🎥Maana halisi ya kula Ugali na mboga za majani 😃😃😂😂🙌
🎥Kagera wana jambo lao la kufunga Mwaka 2024.
Kegera mkoa wa Vibe la nyota 5🙌
🎥Steve Simple Boy A.K.A Dragon😂😂😂
🎥Hawa jamaa wanafundishwa jinsi tobo zinavyopigwa😂
🎥Usiseme sikukwambia,Mchongo ni huu hapa ,Tazama na sikiliza alafu wapigie simu namba 0678532425 au 0765403306
🎥Sikupangii shule ya kumpeleka mwanao lakini Rweikiza Nursery And Primary School wapo tayari kumtengenezea kesho iliyobora mwanao.
Kama umewaelewa basi mpigie mkuu wa kwa simu namba +255 765 403 306
🎥Mwanetu angekuwa sehemu gani kama ingekuwa bongo kwa tukio hili 😃😃
🎥Wananchi tayari wameikanyaga ardhi ya Ruangwa ,tayari kwa show
🎥TFS yaandaa mazingira kwa ajili ya wananchi Kagera kufuga Nyuki bila gharama
🎥Kwa hiyo itakuwaje kama kocha anasema kila mchezaji lazima atumike🤔
🎥WAZIRI MKUU APIGA KURA KIJIJINI KWAKE NANDAGALA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 27, 2024 ameshiriki katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kwenye kituo cha Shule ya Msingi Nandagala, Ruangwa, Lindi Novemba 27, 2024.
Akizungumza baada ya kupiga kura ambapo aliongozana na Mkewe Marry Majaliwa, Waziri Mkuu amewapongeza wakazi wa eneo hilo kujitokeza kwa wingi kuchangua viongozi katika uchaguzi huo unaofanyika nchi nzima.
“Wananchi wamejitokeza kwa wingi, tayari mimi na familia yangu tumepata nafasi ya kumchagua kiongozi ambaye tunaamini atatuletea maendeleo kwenye kijiji chetu”.