Max News

Max News This page is special for Yanga sc sports news just for Yanga funs
(4)

MFAHAMU JONATHAN IKANGALOMBO A.K.A SPEED MAN KWA UCHACHE. ๐Ÿ”ฐ๐Ÿ”ฐ๐Ÿ”ฐKwa majina ni Jonathan Ikangalombo Kapela,,, Mchezaji huyu ...
16/01/2025

MFAHAMU JONATHAN IKANGALOMBO A.K.A SPEED MAN KWA UCHACHE. ๐Ÿ”ฐ๐Ÿ”ฐ๐Ÿ”ฐ

Kwa majina ni Jonathan Ikangalombo Kapela,,, Mchezaji huyu ambaye ni Raia wa DR Congo alizaliwa tarehe 5 ya mwezi Aprili mwaka 2002 hivyo kwa sasa ana umri wa miaka 23.

Nafasi yake uwanjani ni winga wa kulia lakini pia anao uwezo wa kucheza k**a winga wa kushoto na mshambuliaji wa kati. Jonathan amewahi kuitumikia klabu ya DC Motema Pembe ya huko huko DRC na A.S VITA CLUB aliyojiunga nayo mnamo mwaka 2023.

Jonathan Ikangalombo ametambulishwa saa 6 usiku wa kuamkia leo Alhamisi ya tarehe 16.01.2025 kuwa mchezaji rasmi wa Young Africans Sports Club

Mwananchi umeupokeaje usajili wa winga Jonathan Ikangalombo???

Wananchi wameshazoea kutoa magoli bora ya wiki, wachezaji bora wa wiki mpaka timu bora ya wiki. Sio jambo geni wala jipy...
14/01/2025

Wananchi wameshazoea kutoa magoli bora ya wiki, wachezaji bora wa wiki mpaka timu bora ya wiki. Sio jambo geni wala jipya pale Jangwani. Tumevunja mwiko wa kumfunga Al Hilal kwenye makundi na tumevunja mwiko wa kumkanda Ibenga na kikosi chake cha kwanza. Kuna mwenye swali?

๐†๐”๐’๐€ ๐€๐‚๐‡๐ˆ๐€ ๐“๐–๐„๐๐ƒ๐„ ๐‘๐Ž๐๐Ž ๐…๐€๐ˆ๐๐€๐‹๐ˆ.Kosa vitu vyote Mwananchi ila siyo Tiketi๐Ÿคฉ๐Ÿคฉ.
14/01/2025

๐†๐”๐’๐€ ๐€๐‚๐‡๐ˆ๐€ ๐“๐–๐„๐๐ƒ๐„ ๐‘๐Ž๐๐Ž ๐…๐€๐ˆ๐๐€๐‹๐ˆ.

Kosa vitu vyote Mwananchi ila siyo Tiketi๐Ÿคฉ๐Ÿคฉ.


SIMBA YAPIGWA RUNGU Simba SC imefungiwa michezo miwili kucheza bila mashabiki, mchezo wao dhidi ya CS Constantine na mch...
14/01/2025

SIMBA YAPIGWA RUNGU

Simba SC imefungiwa michezo miwili kucheza bila mashabiki, mchezo wao dhidi ya CS Constantine na mchezo mmoja wa robo fainali.

Timu ya Simba pia imetozwa faini ya dollars Elfu 40 sawa na zaidi ya shilingi millioni 96 na zilipwe baada ya siku 60.

HABARI NJEMA WANA GROUP WENZANGU WA SAFARI CRYPTOCURRENCY NAPENDA KUWATAMBULISHA KUWA NIMEPATA FURSA MPYA TENA AMBAYO TI...
13/01/2025

HABARI NJEMA WANA GROUP WENZANGU WA SAFARI CRYPTOCURRENCY

NAPENDA KUWATAMBULISHA KUWA NIMEPATA FURSA MPYA TENA AMBAYO TIYALI IMEKWISHA INGIA SOKONI NA HII SI NYINGINE BALI NI ALFA NETWORK

HII NI CRYPTOCURRENCY AMBAYO IMEINGI SOKONI HIVI KARIBUNI NA BADO KUNA FURSA YA KUICHIMBA NA NI BUREE KABISA HADA WALA KIINGILIO

HIVYO BASI YULE ATAKAYE KUWA TIYALI KWA FURSA HII AINGIE KATIKA LINK HII ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡Download This Amazing Cloud Mining App ALFA NETWORK & Earn ALFA Coins

Download For Free
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.alfanetwork.cloudmineapp
Use My Invite Code
maxdamian01

AJIUNGE KISHA ATATUMIA CODE HII๐Ÿ‘‡
maxdamian01
ILI UPATE BONUS YA ALFA

BAADA YA KUJISAJIRI JIUNGE KATIKA GROUP HILI KWA MAELEKEZO ZAIDI ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
https://chat.whatsapp.com/ERV64lDDLqa4Xenr0loI4z

KARIBUNI SANA NATUMAI HATA MBINGUNI HATUTO KWENDA SOTE BALI WALE WENYE WIWO WA KUFIKA HUKO๐Ÿ™

MSIMAMO | Wananchiโ€™ sasa njia nyeupeeeeeeeeeeeeโ€ฆโ€ฆ.!!!!Kituo kinachofuata ni:-Yanga vs MC Alger;TP Mazembe vs Al Hilal. J...
12/01/2025

MSIMAMO | Wananchiโ€™ sasa njia nyeupeeeeeeeeeeeeโ€ฆโ€ฆ.!!!!

Kituo kinachofuata ni:-

Yanga vs MC Alger;
TP Mazembe vs Al Hilal.

Je, unaona nini mbele?

Master kiiiiiiiiiiiioo ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
12/01/2025

Master kiiiiiiiiiiiioo ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

     !!!!!!!!!!!!!!!NDUGU   TUMEKULETEADARASA HURU LA KUJIFUNZA MASUARA YA   YAANI( CRYPTOCURRENCY)OFA HII HASA IMEWALEN...
11/01/2025

!!!!!!!!!!!!!!!

NDUGU TUMEKULETEA
DARASA HURU LA KUJIFUNZA MASUARA YA YAANI( CRYPTOCURRENCY)

OFA HII HASA IMEWALENGA MA 'S AMBAO WAMEKAMILISHA TARATIBU ZOTE KATIKA PI NETWORK
K**A VILE KYC VERIFICATION MPAKA MIGRATION
HIVYO HAO WAPO NA PI ZAO MPAKA SASA NA WAMESUBIRI OPEN MINNET WAWEZE KUUZA PI ZAO NA KUPATA PESA ZAO

SWALI NI KWAMBA NDIO UMEKAMILISHA KILAKITU JE UNAJUA JINSI YA MCHAKATO MZIMA UTAKAO UTUMIA KUZIBADILISHA PI COIN ZAKO KUWA PESA TENA SIO KUWA PESA BALI KUWA PESA ZA KITANZANIA (TZSH)???

SASA IPO IV KWA SASA DUNIA INAENDA KUINGIA KATIKA WIMBI LA MABILIONEA ASA KWA WALE WATAKAO KUWA WANAIMILIKI SARAFU YA PI HIVYO NI VYEMA UKAWA MMOJA WAPO KATIKA DARASA HILI

1.TUNAFUNDISHA JINSI YA KUFANYA BIASHARA YA KUHAMINIKA YAANI (SAFE BUSINESS) YA SARAFU YA

2.TUNAFUNDISHA JINSI UTAKAVYO IBADILI SARAFU YA PI COIN KUWA KATIKA HALI YA MABADILISHANO YAANI (PI COIN SWAP)

3. TUNAFUNDISHA JINSI GANI UTAIUZA PI COIN YAKO KUJA KATIKA MFUMO WA PESA HALALI YA KITANZANIA TZSH

TUNAHITAJI WANAFUNZI 50
KWA SASA ILI TUWEZE KUFUNGUA MUHURA WA KWANZA

ADA: 2000 KWA MIEZI MITATU ( 3)

PIA KWA WALE WATAKAO HITAJI KUJUA ZAIDI KUHUSU SARAFU ZOTE ZILIZOPO KATIKA TANGAZO HILI KUJUA JINSI YA NA KUFANYA MIAMALA YA KUTOA PESA ZAO KATIKA PLATFORM MBALIMBALI ZINAZOTOA HUDUMA ZA UCHIMBAJI WA SARAFU HIZI

HAO WATALIPIA TZS 4000 KWA MIEZI MITATU

MALIPA YAFANYIKE KUPITIA M PESA NAMBA #0759122676

ZINGATIA: USITUME PESA YA ADA KABLA HUJA WASILIANA NA MUHUDUMU WETU KUPIA #0694126728

BAADA YA MALIPO HAKIKISHA UNAPEWA LINK YA GROUP KWA AJIRI YA KUHUDHURIA DARASANI

MASOMO YETU YANAFANYIKA KUPITIA WHATSSAP KUANZIA SAA 2:00 USIKU HAKIKISHA UNAKUWA ONLINE TUNAFUNDISHA KWA NJIA YA (VOICENOTE ) TU MASWALI NA MAJIBU YANARUHUSIWA



KWA SASA MATAPELI WA PI COIN NIWENGI HIVYO NIVYEMA KUPATA ELIMU MAPEMA ILI USIJE POTEZA PI ZAKO BILA KUJUA

ASA WATU WENGI WATAPIGWA KWENYE OPEN MINNET PALE AMBAPO WATAKUWA HAWAJUI NJIA GANI SALAMA YA KUUZA SARAFU ZAO!!!!!! KARIBUNI SANA


11/01/2025
....โ™ฆ๏ธ ๐—”๐—›๐—ข๐—จ๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ฅ๐—Ÿ๐—˜๐—ฆAhoua Charles amehusika moja kwa moja katika asilimia 46% ya mabao yote 40 yaliyofungwa na Simba SC ...
09/01/2025

....โ™ฆ๏ธ ๐—”๐—›๐—ข๐—จ๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ฅ๐—Ÿ๐—˜๐—ฆ

Ahoua Charles amehusika moja kwa moja katika asilimia 46% ya mabao yote 40 yaliyofungwa na Simba SC katika mashindano yote msimu huu, akiwa na G/A 17 .... โœ๏ธ

โ—‰ 22 - Games
โ—‰ 09 - Goals scored
โ—‰ 08 - Assists
โ—‰ 17 - G/A

โšฝ 7 ๐Ÿ‘Ÿ 5 ๐ŸŽฎ 14 โ€” Ligi
โšฝ 2 ๐Ÿ‘Ÿ 3 ๐ŸŽฎ 06 โ€” Shirikisho
โšฝ 0 ๐Ÿ‘Ÿ 0 ๐ŸŽฎ 02 โ€” Ngao

Key .... ๐Ÿ”‘
_______________
โšฝ โ€” Mabao
๐Ÿ‘Ÿ โ€” Assists
๐ŸŽฎ โ€” Michezo

๐ŸšจTRANSFER UPDATE| Hivi mnakumbuka winga machachari wa zamani wa Yanga Sc raia wa Africa Kusin Skudu Makudubela aliyesaji...
09/01/2025

๐ŸšจTRANSFER UPDATE| Hivi mnakumbuka winga machachari wa zamani wa Yanga Sc raia wa Africa Kusin Skudu Makudubela aliyesajiliwa kwa mbwembe nyingi?

Kwa sasa jamaa anakipiga pale katika timu ya As Vita Club ya Congo chini ya kocha Yusuph Dabo,nae ni ingizo jipya k**a ilivyo kwa Ismail Mgunda.

TAARIFA KWA UMMAKocha Mkuu wa Yanga,Saed Ramovic amewaacha wachezaji wake watatu jijini Dar Es Salaam ambao ni Maxi Nzen...
09/01/2025

TAARIFA KWA UMMA
Kocha Mkuu wa Yanga,Saed Ramovic amewaacha wachezaji wake watatu jijini Dar Es Salaam ambao ni Maxi Nzengeli, Yao Kouassi pamoja na Aziz Andambwile kutokana na sababu za kutokuwa sawa kiafya.

Nzengeli alipata majeraha kwenye mchezo wa ugenini dhidi ya Tp Mazembe ambao mchezo huo uliisha kwa sare ya goli 1 - 1 na kumfanya akosekane kwenye mechi tano mfululizo nne zikiwa za ligi Kuu na moja ya kimataifa ambayo Yanga ilishinda 3 - 1 dhidi ya Tp Mazembe nyumbani.

Kwa upande wa Andambwile yeye alipata majeraha kwenye mchezo wa Yanga dhidi ya Tabora united mchezo ambao Wananchi walipoteza kwa kupigwa goli 1 - 3 na kupelekea kukosa mechi 7 ambao 4 za kimataifa na 3 za Ligi Kuu.

Yao Kouassi yeye alipata majeraha kwenye mchezo wa Ligi kuu ambao Yanga alicheza na Tabora United ambao Yanga ilipigwa goli 1 - 3 na kupelekea kukosekana kwenye michezo 9 minne ikiwa ya kimataifa na mitatu ya Ligi Kuu.
Yanga itazima na Al Hilal wikiend hii dhidi ya Al Hilal hukk nchini Mauritania ikiwa ni mchezo muhimu wa Ligi ya mabingwa Afrika.

CLUB YA YANGA IMETANGAZWA KUWA CLUB BORA YA WIKI KATIKA MICHUANO YA CAF CHAMPIONS LEAGUE
09/01/2025

CLUB YA YANGA IMETANGAZWA KUWA CLUB BORA YA WIKI KATIKA MICHUANO YA CAF CHAMPIONS LEAGUE


๐ŸšจKlabu ya Tabora United FC imekamilisha usajili wa beki Yassin Mustapha akitokea Mtibwa Sugar FCMustapha amejiunga na kl...
09/01/2025

๐ŸšจKlabu ya Tabora United FC imekamilisha usajili wa beki Yassin Mustapha akitokea Mtibwa Sugar FC

Mustapha amejiunga na klabu ya Tabora United FC akiwa Mchezaji huru baada ya kuachana na Mtibwa Sugar FC.

KOCHA IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALIโ€œYanga inawachezaji wazuri sana ambao wanaweza kucheza timu yoyote ...
09/01/2025

KOCHA IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI

โ€œYanga inawachezaji wazuri sana ambao wanaweza kucheza timu yoyote hapa Africa, unapoenda kukutana na timu k**a hiyo lazima ujipange kukukabiliana naamini Yanga Wataenda Robo Fainali,โ€
โ€œNawajua Yanga wanacheza Kwa Malengo Makubwa Ndoto Yao Ni Kubeba Ubingwa Wa Afrika Naamini Wataenda Robo Fainali Wanakocha Mzuri Na Kikosi Kizuri

FRORIENT IBENGE, Kocha Mkuu wa Klabu ya Al Hilal.

GSM aibuka na hii,.Mdhamini na Mfadhili wa Yanga SC, Ghalib Said Mohamed 'GSM' ameahidi kutoa bonus ya Tsh Milion 500 kw...
09/01/2025

GSM aibuka na hii,.

Mdhamini na Mfadhili wa Yanga SC, Ghalib Said Mohamed 'GSM' ameahidi kutoa bonus ya Tsh Milion 500 kwa kikosi cha Yanga SC endapo kitafanikiwa kupata ushindi dhidi ya Al Hilal Omdurman na MC Alger na kutinga robo fainali CAFCL.

๐ŸŸฉ๐ŸŸจโฌ›๏ธTAARIFA RASMI KUHUSU KIKOSI CHA YANGA SC ๐Ÿ”ฐ...Kikosi cha Young Africans Sports Club kimeanza safari ya kuelekea Nchin...
09/01/2025

๐ŸŸฉ๐ŸŸจโฌ›๏ธTAARIFA RASMI KUHUSU KIKOSI CHA YANGA SC

๐Ÿ”ฐ...Kikosi cha Young Africans Sports Club kimeanza safari ya kuelekea Nchini Mauritania ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ท alasiri ya leo kuwafuata Al Hilal S.C kwa ajili ya mchezo wa raundi ya tano ya hatua ya makundi ya CAF Champions League. K**a ilivyoelezwa awali, kikosi kitapita Istanbul, Uturuki ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท na kupumzika kwa masaa machache kisha kuendelea na safari ya kuelekea jijini Nouakchott nchini Mauritania.

๐Ÿ”ฐ...Kumbuka mchezo wa Al Hilal ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ ๐Ÿ†š ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Young Africans Sports Club utachezwa siku ya Jumapili majira ya saa nne usiku.

๐ŸŸฉ๐ŸŸจโฌ›๏ธSAFARI NJEMA MABINGWA. TANZANIA INAWATEGEMEA๐Ÿ™


Address

Mbezi
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Max News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Max News:

Videos

Share

Category