Hizi Salamu za miaka 63 ya uhuru wa Tanzania kutoka kwa @mc_petit_ ,Tanzania ni nchi ya Amani
-
Ni #TheBantu Kila siku Jumatatu mpaka Ijumaa Kuanzia saa 10 Kamili mpaka 12 Jioni ndani ya @stbongotv kupitia kisimbuzi cha @startimestz CH 161(antena) CH 401 (Dish) na YouTube Channel yetu ya #STBongoTV with @mc_petit_ @kiddootz & @s.a.l.s.h.a_
#STBongoUPDATES #TheBantuSTBongo
NI WAKATI WA KUMILIKI NA KUTAWALA, TUUKATAE UMASKINI - RC MAKONDA.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ameitaka jamii ya Arusha kutumia vyema karama walizopewa na Mwenyenzi Mungu na kufanya kazi kwa bidii ili kuondokana na umaskini na kutimiza kusudi la Mungu alilompa kila mmoja duniani.
Mhe. Makonda ametoa rai hiyo leo Jumatatu Disemba 09, 2024 wakati akizungumza na wakazi wa Arusha waliojitokeza kwenye maombi maalum ya kuombea Mkoa wa Arusha na Tanzania kwa ujumla, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania bara.
@rc_mkoa_arusha @baba_keagan
RC MAKONDA AHIMIZA WATANZANIA KUENDELEA KUMUOMBEA RAIS SAMIA.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatatu Disemba 09, 2024 amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Arusha kuendelea kumuombea Kheri na afya Njema Rais Samia Suluhu Hassan, ili aweze kuwa na ari zaidi katika kuwatumikia watanzania.
Kwenye Matembezi na maombi maalum ya kuuombea Mkoa wa Arusha yaliyofanyika leo kwenye maeneo mbalimbali Jijini Arusha, Mhe. Makonda amewaeleza wakazi wa Arusha kuwa kumuombea Rais Samia kutawezesha kutimizwa kwa kusudi la Mwenyenzi Mungu ambalo ameliweka ndani ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa maslahi ya watanzania wote kwa ujumla.
@rc_mkoa_arusha @baba_keagan
RC MAKONDA AONGOZA SALA MAALUM KUOMBEA WANANCHI WA MKOA WA ARUSHA.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amewataka wakazi wa Arusha kuhakikisha kuwa mara zote wanamuhusisha Mwenyenzi Mungu kwenye maisha yao ili awanusuru na madhila mbalimbali ikiwemo ajali, vifo vya ghafla na kudumaa katika ustawi.
Mhe. Makonda ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Disemba 09, 2024 akiwa kwenye Mnara wa Saa Jijini Arusha wakati wa matembezi ya sala maalum ya kuombea Mkoa wa Arusha yaliyojumuisha viongozi wa Dini zite mkoani Arusha, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania bara.
Katika hatua nyingine ametoa rai kwa wakazi wa Arusha kuwa makini na watu wanaowapa nafasi za Uongozi, kwa kuhakikisha Viongozi wanaowachagua ama kuwateua wanatokana na madhabahu ya Mungu kwa kuzishika amri na maelekezo ya Mungu.
@rc_mkoa_arusha @baba_keagan
@yammitz mtoto wa 2000 anakwambia Hana Ex yeyote kwenye maisha yake 🤔
Cc @mrrightshow @mcgarab @dr.kumbuka @aaliyaahofficial @dj_baffy
Marudio ya #HelloMrRightShow6 yapo hewani muda huu ndani ya @stbongotv kupitia @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish), YouTube tunatumia #STBongoTV.
Proud Sponsored By @smirnofftz (🔞) @ufresh_tz
#HelloMrRightShowS6 #UsioneSoo #STBongoUPDATES
Tazama Marudio ya Mr Right muda huu 🔥
Cc @mrrightshow @mcgarab @dr.kumbuka @aaliyaahofficial @dj_baffy
#HelloMrRightShow6 ipo hewani muda huu ndani ya @stbongotv kupitia @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish), YouTube tunatumia #STBongoTV.
Proud Sponsored By @smirnofftz (🔞) @ufresh_tz
#HelloMrRightShowS6 #UsioneSoo #STBongoUPDATES
Kwani watu wa Tabata wanasifa gani ? 😅
Cc @mrrightshow @mcgarab @dr.kumbuka @aaliyaahofficial @dj_baffy
#HelloMrRightShow6 ipo hewani muda huu ndani ya @stbongotv kupitia @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish), YouTube tunatumia #STBongoTV.
Proud Sponsored By @smirnofftz (🔞) @ufresh_tz @Kisikicapital_forex_academy
#HelloMrRightShowS6 #UsioneSoo #STBongoUPDATES
Kuhusu kipato Mr Right sio shida zake kabisa, anakwambia anafunga faida milioni 2.5 kwa mwezi.
Cc @mrrightshow @mcgarab @dr.kumbuka @aaliyaahofficial @dj_baffy
#HelloMrRightShow6 ipo hewani muda huu ndani ya @stbongotv kupitia @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish), YouTube tunatumia #STBongoTV.
Proud Sponsored By @smirnofftz (🔞) @ufresh_tz @Kisikicapital_forex_academy
#HelloMrRightShowS6 #UsioneSoo #STBongoUPDATES
@yammitz anakwambia yupo kwenye mahusiano lakini sio na @mbosso_ na zile clip za mahaba ni kazi tuu 💔, Nimelia sana.
Cc @mrrightshow @mcgarab @dr.kumbuka @aaliyaahofficial @dj_baffy
#HelloMrRightShow6 ipo hewani muda huu ndani ya @stbongotv kupitia @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish), YouTube tunatumia #STBongoTV.
Proud Sponsored By @smirnofftz (🔞) @ufresh_tz @Kisikicapital_forex_academy
#HelloMrRightShowS6 #UsioneSoo #STBongoUPDATES
Surprise ya @yammitz kwenye Stage ya Mr Right Muda huu.
Cc @mrrightshow @mcgarab @dr.kumbuka @aaliyaahofficial @dj_baffy
#HelloMrRightShow6 ipo hewani muda huu ndani ya @stbongotv kupitia @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish), YouTube tunatumia #STBongoTV.
Proud Sponsored By @smirnofftz (🔞) @ufresh_tz @Kisikicapital_forex_academy
#HelloMrRightShowS6 #UsioneSoo #STBongoUPDATES
Jumamosi si ndo imefika bhana..!! Yaani leo stage ya Mr Right ni ya moto sana.
Cc | @mrrightshow @mcgarab @dr.kumbuka @aaliyaahofficia @dj_baffy
Usikose kutazama #HelloMrRightShow6 jumamosi hii saa 4:00 usiku hapa @stbongotv kupitia @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish).
#HelloMrRightShow6 #UsioneeSoo #NyumbaniKwanza
MANENO YA BUSARA KUTOKA KWA @dj_baffy
Tazama #TwendeJikoni muda huu kupitia @stbongotv CH 161 (antena) CH 401 (Dish) kupitia kisimbuzi cha STARTIMES pamoja na kutembelea YouTube Channel yetu #STBongoTV
#TwendeJikoni #FoodChannel #Food