EZRA TV

EZRA TV This is Official page Of EZRA TV.

The Weekend Worship this February
13/02/2025

The Weekend Worship this February

Katika kusherehekea maisha ya mtoto wetu Dorcas, tumeamua kugusa watoto wengine wenye changamoto ya kupooza kwa ubongo! ...
16/01/2025

Katika kusherehekea maisha ya mtoto wetu Dorcas, tumeamua kugusa watoto wengine wenye changamoto ya kupooza kwa ubongo!

Ungana na kubadilisha maisha ya wengine!

Swipe kuona mahitaji na ushiriki baraka hizi kwa namna utakavyoona inafaa!



Ratiba ya usomaji biblia kwa mwaka 2025 sehemu ya pili
10/01/2025

Ratiba ya usomaji biblia kwa mwaka 2025 sehemu ya pili

Ratiba ya usomaji biblia kwa mwaka 2025 sehemu ya kwanza
10/01/2025

Ratiba ya usomaji biblia kwa mwaka 2025 sehemu ya kwanza

10/01/2025

Back to Eden season fourteen

Back to Eden this year we are proud to be one of the sponsor as our first event in 2025 do not plan to miss this service
01/01/2025

Back to Eden this year we are proud to be one of the sponsor as our first event in 2025 do not plan to miss this service

Bonjour afrika
26/11/2024

Bonjour afrika

"Happy Birthday to our incredible pastors πŸŽ‰ Your unwavering faith, wisdom, and love inspire us every day. May God bless ...
13/09/2024

"Happy Birthday to our incredible pastors πŸŽ‰ Your unwavering faith, wisdom, and love inspire us every day. May God bless you abundantly in this new year of life. Thank you for your leadership and for guiding us with grace. Enjoy your special day!"

Baadhi ya Mitandao leo iliripoti kuwa Mwimbaji Boniface Mwaitege amefariki kutokana na ajali ya barabarani kitu ambacho ...
22/07/2024

Baadhi ya Mitandao leo iliripoti kuwa Mwimbaji Boniface Mwaitege amefariki kutokana na ajali ya barabarani kitu ambacho sio kweli

Remind your problem of how big is your God
22/07/2024

Remind your problem of how big is your God




Madhimisho ya miaka 85 ya TAG nchini.ni uwanja wa uhuru jijina Dar es salaam
12/07/2024

Madhimisho ya miaka 85 ya TAG nchini.
ni uwanja wa uhuru jijina Dar es salaam



Muimbaji  amezungumza na waandishi wa habari na kutangaza rasmi ujio wa Ibada kubwa ya BEYOND ambayo ni ibada ya kusifu ...
12/07/2024

Muimbaji amezungumza na waandishi wa habari na kutangaza rasmi ujio wa Ibada kubwa ya BEYOND ambayo ni ibada ya kusifu na kuabudu.

Ibada itafanyika tarehe 27 mwezi wa 9 Mwaka huu pale CCC Upanga



ameandika  "kaka@johnlisu Namshukuru sana Mungu kwa ajili yako.Vijana wengi sana katika eneo hili la Sifa na ibada wamek...
10/07/2024

ameandika "kaka@johnlisu Namshukuru sana Mungu kwa ajili yako.Vijana wengi sana katika eneo hili la Sifa na ibada wamekuwa wakikutazama.Ninaweza nikakua sana ila hata siku moja siwezi sahau neema Mungu aliyokupa katika kutuonyesha njia.Umefanya makubwa sana Tanzania na nje Ya mipaka.Asilimia 90 k**a sio mia kabisa nyimbo zako ni za sifa na ibada.Nimejifunza namna ya kupata nyimbo za kusifu na kuabudu kweli kutoka katika kazi zako.Napenda maana unaimba sana kuhusu Mungu na nyimbo zako ni direct sana kwa Mungu kaka.Neema ya kristo ikufunike.Sitoacha kuheshimu kile Mungu amekupa kaka "



Kanisa la Jubilee Christian Church  la toa taarifa juu ya kuondokewa na Mpendwa wao Bishop Allan Kiuna.
10/07/2024

Kanisa la Jubilee Christian Church la toa taarifa juu ya kuondokewa na Mpendwa wao Bishop Allan Kiuna.



We are temporary CLOSED...!
01/05/2024

We are temporary CLOSED...!

From :   MOROGORO NEXT WEEK at CANAAN CHRISTIAN WORSHIP CENTER!!!This is the HOME COMING for me I can’t wait, it’s going...
30/04/2024

From : MOROGORO NEXT WEEK at CANAAN CHRISTIAN WORSHIP CENTER!!!
This is the HOME COMING for me I can’t wait, it’s going to be sooooo personal.

K**a uko MOROGORO JUMATATU ijayo tukutane NYUMBANI CALVARY ASSEMBLIES OF GOD pale ROUND ABOUT ya SUA in the BIGGER DOME. Mungu ameweka NENO lake ndani yangu la kutupa hatua mpya. Please mjulishe mtu mwingine na usiache kutuombea!!!
Hii itakuwa Kubwa sana!!!

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255672091979

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EZRA TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to EZRA TV:

Videos

Share