The News Bullet Network

The News Bullet Network From local scoops to global headlines, we keep you connected to what's happening now.

Lisa wa  huyu hapa anadeka kwa baba .📸 Credit professor jay twitter.
06/10/2024

Lisa wa huyu hapa anadeka kwa baba .
📸 Credit professor jay twitter.

Hivi ndio inavyohisiwa na kudhaniwa vichwani mwa wengi kuhusu kile kinachoendelea kati ya Jamhuri ya mapinduzi ya kiisla...
06/10/2024

Hivi ndio inavyohisiwa na kudhaniwa vichwani mwa wengi kuhusu kile kinachoendelea kati ya Jamhuri ya mapinduzi ya kiislamu Iran na Israel.

Tangu Iran kurusha makombora yake huko Israel na Israel kuahidi kulipa kisasi na kujibu mapigo bado mpaka sasa anazunguka kando kando tuu.
Jee Iran ni tishio kubwa kwa bwana Benjamin Netanyahu?

Mkuu wa idara ya anga nchini Iran ( ISA ) Salariyeh ametangaza kwenye vyombo vya habari Iran itarusha na kuweka satellit...
05/10/2024

Mkuu wa idara ya anga nchini Iran ( ISA ) Salariyeh ametangaza kwenye vyombo vya habari Iran itarusha na kuweka satellite yake kwenye orbit hivi karibuni.

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametuma ujumbe wa maneno ya kumpa tahadhari dhidi ya aibu Rais  wa Ufaransa Mac...
05/10/2024

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametuma ujumbe wa maneno ya kumpa tahadhari dhidi ya aibu Rais wa Ufaransa Macron.

"You are calling for a halt to arms exports to us during the war, and the shame will follow you for many years after we win the war" Netanyahu.

Benjamin Netanyahu anayasema haya kufuatia kauli ya Emmanuel Macron ya kutaka kuwepo na kikomo cha usambazaji wa silaha na vifaa vya kivita kwa Israel.

BREAKING NEWS: LEBANON.Mlipuko mkubwa umetokea huko Beirut mji mkuu wa Lebanon, mlipuko huo ni muendelezo wa mashambuliz...
05/10/2024

BREAKING NEWS: LEBANON.
Mlipuko mkubwa umetokea huko Beirut mji mkuu wa Lebanon, mlipuko huo ni muendelezo wa mashambulizi ya vikosi vya Israel.

Hali ya wasiwasi na hofu vinaendelea kutanda na kuongezeka kila kukicha huku kasi ya mikinzano na misuguano kwa mataifa ikiongezeka.

PICHA: AYATOLLAH SAYED ALI KHAMENEI, kiongozi wa serikali ya kimapinduzi Iran alipokuwa akihutubia taifa leo kwenye swal...
04/10/2024

PICHA: AYATOLLAH SAYED ALI KHAMENEI, kiongozi wa serikali ya kimapinduzi Iran alipokuwa akihutubia taifa leo kwenye swala ya ijumaa.

TANZIA: Mtangazaji maarufu wa kipindi cha mashamsham wasafi fm Khadija Isihaka Shaibu maarufu k**a “Dida” amefariki duni...
04/10/2024

TANZIA: Mtangazaji maarufu wa kipindi cha mashamsham wasafi fm Khadija Isihaka Shaibu maarufu k**a “Dida” amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Muhimbili.
Taarifa juu ya chanzo cha kifo chake bado hazijawekwa wazi.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema.

Kikosi cha wazamiaji wa Tabuk Saudi Arabia wakiwa chini ya bahari nyekundu na bendera mkononi wakifurahia siku ya taifa ...
23/09/2024

Kikosi cha wazamiaji wa Tabuk Saudi Arabia wakiwa chini ya bahari nyekundu na bendera mkononi wakifurahia siku ya taifa la Saudi Arabia leo tarehe 23/09/2024 .

Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo ( CHADEMA ) freeman mbowe anashikiliwa na jeshi la police kwasasa. Freem...
23/09/2024

Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo ( CHADEMA ) freeman mbowe anashikiliwa na jeshi la police kwasasa. Freeman Mbowe akiwa na mtoto wake Nicole.
Nini kitaendelea? tunazikusanya habari na kuzifikisha kwa jamii.

 na habari za maandamano ya chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA.Nzi ameingia kwenye togwa au togwa limeingia nzi?...
23/09/2024

na habari za maandamano ya chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA.
Nzi ameingia kwenye togwa au togwa limeingia nzi?
Karibu kila kona ya mitaa ya jijini Dar es salaam vikosi vya jeshi la police vimejipanga kuzuia watu kuandamana baada ya katazo la marufuku ya maandamano yaliyopangwa kufanyika leo.

Maandamano ya amani na mtutu wa bunduki kulikoni? Mdau wa mtandaoni huko X zamani Twitter.

Picha: Nyumbani kwa Tundu Lissu tegeta dar es salaam hii ni baada ya chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kutangaz...
23/09/2024

Picha: Nyumbani kwa Tundu Lissu tegeta dar es salaam hii ni baada ya chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kutangaza maandamano yaliyopangwa kufanyika leo .

UBALOZI WA MAREKANI TANZANIA .Tupatane habari za magazetini.
09/09/2024

UBALOZI WA MAREKANI TANZANIA .
Tupatane habari za magazetini.

The media in Kenya has reported that approximately seventeen students have died while 14 were injured in a fire accident...
06/09/2024

The media in Kenya has reported that approximately seventeen students have died while 14 were injured in a fire accident that occurred at a hillside school in Nyeri County in Kenya.
Police spokesperson Dr. Resila Onyango said that the police are still investigating the cause of the fire.

Our latest news on United Kingdom Newspapers Headlines today. Read more on our bio link .
06/09/2024

Our latest news on United Kingdom Newspapers Headlines today. Read more on our bio link .

GOOD MORNING.Read more about today Tanzania Newspapers Headlines .Daily
06/09/2024

GOOD MORNING.
Read more about today Tanzania Newspapers Headlines .
Daily

Tanzania Newspapers headlines today.
20/08/2024

Tanzania Newspapers headlines today.

Ubaya u.....Football ni raha au sio raha?Simba SC 0-1 Yanga
08/08/2024

Ubaya u.....
Football ni raha au sio raha?
Simba SC 0-1 Yanga

Address

Temeke
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The News Bullet Network posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to The News Bullet Network:

Videos

Share