Nkomokomo Media

Nkomokomo Media Ukurasa huu wa Nkomokomo Media ni maalumu kwa ajili kupata Taarifa mbalimbali Za kanisa na jamii kwa ujumla ndani na nje ya nchi.

Karibuni Sana wapendwa Watazamaji.

https://youtu.be/5n4lzm1rQmw?si=9sOYkRInTFCMkOD5*HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA*πŸŽ„Wimbo: Ni shangwe Kubwa.πŸŽ„πŸŽ„Mtunzi: Sospe...
26/12/2024

https://youtu.be/5n4lzm1rQmw?si=9sOYkRInTFCMkOD5

*HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA*

πŸŽ„Wimbo: Ni shangwe Kubwa.πŸŽ„
πŸŽ„Mtunzi: Sospeter Kitulanya.πŸŽ„
πŸŽ„Waimbaji: Vibrato Singers.πŸŽ„
πŸŽ„Audio: HMPπŸŽ„
πŸŽ„Video: Nkomokomo Media.πŸŽ„
πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„πŸŽ„

Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia NI WIMBO MAALUMU WA CHRISTMAS HAKIKA NI SHANGWE KUBWA HAPA DUNIANI BWANA YESU KAZALIWA VIUMBE VYOTE NJONI TUMSIFU ...........

*Pumzika kwa Amani dada yetu kipenzi Flora Mwampeta....*_Umetuachia simanzi kubwa sana Wanakwaya wenzako. Daima tutakuom...
17/12/2024

*Pumzika kwa Amani dada yetu kipenzi Flora Mwampeta....*

_Umetuachia simanzi kubwa sana Wanakwaya wenzako. Daima tutakuombea Kwa Mungu aweze kukusamehe pale ulipoenda kinyume na mapenzi yake._ πŸ™πŸ™πŸ™

https://youtu.be/AUE_n-QJ1fM?si=ntzHmfhDPsSlMsc9*Furahini Katika Bwana Siku zote nasema Tena Furahini Bwana yu Karibu......
14/12/2024

https://youtu.be/AUE_n-QJ1fM?si=ntzHmfhDPsSlMsc9

*Furahini Katika Bwana Siku zote nasema Tena Furahini Bwana yu Karibu.....*
_Tunaongozwa kutafakari ujio wake Mfalme wa AMANI na Padre William Kipelelo CSSp Paroko Msaidizi Parokia ya Mt Elizabeth Jimbo Kuu Lubumbashi DR Congo_
Kindly
*Subscribe...Like...Comment...Share kwa wote*
_Nkomokomo Media Creating Memories for a Lifetime_

Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia FURAHINI KATIKA BWANA SIKU ZOTE NASEMA TENA FURAHINI BWANA YU KARIBU,,,,,,,,,,, TAFAKARI NZURI KABISA DOMINIKA YA TATU MAJ...

https://youtu.be/_QRRyXJqiJ0?si=EnzYI3k1_DfPQghz*NYIMBO ZA MAJILIO**1: Ni Yohani aliaye nyikani    By Chaungwa.**2: Ondo...
08/12/2024

https://youtu.be/_QRRyXJqiJ0?si=EnzYI3k1_DfPQghz

*NYIMBO ZA MAJILIO*
*1: Ni Yohani aliaye nyikani By Chaungwa.*
*2: Ondoka Ee Yerusalem By David Vyaranse*
*3: Namtuma mjumbe By David Vyaranse*
*4: Subira ya Mkulima By Charles Saasita*
*5: Tazameni Bwana Mungu atakuja By Charles Saasita*
*6: Uje kwetu By DR Mbilinyi*

*_Karibuni Sana tutafakari ujio wa Mfalme wa Amani huku tukijitayarisha ipasavyo ili atukute tu tayari_*

Kindly
*Subscribe...Like... Comment...Share...Kwa wote*
_Nkomokomo Media Creating Memories for a Lifetime_

Mpenzi mtazamaji wa Ni Nyimbo za Dominika ya Pili ya Majilio karibu tutafakari nyimbo hizo huku tukimngojea Mfalme wa Amani tukiyaandaa mazin...

https://youtu.be/2nmHouqDc90?si=vTdrWAxCf17P5cP4*SIKUKUU YA KRISTO MFALME**_Sifa za Ufalme wa Yesu Kristo Mfalme ni tofa...
24/11/2024

https://youtu.be/2nmHouqDc90?si=vTdrWAxCf17P5cP4

*SIKUKUU YA KRISTO MFALME*
*_Sifa za Ufalme wa Yesu Kristo Mfalme ni tofauti kabisaaaaa na za Wafalme wa Dunia hii........._*
_// Karibu uujue utofauti wake//_
Kindly
*Subscribe....Like.... Comment...Share kwa wote*
_"Nkomokomo Media Creating Memories for a Lifetime"_

Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia Astahili Mwanakondoo aliyechinjwa kuupokea uweza na utajiri na hekima na nguvu na heshima. Utukufu na ukuu una yeye hata m...

https://youtu.be/2d70pEAYYa0?si=aWAbThS45lNj9DzV*INJILI HAIKATAZI KAMWE KUWA NA MALI. LAKINI KWA MTU ANAYETHAMINI MNO MA...
12/10/2024

https://youtu.be/2d70pEAYYa0?si=aWAbThS45lNj9DzV

*INJILI HAIKATAZI KAMWE KUWA NA MALI. LAKINI KWA MTU ANAYETHAMINI MNO MALI BILA KUWA TAYARI KUYAACHA YOTE KWA AJILI YA MUNGU ITAKUWA VIGUMU KWAKE KUINGIA KATIKA UFALME WA MUNGU......*
_Tafakari nasi na Fr. William Kipelelo CSSp Paroko msaidizi Parokia ya Mt. Elizaberth Jimbo kuu katoliki Lubumbashi DR CONGO_
Kindly
Subscribe...Like...Comment...Share kwa wote...
*Nkomokomo Media*
_Creating Memories for a Lifetime_

Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia Ni Tafakari Dominika ya 28 mwaka B wa Kanisa ikitolewa na Padre William Kipelelo CSSp Paroko Msaidizi Parokia ya Mtakatifu...

https://www.youtube.com/live/Z5Jr4VlsHrE?si=2NPN6feTx4JY2pwJ*Ni Tamasha la Uponyaji lililoandaliwa na Kwaya ya Mtakatifu...
06/10/2024

https://www.youtube.com/live/Z5Jr4VlsHrE?si=2NPN6feTx4JY2pwJ

*Ni Tamasha la Uponyaji lililoandaliwa na Kwaya ya Mtakatifu Fransisco wa Asizi Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mkombozi Kipawa Jimbo kuu katoliki la Dar es Salaam*

Kindly
Subscribe...Like...Comment...Share kwa watu wote.
*Nkomokomo Media*
_Creating Memories For a Lifetime_

Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia TAMASHA LA UPONYAJI KWAYA YA MT. FRANSISCO WA ASIZI PAROKIA BIKIRA MARIA MAMA MKOMBOZI KIPAWADaima kumbuka ku- subscribe,...

https://www.youtube.com/live/la6qRAkuGgo?si=kP2GFndZsPxHgdiX*ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU KILELE CHA KONGAMANO LA 5 LA EKA...
15/09/2024

https://www.youtube.com/live/la6qRAkuGgo?si=kP2GFndZsPxHgdiX
*ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU KILELE CHA KONGAMANO LA 5 LA EKARISTI KITAIFA NA WATOTO 26 KUPOKEA EKARISTI TAKATIFU*
Ikiongozwa na,
*_Mhashamu Askofu Wolfang Pisa wa Jimbo Katoliki la Lindi - Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania*
Kindly
Subscribe...Like...Comment...Share kwa wote.
*_Nkomokomo Media_*
_Creating Memories for a Lifetime_

Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU KILELE CHA KONGAMANO LA 5 LA EKARISTI KITAIFA PIA KUTATOLEWA KWA SAKRAMENTI YA EKARISTI TAKATIF...

https://youtu.be/u3v9iO8Qq1k?si=xRZcNSn2rBL9n5Yz*Song: Mtakatifu Monika Hongera.**Mtunzi: David Vyaranse**Waimbaji:Kwaya...
03/09/2024

https://youtu.be/u3v9iO8Qq1k?si=xRZcNSn2rBL9n5Yz
*Song: Mtakatifu Monika Hongera.*
*Mtunzi: David Vyaranse*
*Waimbaji:Kwaya ya Mtakatifu Monika Mazizini Ukonga*

_Kaa nasi daima Nkomokomo Media_
Kindly
Subscribe...Like... Comment... Share kwa wote

Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia MTAKATIFU MONIKA SOMO WETU HONGERA KWA KUTUSIMAMIA VEMA HONGERA. UNATUSIMAMIA VEMA TANGU TULIPOKUCHAGUA , UNATUOMBEA KWA M...

https://youtu.be/LeGDiEKtMmo?si=6--G4xc-hW_3DJLJ*MONIKA DEI**Nyimbo pendwa kwenye Matoleo ikiimbwa na Kwaya ya Mtakatifu...
01/09/2024

https://youtu.be/LeGDiEKtMmo?si=6--G4xc-hW_3DJLJ

*MONIKA DEI*
*Nyimbo pendwa kwenye Matoleo ikiimbwa na Kwaya ya Mtakatifu Monika Mazizini Ukonga na kupigwa kinanda na David Vyaranse Mwema*

_Kaa nasi daima Nkomokomo Media_
Kwa Ku- Subscribe...Like.... Comment...Share kwa wote

Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia WIMBO MZURI WA MATOLEO/SADAKA AMBAPO TUNAALIKWA KUMTOLEA MUNGU SADAKA ZETU Daima kumbuka ku- subscribe, like, comment and...

https://youtu.be/UKIaYWF_8zY?si=Gn5qu8-N7YzbCq9I*Dini iliyo Safi,isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii.... *_KUWATAZA...
01/09/2024

https://youtu.be/UKIaYWF_8zY?si=Gn5qu8-N7YzbCq9I

*Dini iliyo Safi,isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii.... *_KUWATAZAMA YATIMA NA WAJANE KATIKA DHIKI YAO, NA KUJILINDA NA DINIA PASIPO NA MAWAA_*
_Karibu mpendwa Tutafakari Liturujia ya Neno Dominika 22 mwaka B._
Kaa nasi daima Nkomokomo Media
Kwa Ku Subscribe...Like... Comment... Share kwa wote.

Mpenzi mtazamaji wa Je, waijua Dini Iliyo safi isiyo na taka ama waa mbele za Mungu Baba? Ni HII, KWENDA KUWATAZAMA YATIMA NA WAJANE KATIKA D...

https://youtu.be/NNweJq5LCcI?si=iycsm7BECdfb866-*Neno hili ni gumu, ni nani awezaye kulisikia?*----- *Je, ninyi nanyi mw...
26/08/2024

https://youtu.be/NNweJq5LCcI?si=iycsm7BECdfb866-
*Neno hili ni gumu, ni nani awezaye kulisikia?*----- *Je, ninyi nanyi mwataka kuondoka?*
_Ni Tafakari nzuri sana Kwa Dominika ya 21 Mwaka B wa Kanisa tukiongozwa na Fr Diomedes Nyangashetani ni Homilia iliyosheheni mafundisho kuntu._
*Kaa nasi daima Nkomokomo Media Kwa ku Subscribe... Like... Comment...Share kwa wote*

Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia Watu wengi waliposikia, walisema, Neno hili ni gumu, ni nani awezaye kulisikia? Wapendwa ni Tafakari tunayoongozwa na Padr...

https://youtu.be/aDLLi_obfW8?si=u5UqYq8p7jbMNjQu*KWAYA MT.THERESIA WA MTOTO YESU PAROKIA TEULE VIWEGE KATIKA TAMASHA LA ...
15/08/2024

https://youtu.be/aDLLi_obfW8?si=u5UqYq8p7jbMNjQu
*KWAYA MT.THERESIA WA MTOTO YESU PAROKIA TEULE VIWEGE KATIKA TAMASHA LA MT.ANTHONY WA PADUA BUYUNI CHANIKA*
*Waja kiana yake na mbwembwe za mtiribu ...Hakika Tamasha lanoga ipasavyo*
Usipitwe tafadhali _Kaa nasi daima Nkomokomo Media_
Subscribe...Like...Comment...Share kwa wote..

Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia Waingia na staili ya namna yake hata umati wote kuuona upekee wa wana viwege ni instrumental tu hadi kutoka jukwaani.... H...

Address

Ukonga
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nkomokomo Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nkomokomo Media:

Share