Mr. Mlekwa

Mr. Mlekwa ✅ACTOR
✅CONTENT CREATOR
✅PRODUCER

17/08/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Binamungu Felician Mbahulila, Robert Paulo Lugata, Shafi Bike Bike, Emmanuel Idil, Bora Imani Chanju, Daud Nkingwa

15/06/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Enos Amutey, Calvin Johnson, Pretty Salama Mvuoni, Amos Mataba, Regina Maddox

1. Kunyamaza wakati fulani maishani mwako siyo kipawa bali ni nidhamu (Wathesalonike 4: 11)2. Nyamaza unapohisi hasira (...
26/05/2024

1. Kunyamaza wakati fulani maishani mwako siyo kipawa bali ni nidhamu (Wathesalonike 4: 11)

2. Nyamaza unapohisi hasira (Mithali 14:17)

3. Nyamaza unapokuwa huna taarifa ya kutosha au ukweli kuhusu unachotaka kusema (Mithali 18:13)

4. Nyamaza unapokuwa ni wakati wako kusikiliza na kujifunza (Mithali 13: 1)

5. Nyamaza ukigundua kwamba maneno yako yataleta picha mbaya (Mithali 17: 27)

6. Nyamaza ukijua kile unachotaka kusema kitaharibu jina na sifa ya mwenzio (Mithali 16: 27)

7. Nyamaza ukijua utakachosema kitaharibu urafiki na kujeruhi mwenzako (1Wakorintho 15: 33)

8. Nyamaza ukigundua kwamba utaaibika baadaye kwa sababu ya ulichokisema (Mithali 8:8)

9. Nyamaza ukijua unachotaka kusema kitamdhalilisha Mungu, wewe mwenyewe au familia yako (1Petro 2: 21-23)

10. Nyamaza ikiwa wakati ulio nao ni wakati wa kazi (Mithali 14: 23)

11. Mtu azuiaye kinywa chake na ulimi wake, atajilinda nafsi yake na taabu (Mithali 21: 23)

Mungu akupe neema ya kujenga nidhamu ya kunyamaza kwa maana maneno ya kinywa chako ni mtego kwako (Mithali 6: 2)

Mistaa Mlekwa

19/05/2024
Italian Relationship:1st day= S*x2nd day= S*x again.French Relationship:1st day = movies & kiss2nd day = S*x3rd day = S*...
15/05/2024

Italian Relationship:
1st day= S*x
2nd day= S*x again.

French Relationship:
1st day = movies & kiss
2nd day = S*x
3rd day = S*x again

British Relationship:
1st day= hangout & kiss
2nd day = kiss & hug
3rd day= kissing, hug and smooching
4th day = s*x and more s*x

American Relationship:
1st day= Date
2nd day= Hug
3rd day= Hug again (warmly)
4th day= Kiss
5th day= Long kiss
6th day= S*x

AFRICAN RELATIONSHIP
( AM VIRGIN)

1st day= Toast
2nd day= Toast
3rd day= Toast again
4th day= Agree
5th day= Date
6th day= Date again
7th day= Date again with three of her hungry friends or cousins.
8th day= Date & Hug
9th day= Tried to peck but failed.
10th day = Peck
11th day= Tried to kiss but failed.
12th day= kiss.
13th day= Long kiss.
14th day= Tried to have s*x but failed.
15th day= Tried to have s*x but quarrelled
16th day= Didn't talk to each other.
17th day= Malice till the next day.
18th day= The man called but the woman didn't pick.
19th day= The man called, the woman picked and asked: "what is it?"
The man apologized and she replied: "Leave me alone, am not your type of girl".
The man continued to beg till the next day.
20th day= The woman accepted the unwarranted apology.
21st day= Hug.
22nd day= Long hug.
23rd day= Kiss.
24th day= Long kiss.
25th day= Tried to have s*x but the woman complains that her phone is bad. Guy promises to buy her a new one.
26th day= Tried to have s*x but the woman said until he buys the phone.
27th day= Tried to have s*x but the woman asked: "where is the phone? You are not serious, call me when you are serious".
28th day= "am in my periods".
29th day= r**e.
30th day =police case

3Month is over in jail,

1st day in jail she come to see him,
Her : do you know I love you
Him: mmh
Her: I wish I give it to you
Him: 😭😭
Her : when will you get out from jail ?
Him:-----
Her : talk to me my love💗
Him:-----
Her: crying for his man hi is in jail
Him : get out from here ,get lost evil
Her:how can u say that my man I still need you
Him:

NENO LA BUSARA LA LEO..   DADA ANGU..       ikiwa umejaaliwa umepata mwanaume anaekujari nakukutunza vizuur na Anakupend...
08/05/2024

NENO LA BUSARA LA LEO..
DADA ANGU..
ikiwa umejaaliwa umepata mwanaume anaekujari nakukutunza vizuur na Anakupenda kweli basi kubari uolewe nae.. hatak**a haumpend sana
ACHA KUJILAZIMISHA KWA MTU UNAE ANGAIKA KUMPENDA ALAFU HAELEWEKI.. utakuja uteseke mbeleni nakujutia...kwasababu mwanamke anaweza kubadirika nakumpenda mwanaume aliekua hampendi ila mwanaume hawezi kumpenda mwanamke ambae havutiwi nae kamwe..
Ikiwa mwanaume akijifanya ameamua kumpenda ...basi
Atakua ana lake jambo

FUNGUA SMS HII MY💝     Muone❤️ulivyopambika Kwa umaridad wa Sura na muonekano wako🌹 Mwenye kuitesa akili yangu Mie kila ...
03/05/2024

FUNGUA SMS HII MY💝
Muone❤️ulivyopambika Kwa umaridad wa Sura na muonekano wako🌹
Mwenye kuitesa akili yangu Mie kila saa Ku utamani uwepo wako...❤️
Na kuyatesa🌹masikio yangu kutaka kila🌹dk yasikie sauti tamu ikitoka kinywani mwako.❤️
Daah mwenzio kwako najihis tayar nishakamtika.
Maana Raha za❣️pendo lako zimenikolea mpak sjui umenipa nini.. yaan ❤️
Umekua sio akilini Tu kufikilika Ila mpka Kinywani umekua mwepesi kutamkika..❤️
Nikishika cm🍒Tu wendio wakwanza kukuwazia na nikitaka Kula🌹wendio wakwanza kuku kumbuka❤️

Acha Tu nisikuchoshe Kwa uandishi wangu
Ila nakuomba utambue🌹
Umeuteka moyo wangu
Nakupenda❤️mwenzio mpka basi ALISIKIKA KIJANA MMOJA AKISEMA SUBIRIA TAARIFA ZAKO NIZIHAKIKI SIKU NIKIACHIKA NITAKUPENDA 😂😂🌹
Niambie umejifunza nini

Mista MlekMista Mlekwastaa MleMistaa Mlekwasta MlekMista Mlekwa

je wajua?ni vazi la askofu katoliki, lina vifungo 33 vinavyofunga vazi huwakilisha miaka 33 ya yesu kristo duniani. mkon...
26/04/2024

je wajua?
ni vazi la askofu katoliki, lina vifungo 33 vinavyofunga vazi huwakilisha miaka 33 ya yesu kristo duniani. mkono mmoja unavifungo vitano (5) huwakilisha majeraha matano ya yesu msalabani. mikono miwili ina jumla ya vifungo kumi (10) ambavyo huwakilisha amri kumi za mungu.
tu follow instagram
Mista Mlekwa

Please like my post
15/04/2024

Please like my post

Hii itakuwa k**a mshangao kwa watu wengi kwamba Mwanasoka anaweza kucheza dakika zote 90 za mechi  bila hata kugusa mpir...
07/04/2024

Hii itakuwa k**a mshangao kwa watu wengi kwamba Mwanasoka anaweza kucheza dakika zote 90 za mechi bila hata kugusa mpira. Kwa kawaida inaweza isiwe kweli lakini hii ni kweli ilitokea.

Kutana na Thomas Sweswe Langu wa Zimbabwe, Mwanaume anayeshikilia rekodi hiyo. Beki huyo aliyechezea Manning Rangers, Wits, Kaizer Chiefs na black Leopards katika ligi ya Afrika Kusini. Alistaafu kucheza soka akiwa na umri wa miaka 35 mwaka 2017. Klabu yake ya mwisho ya soka ilikuwa ZPC Kariba ya Zimbabwe,

Mwanasoka huyo alicheza mechi nzima ya kandanda ya dakika 90 wakati wa mchezo wa Kaizer Chiefs na hakugusa kabisa mpira. Ni moja ya rekodi za kushangaza ambazo zimewekwa katika historia ya Soka.
Mista Mlekwa
Mista Mlekwa
Mistaa Mlekwa

Je, unafahamu maana ya herufi hizi zinazotumika sehemu mbalimbali katika Kanisa? "IHS"Herufi hizi ni ufupisho wa sentesi...
09/03/2024

Je, unafahamu maana ya herufi hizi zinazotumika sehemu mbalimbali katika Kanisa? "IHS"

Herufi hizi ni ufupisho wa sentesi ya kilatini inayosomeka hivi; "IESUS HOMINUM SALVATOR."

Ambayo katika lugha ya kiingereza inasomeka hivi; "JESUS SAVIOUR OF HUMANKIND."

Hivyo tafsiri yake katika kiswahili ni hii; "YESU MKOMBOZI WA WANADAMU."

Mista Mlekwa

FollowMista Mlekwa
03/03/2024

Follow
Mista Mlekwa

Mista Mlekwa
03/03/2024

Mista Mlekwa

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr. Mlekwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share