Chiteni TV

Chiteni TV Eneo muhimu la kupashana habari mbalimbali za siasa, michezo, uchumi, afya, burudani na uchambuzi.

JE WAJUA.....๐ŸคคBEKI wa Manchester City, Manuel Akanji katika bega lake la Kushoto amechora tattoo ya nembo ya timu ya Tai...
19/02/2024

JE WAJUA.....๐Ÿคค

BEKI wa Manchester City, Manuel Akanji katika bega lake la Kushoto amechora tattoo ya nembo ya timu ya Taifa ya Negeria Super Eagle ๐Ÿฆ… ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ.

Baba yake Akanji ni Mnaigeria lakini beki huyo alizaliwa Uswisi huku akiamua Kulitumikia Taifa la Uswisi badala ya Nigeria ambalo ndio asili ya kwao.

Je Wajua..???Kiungo wa Manchester City, Kevin De Bruyne ana Assisti nyingi Msimu huu wa 2023/2024 zaidi ya  Bruno Fernan...
18/02/2024

Je Wajua..???

Kiungo wa Manchester City, Kevin De Bruyne ana Assisti nyingi Msimu huu wa 2023/2024 zaidi ya Bruno Fernandes na Martin ร˜degaard licha ya Kucheza kwa Mdada mchache kuliko wao ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ.

1. Kevin De Bryune --- ๐Ÿ…ฐ๏ธ 8 Dakika (412)
2. Bruno Fernandez ๐Ÿ…ฐ๏ธ 7 Dakika (2815)
3.Martin Odegaard ๐Ÿ…ฐ๏ธ 6 Dakika (2340)

Itoshe Kusema Mwamba Kevine De Bryune ni Moto wa Kuotea mbali..๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Shirikisho la Mpira Ulimwenguni (FIFA) liko katika mazungumzo na waamuzi kuleta sheria mpya ya matumizi ya kadi ya Bluu....
08/02/2024

Shirikisho la Mpira Ulimwenguni (FIFA) liko katika mazungumzo na waamuzi kuleta sheria mpya ya matumizi ya kadi ya Bluu.

Kadi hii ya Bluu itatumika kwa makosa ya Kejeli au Kuonyesha ishara ya kupinga uamuzi wa Mwamuzi husika hivyo Mchezaji ukionyeshwa kadi ya Bluu utatolewa Njee ya Uwanja kwa dakika 10 tu!.

VIA - Tele Football

AZIZ KI MCHEZAJI BORA WA MWEZI.Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Oktoba ndani ya Yanga SC baada ...
31/10/2023

AZIZ KI MCHEZAJI BORA WA MWEZI.

Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Oktoba ndani ya Yanga SC baada ya kuwashinda Dickson Job na Max Nzengeli ambao walichaguliwa kuwania tuzo hiyo.

Aziz Ki atazawadiwa kiasi cha shilingi milioni 4 na tuzo k**a ilivyobainishwa awali na mdhamini wa tuzo hiyo ambaye ni Kampuni ya NIC Insurance.

๐ŸšจMshambuliaji Wa Kimataifa wa Ufaransa na Klabu ya Paris saint- Germain,  Kylian Mbappรฉ huenda asimalize katika orodha y...
30/10/2023

๐ŸšจMshambuliaji Wa Kimataifa wa Ufaransa na Klabu ya Paris saint- Germain, Kylian Mbappรฉ huenda asimalize katika orodha ya Wachezaji bora 3 Kwenye Kinyang'anyiro cha Kuwania tuzo ya Ballon d'Or Kwa Mwaka huu 2023 ambazo huenda kutolewa katika Usiku wa Leo huko Jijini Paris Ufaransa.๐Ÿ˜จ

Kati Ya Rodri au De Bruyne Mmoja Wapo huenda akakamilisha Top 3 hiyo mbele ya Haaland na Messi.

(Source: GOAL)

๐—ฅ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—ข๐—ž๐—” ๐—Ÿ๐—˜๐—ข ๐—๐—จ๐— ๐—”๐—ฃ๐—œ๐—Ÿ๐—œPremier League16:00West Ham - Everton 17:00Aston Villa - Luton 17:00Brighton - Fulham17:00Liv...
29/10/2023

๐—ฅ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—ข๐—ž๐—” ๐—Ÿ๐—˜๐—ข ๐—๐—จ๐— ๐—”๐—ฃ๐—œ๐—Ÿ๐—œ

Premier League
16:00West Ham - Everton
17:00Aston Villa - Luton
17:00Brighton - Fulham
17:00Liverpool - Nottingham
18:30Manchester Utd - Manchester City

FRANCE: Ligue 1
14:00Brest - Paris SG
16:00Lille - Monaco
17:00Metz - Le Havre
16:00Montpellier - Toulouse
18:05Rennes - Strasbourg
21:45Marseille - Lyon

GERMANY: Bundesliga
16:30Eintracht Frankfurt - Dortmund
18:30Bayer Leverkusen - Freiburg

ITALY: Serie A
13:30Cagliari - Frosinone
16:00Monza - Udinese
19:00Inter - AS Roma
20:45Napoli - AC Milan

NETHERLANDS: Eredivisie
12:15Twente - Feyenoord
14:30FC Volendam - Excelsior
14:30PSV - Ajax
16:45AZ Alkmaar - Nijmegen

SPAIN: LaLiga
14:00Betis - Osasuna
16:15Rayo Vallecano - Real Sociedad
18:30Ath Bilbao - Valencia
21:00Atl. Madrid - Alaves

BELGIUM: Jupiler Pro League
13:30Club Brugge KV - Antwerp -
16:00Westerlo - Royale Union SG
18:30Gent - St. Liege
19:15Kortrijk - Genk

ENGLAND: Championship
15:00Sheffield Wed - Rotherham

TURKEY: Super Lig
15:00Karagumruk - Trabzonspor
18:00Ankaragucu - Samsunspor
18:00Antalyaspor - Basaksehir
18:00Pendikspor - Fenerbahce

๐ŸšจWazazi wa Nyota wa Liverpool,  Luiz Diaz's Walitekwa hapo Jana huko Nchini Colombia๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ดJitihada za Jeshi la Polisi zilifa...
29/10/2023

๐ŸšจWazazi wa Nyota wa Liverpool, Luiz Diaz's Walitekwa hapo Jana huko Nchini Colombia๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด

Jitihada za Jeshi la Polisi zilifanikiwa Kumuokoa Mama Yake Cilenis Marulanda huku Baba yake Mzazi hajajulikana alipo hadi sasa huku harakati za Jeshi la Polisi zikiendelea Kumtafuta.

(Source: Fabrizio Romano)

RATIBA YA LEO JUMANNE OCTOBER 24๐Ÿด 17:00 - Al Ahly ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Vs Simba SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ†‘๏ธ 19:45 - Galatasaray ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Vs Bayern Munich ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ†‘๏ธ 19:4...
24/10/2023

RATIBA YA LEO JUMANNE OCTOBER 24

๐Ÿด 17:00 - Al Ahly ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Vs Simba SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

๐Ÿ†‘๏ธ 19:45 - Galatasaray ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Vs Bayern Munich ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช

๐Ÿ†‘๏ธ 19:45 - Inter Milan ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Vs Salzburg ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น

๐Ÿด 20:00 - Mamelodi ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Vs Petro Atletico ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด

๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ 21:00 - Al Nassr FC ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ Vs Al Dubail SC ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฆ

๐Ÿ†‘๏ธ 22:00 - Man United ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Vs FC Kobenhavn ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฐ

๐Ÿ†‘๏ธ 22:00 - Lens ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Vs PSV Eindhoven ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ

๐Ÿ†‘๏ธ 22:00 - Sevillla ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Vs Arsenal ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ

๐Ÿ†‘๏ธ 22:00 - Braga ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Vs Real Madrid ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ

๐Ÿ†‘๏ธ 22:00 - Union Berlin ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Vs SSC Napoli ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น

๐Ÿ†‘ 22:00 - SL Benfica ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Vs Real Sociaded ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ

No Kaneโ“ No Problemโ—Heung Min Son Sasa ndie Mfalme Mpya ndani ya Tottenham Hotspurs.๐ŸŸ๏ธMechi 9โšฝMabao 7Mwamba Yupo On  ๐Ÿ”ฅ
23/10/2023

No Kaneโ“ No Problemโ—

Heung Min Son Sasa ndie Mfalme Mpya ndani ya Tottenham Hotspurs.

๐ŸŸ๏ธMechi 9
โšฝMabao 7

Mwamba Yupo On ๐Ÿ”ฅ

WANANCHI HAWATAKI MASIHALA TENA WANA CHINJA TU HUKO!!!!!!!FT: YANGA SC 3-2 AZAM FCโšฝ G. SILAโšฝ Prince Dube (Penati)โšฝโšฝโšฝ Ste...
23/10/2023

WANANCHI HAWATAKI MASIHALA TENA WANA CHINJA TU HUKO!!!!!!!

FT: YANGA SC 3-2 AZAM FC
โšฝ G. SILA
โšฝ Prince Dube (Penati)

โšฝโšฝโšฝ Stephan Aziz Ki

KILA MMOJA ANAZITAKA ALAMA TATU HUKO KWA MKAPA!!!!!!HT: YANGA 1-1 AZAM FC       โšฝ Aziz KI '8'        โšฝ Gibril Sillah
23/10/2023

KILA MMOJA ANAZITAKA ALAMA TATU HUKO KWA MKAPA!!!!!!

HT: YANGA 1-1 AZAM FC
โšฝ Aziz KI '8'
โšฝ Gibril Sillah

NYOTA WA SIMBA SC AFANYIWA UPASUAJI.Mchezaji wa Simba Sc, Aubin Kramo amefanyiwa upasuaji wa goti katika Hospitali ya El...
23/10/2023

NYOTA WA SIMBA SC AFANYIWA UPASUAJI.

Mchezaji wa Simba Sc, Aubin Kramo amefanyiwa upasuaji wa goti katika Hospitali ya El Yosr Internationale Sousse nchini Tunisia.

Tunakuombea Upone Haraka Mwamba ๐Ÿ™Œ

Kikosi Kazi cha Yanga SC kinachoanza dhidi ya Azam FC.
23/10/2023

Kikosi Kazi cha Yanga SC kinachoanza dhidi ya Azam FC.

๐ŸŽ™๏ธ Kocha Robertihno Kuelekea Mchezo wa Kesho "Nafahamu tutakuwa na Mechi ngumu Kesho dhidi ya timu Kubwa Afrika ila Kuna...
23/10/2023

๐ŸŽ™๏ธ Kocha Robertihno Kuelekea Mchezo wa Kesho

"Nafahamu tutakuwa na Mechi ngumu Kesho dhidi ya timu Kubwa Afrika ila Kuna namna ambavyo tutaingia na Mpango wa tofauti ulivyokuwa Kwenye Mchezo wa Kwanza nyumbani pia nitafanya mabadiliko ya Wachezaji kwenye baadhi ya Maeneo ili Kufanikiwa vizuri na Kupata Ushindi."

Kocha wa Mpira K**aliza Sasa tusubiri Kesho..๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

๐ŸŽ™๏ธ MANENO YA KOCHA ROBERTINHO KUELEKEA MCHEZO WA KESHO."Tunaweza Kucheza Kwa juhudi katika Mashindano makubwa, Nina Kiko...
19/10/2023

๐ŸŽ™๏ธ MANENO YA KOCHA ROBERTINHO KUELEKEA MCHEZO WA KESHO.

"Tunaweza Kucheza Kwa juhudi katika Mashindano makubwa, Nina Kikosi Kizuri, K**a Simba Sc tunamuheshimu Kila Mpinzani na tunaamini katika uwezo tuliokuwa nao ndani na nje ya Tanzania kwa sasa."

"Al Ahly ni timu kubwa na bora hapa Afrika, Kesho itakuwa Miongoni mwa Mechi ngumu kutokana na ubora wa Mpinzani tunatakiwa Kuzingatia Mchezo wa kesho Kwani tunataka Kupambana kwa hali na mali ili kupata matokeo."

Vp unakubaliana na Maneno ya Robertihno au tusubili dakika 90๐Ÿ˜ณ๐Ÿ™Œ๐Ÿค

KING KIBA KUTUMBUIZA  SIKU YA UFUNGUZI AFRICAN FOOTBALL LEAGUE๐Ÿ™Œ๐Ÿ™ŒMsanii wa Muziki wa Kizazi kipya,Ali Kiba atatumbuiza kw...
18/10/2023

KING KIBA KUTUMBUIZA SIKU YA UFUNGUZI AFRICAN FOOTBALL LEAGUE๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya,Ali Kiba atatumbuiza kwenye sherehe kubwa za ufunguzi wa mashindano makubwa zaidi barani Afrika ya African Football League ambayo yatafanyika Ijumaa ya wiki hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Viongozi wakubwa wa soka duniani na Afrika wanatarajia kuhudhuria sherehe hizo.

๐Ÿšจ Rais wa Klabu ya FC Barcelona, Joan Laporta anafanyiwa Uchunguzi na Maofisa wa Polisi baada ya Kukubwa na tuhuma za ru...
18/10/2023

๐Ÿšจ Rais wa Klabu ya FC Barcelona, Joan Laporta anafanyiwa Uchunguzi na Maofisa wa Polisi baada ya Kukubwa na tuhuma za rushwa ndani ya Klabu hiyo.

(Source: Mail Sport)

๐Ÿšจ Kalvin Phillips atalazimika Kuondoka ifikapo dirisha dogo la Usajili Januari Mwakani k**a ataendelea Kusugua benchi nd...
18/10/2023

๐Ÿšจ Kalvin Phillips atalazimika Kuondoka ifikapo dirisha dogo la Usajili Januari Mwakani k**a ataendelea Kusugua benchi ndani ya Kikosi cha Manchester City kilichopo chini ya Kocha Pep Gurdiola.

(Source: Telegraph Football)

Address

Kinondoni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chiteni TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chiteni TV:

Videos

Share