Data Sports Tv

FULL TIME:  2-1@Cs S
15/12/2024

FULL TIME: 2-1@Cs S

FULL TIME:  1-1
14/12/2024

FULL TIME: 1-1

KIKOSI CHA  KINACHOANZA DHIDI YA
14/12/2024

KIKOSI CHA KINACHOANZA DHIDI YA

FULL TIME:   2-1
08/12/2024

FULL TIME: 2-1

KIKOSI CHA   kinachoanza dhidi ya
08/12/2024

KIKOSI CHA kinachoanza dhidi ya

KIKOSI CHA   INACHOANZA DHIDI YA .officiel
07/12/2024

KIKOSI CHA INACHOANZA DHIDI YA .officiel

🚨_|| π—¬π—”π—‘π—šπ—” π—¨π—£π——π—”π—§π—˜π—¦ ‡️➑️ Klabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani n...
03/12/2024

🚨_|| π—¬π—”π—‘π—šπ—” π—¨π—£π——π—”π—§π—˜π—¦ ‡️

➑️ Klabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani na kuomba radhi kwa matanshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) mbali na hili wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10

β˜… Kauli ya Ahmed iliyosababisha haya πŸ‘‡

➑️ β€œPacome amemaliza mkataba tukiona anafaa tutahangaika nae , Pacome amemaliza mkataba ndani ya Yanga na hana mpango wa kuongeza ..mtanyoa ndevu mwaka huu hana mpango wa kuongeza amechoka kuchomwa sindano kila siku k**a anazuia mimba”

➑️ β€œTunaangalia kiwango chake k**a kitaturidhisha tutahangaika nae lakini k**a ataendelea na mwenendo wake anaoendelea nao tutawaachia…k**a tulivyowaachia Chama na tunataja majina Live hakuna kutumia code”

➑️ Demand letter ya Yanga imeeleza kuwa kauli hiyo ni ya upotoshaji na imejaa dharau kwa klabu yao , hivyo imeharibu mahusiano yao na wadau wa kibiashara na wadhamini

➑️ Yanga wanamtaka Ahmed afanye yafuatayo ndani ya siku tano (5)

1.Kuomba radhi kwa njia sawa na aliyotumia kutoa kauli yake

2.Kufidia malipo ya Tsh Bilioni 10 ( 10,000,000,000)

- Yanga wamemaliza kwa kusema k**a hayo maagizo hayatafanyiwa kazi watafuata hatua za kisheria zaidi

Kutoka chanzo cha kuaminika.
✍️

FULL TIME:  0-2  ⚽️⚽️
30/11/2024

FULL TIME: 0-2

⚽️
⚽️

Klabu bora zaidi barani Afrika na Bingwa mtetezi wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Klabu ya soka ya Al Ahly, imempi...
30/11/2024

Klabu bora zaidi barani Afrika na Bingwa mtetezi wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Klabu ya soka ya Al Ahly, imempiga faini kiungo wao mshambuliaji Emam Ashour (26) ya Pound ya Misri ya Mil. 1 sawa na Shilingi ya Kitanzania Mil. 53.5 .

Hii ni baada ya mchezaji huyo kumrushia maneno maovu Nahodha wake na golikipa wa Klabu ya hiyo Elshaanawy.

Pia alipata hasira baada ya kukosa nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza kilicho cheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Stade d-Abidjan.

Na kwenye chumba cha kubadilishia nguo aliondoka mwenyewe, hakupanda gari la Club na alivyotafutwa na viongozi hakupokea simu wala kujibu ujumbe.

Pamoja na adhabu ya hela aliyopewa ameondoshwa na kushiriki mazoezi na timu hiyo mpaka pale suala lake litakapotengamaa.
✍️

KIKOSI CHA  KINACHO ANZA DHIDI YA
30/11/2024

KIKOSI CHA KINACHO ANZA DHIDI YA

*π—¦π—”π—‘π——π—”π—Ÿπ—”π—‘π—— π—”π——π—”π—œ π—™π—œπ——π—œπ—” 𝗬𝗔 π—•π—œπ—Ÿπ—Ÿπ—œπ—’π—‘ 𝗧𝗔𝗧𝗨 π—žπ—ͺ𝗔 π—”π—Ÿπ—Ÿπ—¬ π—žπ—”π— π—ͺπ—˜. .* Kampuni ya Kisheria inayomsimamia Mfanyabiashara Sandaland the ...
29/11/2024

*π—¦π—”π—‘π——π—”π—Ÿπ—”π—‘π—— π—”π——π—”π—œ π—™π—œπ——π—œπ—” 𝗬𝗔 π—•π—œπ—Ÿπ—Ÿπ—œπ—’π—‘ 𝗧𝗔𝗧𝗨 π—žπ—ͺ𝗔 π—”π—Ÿπ—Ÿπ—¬ π—žπ—”π— π—ͺπ—˜. .*

Kampuni ya Kisheria inayomsimamia Mfanyabiashara Sandaland the Only One ambaye ndie Mtengenezaji wa jezi za SIMBA imemtumia barua Meneja wa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ikidai fidia ya BILLION TATU kutokana na kauli za kumchafua Mteja wao na imepelekea kuathiri biashara zake.

Wanadai Kamwe alitoa maneno kuwa Viongozi wa Simba wamemsema sana Sandaland kuwa wanatukanwa kisa yeye na wakamsusia uzinduzi wa jezi ndio maana akaenda kufanyia dukani kwake.

Kwenye Demand Notice hiyo wanataka KAMWE afanye mambo yafuatayo:

1- Kulipa fidia ya 3,000,000,000

2- Kumwomba msamaha hadharani Sandaland kwa kumkashfu kuwa anazalisha jezi mbaya hazina ubora.

3- Anapaswa kuomba msamaha kwa Umma kupitia vyombo vya habari vile vile alivyotumia kuongea alichoongea.

4- Ana siku saba (7) za kufanya yote hayo nje na hapo hatua kali zaidi watazichukua.
✍️

FULL TIME :  1-0 ⚽️  πŸŽ‰
27/11/2024

FULL TIME : 1-0

⚽️
πŸŽ‰

FULL TIME :  0-2
26/11/2024

FULL TIME : 0-2

KIKOSI CHA   KINACHOANZA DHIDI YA
26/11/2024

KIKOSI CHA KINACHOANZA DHIDI YA

🚨JUST INCAF imethibitisha kuwa TanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ itashiriki michuano ijayo ya AFCON 2025 lakini TanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ imepigwa faini ya US...
26/11/2024

🚨JUST IN

CAF imethibitisha kuwa TanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ itashiriki michuano ijayo ya AFCON 2025 lakini TanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ imepigwa faini ya USD 50000 (Tshs 132m) kwa kosa la mchezaji wao kutumia namba mbili tofauti.

CAF pia imetupilia mbali malalamiko ya Guinea πŸ‡¬πŸ‡³
✍️

🚨... || π—œπ—•π—₯π—”π—›π—œπ—  π—•π—”π—–π—–π—”βž‘οΈ Beki wa kati wa Yanga Ibrahim Bacca amesema kuwa watahikikisha kuwa wanalinda wasipatwe na madha...
25/11/2024

🚨... || π—œπ—•π—₯π—”π—›π—œπ—  𝗕𝗔𝗖𝗖𝗔

➑️ Beki wa kati wa Yanga Ibrahim Bacca amesema kuwa watahikikisha kuwa wanalinda wasipatwe na madhara yoyote dhidi ya mastraika wa Al Hilal wanaoongozwa na Mohamed Abderlhman ambaye aliwahi kuifunga Yanga kwa Mkapa.

πŸ‡¨πŸ‡© JUST A REMINDER Ellie Mpanzu amebakiza mechi moja tu ya ligi kuu Tanzania bara (Vs Singida black stars) itakayochezwa...
25/11/2024

πŸ‡¨πŸ‡© JUST A REMINDER

Ellie Mpanzu amebakiza mechi moja tu ya ligi kuu Tanzania bara (Vs Singida black stars) itakayochezwa December 1

Baada ya hapo mechi yoyote ya ligi inayomhusisha Simba sc na Mpanzu atakuwa ni valid kucheza

Another boostπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Address

Mabibo External
Dar Es Salaam
NON

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Data Sports Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Data Sports Tv:

Videos

Share

Category

Nearby media companies


Other TV Channels in Dar es Salaam

Show All