24/01/2025
Je, fasihi inaweza kubadilisha dunia? Njoo ufahamu kwa namna gani kwenye usiku wa majadiliano na chemsha bongo ya fasihi. Jiunge nasi Alhamis ya kwanza ya Februari katika kalam salaam ya kipekee yenye burudani na zawadi kemkem. Na k**a utapenda kutoa salaam, kipaza huru nacho kipo kwa ajili yako. Unaanzaje kukosa?
Hii ni sehemu ya FEF CREATION AFRICA TANZANIA.Tunawashukuru Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania () na Alliance Française ya Dar es Salaam () kwa kuunga mkono mradi wetu chini ya FEF Creation Africa Project. Endelea kufuatilia na jiunge nasi kwa habari zaidi.
Tembelea washirika wetu hapa chini kujifunza zaidi kuhusu miradi yao:
•
•