05/08/2011
nashindwa kuelewa ni kwanini chuo cha ustawi wa jamii kinachotoa wataalamu wa zuri kwa ajili kutatua na matatizo katika jamii, kinashindwa kutumia wataalamu hao hao kutatua matatizo ya chuo chenyewe...chuo kinaishi na matatizo k**a hakina mtaalamu yoyote.