PENATI YA SIMBA HII HAPA.
.
Toa maoni yako hapa ๐
Weekend Yako Inaendeleaje Huko? ๐
SHOW nzima ya Diamond Platinumz kwenye utoaji wa Tuzo za Wachezaji bora wa CAF hapo jana.
.
Unampa maksi ngapi kwa ukali?
JINSI vurugu zilivyotokea kwa MKAPA leo na viti vilivyong'olewa ni HUZUNI ๐
Goli la Kibu Denis lililowapatia Simba pointi tatu leo.
โWachezaji wa klabu ya TP Mazembe mapema leo wameingia Kanisani kuombewa ili Kupata matokeo mazuri katika mchezo wa leo dhidi ya Yanga Sc kwenye CAF CL.
โ Mazembe watakuwa Nyumbani huko DRC Congo. ambapo mchezo huo utapigwa leo saa 10:00 jioni.
#FutbalPlanetUpdates
NANI alikuchania Mkeka hapo jana โ๏ธ๐
.
๐น๐ฟ Yanga SC
๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Manchester United
๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Manchester City
๐ฟ๐ฆ Mamelodi Sundowns
๐ช๐ฆ Barcelona
๐ฉ๐ช Dortmund
๐ฎ๐น Juventus
.
BET NA Bangbet Tanzania HAPO KUNA CASHOUT.
๐๏ธโSiwezi kuliongelea hilo jambo,tuendelee na swali jingineโ
โ FEISAL SALUM
โKUMBE MZEE MAGOMA ALIYASEMA HAPO KABLA? ๐ค
โRipoti Kutoka CCM Kirumba zinaeleza kuwa, Moja ya Kiongozi wa Juu wa Mkoa wa Mwanza alitaka Kuingia Uwanjani kutizama Mazoezi ya Mwisho ya Simba Kuelekea Mchezo wao wa kesho dhidi ya Pamba JiJi.
Simba walikataa Kumruhusu Kiongozi huyo Kuingia Uwanjani hali iliyopelekea mtafaruku ambapo ilipeleka Police kuingilia Kati na kumkamata Meneja Rweyemamu na Coach Matola lakini baadae wakawaachia.
โHUU UTANI WA SIDE ๐๐
Umeelewa nini hapaโ๏ธ๐ฃ