo, huku likimwrka mateka mpiga punyeto huyu aendelee kulizalishia nguvu hiyo. Mwanamke anayejichua hutoa nguvu ya k**e na hivyo kuligeuza pepo kuwa jike.
hii imeandikwa na mawasiliano namba +255758669940
Gereza la kiroho
Pepo huichukua na kuiweka gerezani roho ya mtu huyu na hapo huitiisha nafsi. Kwa hiyo hakuna jambo atafanya linafanikiwa maishani mwake isipokuwa mpaka mpenzi wake huyu wa kiroho akubali. Ndipo huja hadithi za majini yanayoharibu mafanikio.
Kuhani wa Kanisa la shetani, Antonio Lavey, aliwahi kusema, kafara kubwa kabisa ya siri, wakati wa ibada ya matambiko, ni kumwaga shahawa, ni zaidi ya kumchinja mtu na kumwaga damu yake.!! Kumbe kupiga punyeto ni kujitoa k**a kafara kwa mapepo na hivyo kuyapa nguvu zako!!
Ndio maana baada ya punyeto, mtu hawezi kufikiri vizuri, akili huwa k**a ina ukungu, nguvu hupungua sana mwilini. Nguvu zote za kiroho huondoka, mtu anakuwa mweupe kabisa kiroho, emotional energy inatoweka, ndipo hamu ya kuwa na opposite s*x inaanza kufifia nakukosa mvuto kabisa.
Shahawa sio mkojo, ni DNA yako mwenyewe. Nguvu za kumiliki zimo ndani yake, s*x energy, nguvu ya kuzalisha mali nk. Hizi huitwa dominion power. Ni nguvu hizi zinazochukuliwa na mapepo
hii imeandikwa na mawasiliano namba +255758669940
unaweza kujiubga na grp letu la free link yetu ni hii hapa jiunge sasa upate kujikomboa kiroho fanikiwa nasi kiroho gusa linki 馃憞馃憞馃憞馃憞馃憞馃憞
https://chat.whatsapp.com/GJpPpHldAbn3hPCxK2UhBi