Wasafi TV AyoTv KondeGang4EveryBody Famous Animal Tv eFM Tanzania - Muziki Inaongea
#wasafimedia #CrownMedia #animals #world
Harmonize atupatia kionjo cha nyimbo yake mpya huku akitupa jiwe gizani
KONDE GANG Harmonize Ke#Wolf #wasafimedia #CrownMedia
AyoTv ITV Tanzania Wasafi TV Salim Kikeke
Hatima ya lewandoswki
Robert Lewandoswki anajitahidi sana kurudi kutoka jeraha la goti na mfungaji bora wa Bayern alimaliza mazoezi yake ya kwanza cha kukimbia kwenye theluji ya Munich Jumatatu asubuhi. Lewandowski alirejea akiwa majeruhi kutoka kwa jukumu la kimataifa na Poland na hatapatikana tena kwa mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa ugenini huko Paris Saint-Germain Jumanne.
#sports
#munich
Bilionea wa madini ya Tanzanite akieleza kwa undani atakavyozitumia pesa alizozipata baada ya kuuza madini mawili yenye dhamani ya zaidi ya bilioni 7 baada ya kuiuzia Serikali madini hayo.
Rais wa zamani wa Marekani Barrack Obama alikuwa miongoni mwa watu maarufu waliotoa kauli dhidi ya ubaguzi kwa misingi ya rangi.
Baadhi ya viongozi wa zamani, watu maarufu na ndugu wa George Floyd ni miongoni mwa watu waliotoa maoni yao.(via BBC SWAHILI)
Rais Magufuli amewashukuru Viongozi wa Dini na Watanzania wote kwa kuitikia wito wa kumuomba Mungu ili aliepushe Taifa na corona, ametoa shukrani hizo leo alipokaribishwa kuwasalimu Waumini wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Imakulata,Chamwino, Dodoma.
•
“Mungu amejibu maombi ya Watanzania ambao wamesali, wamefanya toba na kufunga, na matokeo yake maambukizi ya corona yamepungua na wananchi wanaendelea na maisha yao huku wakichapa kazi, tofauti na ilivyodhaniwa kuwa corona ingesababisha madhara makubwa”-JPM
•
Rais Magufuli ametoa wito kwa Watanzania wote kuendelea kuwa makini dhidi ya mbinu zozote zinazoweza kufanywa kuwaambukiza corona ama magonjwa mengine, huku wakimshukuru na kumtumaini Mwenyezi Mungu aliyemuwez wa yote.
•
Akiwa Kanisani hapo, JPM ameendesha harambee ya kuchangia upanuzi wa Kanisa hilo na kufanikiwa kuchangisha zaidi ya Tsh. Mil 17 ikiwemo Tsh. Mil 10 aliyochangia yeye mwenyewe na mifuko 76 ya saruji, ametaka upanuzi wa kanisa uanze kesho.