
06/10/2023
**SABABU ZA KUWAHI KUMALIZA TENDO LA NDOA KWA MWANAUME **
Wanaume wengi sasahivi wanatafuta njia ya kutatua tatizo la kuwahi kumaliza lakini wengi hawajalifahamu kwa undani tatizo lenyewe.
Hawajui limesababishwa na nini, na wanapaswa kutibu kitu gani haswa au wafanye nini kuondokana na tatizo hilo.
Wanaume wengi wanapoona tatizo hili wanakimbilia kutumia Booster,
wengine wanatafuta Vi**ra ambavyo watu wengi wanavipatia sifa lakini hata wakitumia bado tatizo lipo pale pale.
Sababu kubwa ni kwamba wengi hawashughuliki kutibu chanzo cha tatizo ila wanatumia dawa ili watibu dalili za tatizo ambazo ni kuwahi kumaliza
Kwa bahati mbaya, Usipojua chanzo cha tatizo lako Huwezi kupona.
Sababu zinazopelekea tatizo hili kwa asilimia 80 ni za kisaikolojia. Na asilimia 20 ni sababu za kimwili.
1. Sababu za kimwili.
Hizi hupelekewa na kushindwa kufahamu maumbile (anatomy) ya mwanaume na mwanamke.
Na elimu namna ya kuyatumia maumbile hayo kumfanya mwanamke awahi kumaliza na mwanaume kuchelewa kumaliza.
Na baadhi ni kwasababu ya maradhi ya miili yao.
Maada zinazofuata utajifunza kufahamu maumbile haya na maradhi.
2. Sababu za kisaikolojia. Hizi huchukua asilimia nyingi zaidi kuliko zile za kimwili.
Sababu za kisaikolojia ni k**a zifuatazo:
✓ Woga:
Unapojiandaa kufanya tendo la ndoa na ubongo wako umejawa na woga,
ni rahisi sana kuwahi kumaliza.
Hii ni kwasababu unapowaza kuwa utashindwa, ubongo wako hutunza zaidi taarifa mbaya ya kushindwa,
na ujasiri wa kuchelewa kumaliza unapoteza ghafla.
Hivyo uume utasimama na mara tu baada ya kuanza kufanya tendo la ndoa utajikuta umeshindwa kujizuaia hadi unamwaga.
✓ Wasiwasi:
Wanaume wengi wakiingia katika hali ya kushindwa kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu kwasababu ya historia walizotunza
..ndani ya ubongo wao zinawapa wasiwasi.
Mara nyingi k**a umejaribu mara mbili, mara tatu kujizuia usiwahi kumaliza, na
ukashindwa kuushinda wasiwasi huo, basi unaingia katika hali ya kushindwa kila siku hadi tatizo linakuwa sugu.
Maswali unayojiuliza wakati wa tendo la ndoa k**a vile,
“je mke wangu anaridhika vizuri?
ananikubali na ujuzi wangu huu wa mapenzi?
......see you ........🔥✅