Mc Ayo Phd

Mc Ayo Phd Musician🎼
Tv&Radio Pressenter🎙
Call/ Whatsapp 📞+255 753 629 838

10/12/2024

Trust The Process ✍️
Ayo Phd






#

25/10/2024

Mungu ni mwaminifu kwa watumishi wake na amewaepusha na ajali mbaya ya gari iliyo tokea leo wakati wakiwa wamemaliza huduma huko tunduma na walikua wanaelekea uwanja wa ndege wa Songwe kwa ajili ya safari kurejea jijini Dar es salaam.

Hata hivyo kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kwamba wote wako salama na hakuna aliyepata jeraha lolote wala mchubuko wowote.

Tuzidi kumuomba Mungu atuepushe na hizi roho za ajali hasa katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.

Endelea kufuatilia Habari Maalum Tv kupitia kisimbuzi cha ...
📡 Azam Tv other chanel 012
📡Startimes chanel no 126

Cc :







Isaya 60:11  Malango yako nayo yatakuwa wazi daima; Hayatafungwa mchana wala usiku; Ili watu wapate kukuletea utajiri wa...
16/10/2024

Isaya 60:11 Malango yako nayo yatakuwa wazi daima; Hayatafungwa mchana wala usiku; Ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa, Na wafalme wao wakiongozwa pamoja nao.





16/10/2024
Isaya 1:17  jifunzeni kutenda mema; takeni hukumu na haki; wasaidieni walioonewa; mpatieni yatima haki yake; mteteeni mj...
16/10/2024

Isaya 1:17 jifunzeni kutenda mema; takeni hukumu na haki; wasaidieni walioonewa; mpatieni yatima haki yake; mteteeni mjane..





Mimi siombi kwamba uwatoe katika ulimwengu; bali uwalinde na yule mwovu.~Yohana 17:15•••••
16/10/2024

Mimi siombi kwamba uwatoe katika ulimwengu; bali uwalinde na yule mwovu.

~Yohana 17:15





Kufahamu haitoshi, ni lazima tuweke kwenye matendo, kutamani haitoshi  ni lazima tufanye. Wiki hii iwe ya matendo zaidi ...
16/10/2024

Kufahamu haitoshi, ni lazima tuweke kwenye matendo, kutamani haitoshi ni lazima tufanye.
Wiki hii iwe ya matendo zaidi kwako na kufanya zaidi

Trust The Process ✍️
Ayo Phd







Unahitaji Mafanikio...? Au una malengo unataka kuyafikia.? Huwa si rahisi bila ya mapito, lazima uwe na nadharia ya kuku...
15/10/2024

Unahitaji Mafanikio...? Au una malengo unataka kuyafikia.? Huwa si rahisi bila ya mapito, lazima uwe na nadharia ya kukupeleka mbele unapopitia mapito hayo.

Trust The Process ✍️
Ayo Phd .





Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, n...
15/10/2024

Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi.

~1 Timotheo 6:10.





Kuchukiana huondokesha fitina; Bali kupendana husitiri makosa yote.~Mithali 10:12.•••••
11/10/2024

Kuchukiana huondokesha fitina; Bali kupendana husitiri makosa yote.

~Mithali 10:12.





Baadaye inamilikiwa na wale wote wanaoamini kwenye uzuri wa ndoto zao.  Trust The Process ✍️       Ayo Phd .•••••       ...
11/10/2024

Baadaye inamilikiwa na wale wote wanaoamini kwenye uzuri wa ndoto zao.

Trust The Process ✍️
Ayo Phd .





Isaya 60:11  Malango yako nayo yatakuwa wazi daima; Hayatafungwa mchana wala usiku; Ili watu wapate kukuletea utajiri wa...
08/10/2024

Isaya 60:11 Malango yako nayo yatakuwa wazi daima; Hayatafungwa mchana wala usiku; Ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa, Na wafalme wao wakiongozwa pamoja nao..





Ikiwa huwezi kuelezea kwa kifupi, basi hujaelewa kiundani. Trust The Process ✍️      Ayo Phd .•••••                     ...
08/10/2024

Ikiwa huwezi kuelezea kwa kifupi, basi hujaelewa kiundani.

Trust The Process ✍️
Ayo Phd .





Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255753629838

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mc Ayo Phd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mc Ayo Phd:

Videos

Share