Bongo Hits

Bongo Hits News/Media Brand
Pata habari mbalimbali,udaku,fursa na matukio follow ukurasa com
(1)

Yammi_Tz Sema haka katoto kazuri
15/06/2023

Yammi_Tz
Sema haka katoto kazuri

Msanii wa bongo fleva Phina Kwenye ubora wakeJE UNAMPA ASILIMIA NGAPI?
15/06/2023

Msanii wa bongo fleva Phina Kwenye ubora wake
JE UNAMPA ASILIMIA NGAPI?

⚠️😳 Kijana Alie Jichora Tattoo Za Diamond Mwili Mzima Amesema K**a Diamond Atamsaini Msanii Mwingine Mpya Basi Atamchora...
15/06/2023

⚠️😳 Kijana Alie Jichora Tattoo Za Diamond Mwili Mzima Amesema K**a Diamond Atamsaini Msanii Mwingine Mpya Basi Atamchora Tattoo K**a Alivyo Wachora Wasanii Wote Wa Wcb Mwilini Mwake.!

Mon media

Mamboo
15/05/2023

Mamboo

Hi
15/05/2023

Hi

Nani ajee nimpee
26/03/2023

Nani ajee nimpee

Mbele iko sawa🤭
26/03/2023

Mbele iko sawa🤭

Mark Zuckerberg ambae ni mmiliki wa Facebook na mkewe wabahatika kummpata mtoto wao wa tatu leo: Aurelia Chan Zuckerberg
26/03/2023

Mark Zuckerberg ambae ni mmiliki wa Facebook na mkewe wabahatika kummpata mtoto wao wa tatu leo: Aurelia Chan Zuckerberg

Taja jina la mchezaji huyu❓
11/03/2023

Taja jina la mchezaji huyu❓

😳 John Cena kwenye muonekano mpya !
10/02/2023

😳 John Cena kwenye muonekano mpya !

Ukweli usemwe tu Zuwena ametuzidi sura wanawake wengi sema tu inaonekana maisha yalikuwa yamempiga Cheki tabasamu hilo😁😁
10/02/2023

Ukweli usemwe tu Zuwena ametuzidi sura wanawake wengi sema tu inaonekana maisha yalikuwa yamempiga

Cheki tabasamu hilo😁😁

08/02/2023

Wewe unaesoma post Hii mungu akuvushe salama mwaka huu
Comment AMEN'

Baada ya taarifa ya watoto wa shule ya Sinde iliyopo Mbeya mjini kuonekana wamekaa chini asubuhi ya leo kusambaa mitanda...
08/02/2023

Baada ya taarifa ya watoto wa shule ya Sinde iliyopo Mbeya mjini kuonekana wamekaa chini asubuhi ya leo kusambaa mitandaoni, usiku huu UTV kwenye kipindi cha habari imeripotiwa mwalimu aliyepiga picha na kurusha mitandaoni amek**atwa na jeshi la polisi Mbeya.

Queen Masanja mke wa Dr. Mwaka ameangua kilio kwa kupiga magoti akimuomba Mwaka ampe Taraka yake ili abaki na amani, Que...
08/02/2023

Queen Masanja mke wa Dr. Mwaka ameangua kilio kwa kupiga magoti akimuomba Mwaka ampe Taraka yake ili abaki na amani, Queen amesema yupo tayari kumpa Dr.Mwaka kila kilichochake ili waachane kwa amani na siyo kuachana kwa vita k**a hivi kwani huu ni udhalilishaji na ni kinyume cha maadili.

Rushayna aenda tena Dubai kuonesha anajimudu bila mkono wa mtu
08/02/2023

Rushayna aenda tena Dubai kuonesha anajimudu bila mkono wa mtu

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongo Hits posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share