Je, unajua mambo yanayoweza kumkatisha tamaa mwanaume kwenye uhusiano?
Wanaume wengi hawasemi, lakini kuna tabia chache zinazoweza kuathiri sana hisia na mapenzi yao.
Katika video hii, tutaelezea mambo 8 ambayo wanaume hawapendi kabisa kwenye mahusiano na kwa nini ni muhimu kuyazingatia.
Unataka kudumisha upendo na amani kwenye uhusiano wako?
Basi usikose kutazama hii!
"Kuna wakati mtu unafika mwisho na kusema 'Pole Ex, sikutaki tena na nimeshakusahau.''
Wengi tunapitia changamoto za kuachana, lakini je, unajua ni nini kinachosaidia kumove on kweli na kuendelea na maisha yako kwa amani?
Katika video hii, utapata mbinu za kipekee za kuachilia, kusahau, na kuanza upya kwa kujiamini zaidi.
Ikiwa unataka kujifunza jinsi ya kuachana na mzigo wa hisia za zamani, hii ni kwa ajili yako!"
Labda Nife Tu Bila Hivyo Acha Waseme Umeniroga - LOVE SMS
Wewe Ni Kipaumbele Changu - Love SMS {Love Message To Someone You Really Love}
Mambo 10 Mwanamke Hafanyi Kwenye Mahusiano
Anza siku yako kwa kuibariki na kujitabiria mema
Anza siku yako kwa kuibariki na kujitabiria mema
Lifahamu SOKO KUU La Vifaa Vya Uchawi Duniani | Hakuna Utakachokikosa.
Aloo, kwa mfano ikipitishwa sheria ya mwanamke kuolewa na zaidi ya mwanaume mmoja kwa wakati mmoja, je utakubali kuwa mume mwenza na upangiane zamu na mwanaume mwenzako...?
ππππππ
Manchester City wapindua meza mbele ya Inter Millan,Wamaliza msimu na Mataji haya,Huku GUARDIOLA...
_
Bonyeza link https://youtu.be/jguY4-2TdE0