Dimabue

Dimabue Welcome to Digital Marketing and Business Experts (DIMABUE).

We Specialize in branding and marketing services; we are committed to fostering the growth of our clients’ businesses on the digital platform.

πŸ“’ Unajua SEO ni nini? Na ni kwa nini ni muhimu kwa tovuti yako au biashara yako? πŸ€”Katika video hii mpya, nimekufafanulia...
06/10/2024

πŸ“’ Unajua SEO ni nini? Na ni kwa nini ni muhimu kwa tovuti yako au biashara yako? πŸ€”

Katika video hii mpya, nimekufafanulia kila kitu kuhusu SEO β€” kuanzia maana yake, umuhimu wake, hadi aina mbalimbali unazoweza kutumia kuboresha cheo cha tovuti yako kwenye tovuti za utafutaji k**a Google! πŸš€πŸ’»

πŸ” Tutazungumzia: βœ… Maana ya SEO
βœ… Umuhimu wa SEO kwa biashara na tovuti
βœ… Aina za SEO: On-Page SEO, Off-Page SEO, na Technical SEO

Usikose kujifunza jinsi ya kuboresha uonekano wako mtandaoni na kuvutia wateja wapya! πŸ“ˆπŸ”₯

πŸŽ₯ Tazama video kamili hapo chini;
πŸ‘‰ Subscribe kwa video zaidi kuhusu masoko ya mtandaoni!

Email: [email protected]



Katika video hii, tunazungumzia kwa kina maana ya SEO, umuhimu wake, na aina mbalimbali za SEO unazoweza kutumia ili kuboresha tovuti yako Katika tovuti za ...

πŸš€ Exciting news! We've just completed a major project on miononews.com Over the past few days, we've been working hard o...
11/08/2024

πŸš€ Exciting news! We've just completed a major project on miononews.com Over the past few days, we've been working hard on On-Page SEO for all website posts and customizing the widgets to enhance your reading experience.

🌟 Visit the site and explore the optimized contentβ€”it's faster, more user-friendly, and packed with the latest news and trends.
Check it out now: https://miononews.com

If you require any assistance with website-related matters, please feel free to reach us through our email address: [email protected].

πŸš€ Exciting News! πŸš€I'm thrilled to announce the launch of my latest project: Miono News website! 🌟Check it out here: http...
23/07/2024

πŸš€ Exciting News! πŸš€

I'm thrilled to announce the launch of my latest project: Miono News website! 🌟

Check it out here: https://miononews.com

This site is packed with amazing features designed to enhance user experience and make navigation a breeze. I loved working on this project and am proud to see it go live!

Ni mwaka mmoja umepita toka kuanzishwa kwa Dimabue ni tarehe k**a ya leo tulianza safari ya kusaidia watu kukuza biashar...
01/05/2024

Ni mwaka mmoja umepita toka kuanzishwa kwa Dimabue ni tarehe k**a ya leo tulianza safari ya kusaidia watu kukuza biashara zao mtandao kwa njia mbalimbali.

Tukifurahia mwaka mmoja wa dimabue, tunasherekea pamoja pia na siku ya wafanya kazi wote duniani

Dimabue tunajihusisha na Mambo mawili muhimu ambayo ni Branding and Marketing Kwenye Branding tunafanya Biashara yako ij...
16/04/2024

Dimabue tunajihusisha na Mambo mawili muhimu ambayo ni Branding and Marketing

Kwenye Branding tunafanya Biashara yako ijitofautishe na zingine hapa tuna design; Logo/Nembo, Banner/mabango kwaajili ya Biashara yako, Flyers/Vipeperushi vya huduma unayotoa, Company profile/Wasifu wa kampuni, Business cards, Vitamburisho nk.

Upande wa Marketing tunaitangaza Biashara yako rasmi kupitia njia tofauti za mtandaoni ili kuwafikia wateja wengi zaidi ambazo ni:

Kwanza kutengeneza tovuti kwaajili ya kuiweka Biashara yako mtandaoni ipatikane masaa 24.

Pili kuikuza kupitia mitandao ya kijamii K**a Facebook, Instagram na WhatsApp kwa kutumia mfumo maalum wa matangazo ya kulipia.

Tatu Kutangaza Biashara yako kwa njia ya tovuti za utafutaji K**a google, Bing Nk.

Karibu uanzishe na ukuze Biashara yako nasi, wengi wamefaidika na kufurahishwa na huduma zetu.


Email us: [email protected]
Visit website: dimabue.com

Dimabue tunajihusisha na branding strategies kwaajili ya kutengeneza utamburisho wako na kufanya biashara yako ifahamike...
30/03/2024

Dimabue tunajihusisha na branding strategies kwaajili ya kutengeneza utamburisho wako na kufanya biashara yako ifahamike kwa watu wengi zaidi.

Hapa tunajihusisha na kutengeneza businesses cards, company profile, flyers, posters, Logo design nk. Pia upande wa Marketing tunatangaza Biashara yako ili kuwafikia watu wengi zaidi.

Branding ni kitu muhimu na kinadumu kwa miaka na miaka Ila marketing inafanyika kwa muda maalum.

Hapa chini ni miongoni mwa mteja wetu tuliemfanyia branding na hio ni company profile Yaani wasifu wa kampuni hio Unaweza kujua zaidi kwa kutembelea tovuti yao ambayo imetengenezwa nasi pia ambayo ni
www.wisdomsecurity.co.tz


Email us: [email protected]
Visit us: www.dimabue.com

OFFA YA KUFUNGUA MWAKA YA KUMILIKI TOVUTI YAKO YA KIBIASHARA INAISHA MWEZI HUU NA TUMEPATA MTEJA MMOJA ALIJINYAKULIA OFF...
16/03/2024

OFFA YA KUFUNGUA MWAKA YA KUMILIKI TOVUTI YAKO YA KIBIASHARA INAISHA MWEZI HUU NA TUMEPATA MTEJA MMOJA ALIJINYAKULIA OFFA HIO KABAMBE UNAWEZA KUFUNGUA LINK HII HAPA KUONA TOVUTI YA MTEJA WETU ALIEWAHI OFA HII
https://wisdomsecurity.co.tz/

Ghalama zetu ni nafuu sana na tunazingatia mambo muhimu kwenye utengenezaji wa tovuti k**a vile

User Interface (UI) Yaani muonekano mzuri wa tovuti utakaomvutia mtu anavyoingia katika tovuti kwa mara ya kwanza na kutamani kurudi tena na tena kwenye tovuti yako kutokana na muonekano wake mzuri,

Use Xperience (UX ) Yaani mpangilio wa tovuti yako kuhakikisha haumchanganyi mtu akiingia kila kitu kipo katika mpangilio wake k**a vile mawasiliano, kuhusu tovuti, huduma nk Hivyo ni vitu wiwili muhimu vya kuzingatia yaani kuwa na muonekano mzuri wa tovuti usiomchanganya mtu.

Pia tunazingatia usalama wa tovuti yako hivyo tutakuwekea SSL kwaajili ya ulinzi, pia tutakuwekea program maalum za kuzuia fake comment kwenye tovuti na email yako pia. Tunazingatia SEO Yaani Search Engine Optimazation hii ni jinsi ya kuifanya tovuti yako ipatikana kwa urahisi google.


Email: [email protected]
Visit: dimabue.com

Kuna offa ya muda maalum katika huduma zetu, na hii ni OFA ya kutengenezewa tovuti kwa ghalama nafuu mno sawa na bure, k...
02/02/2024

Kuna offa ya muda maalum katika huduma zetu, na hii ni OFA ya kutengenezewa tovuti kwa ghalama nafuu mno sawa na bure, k**a una biashara Yako na ungependa kwenda na wakati wa technolojia basi usikubali ofa hii ikupite,

tuwasiliane kipitia namba 0654 291932 au tuma ujumbe kwenda barua Pepe ya [email protected]


Tembelea tovuti: dimabue.com

Tunasaidia watu kukuza biashara zao mtandaoni kupitia tovuti, K**a ni mfanyabiashara na hauna tovuti tutakusaidia kuanda...
13/01/2024

Tunasaidia watu kukuza biashara zao mtandaoni kupitia tovuti, K**a ni mfanyabiashara na hauna tovuti tutakusaidia kuandaa tovuti yako na kuweka biashara yako kwenye tovuti. Ghalama zetu ni nafuu sana na tunazingatia mambo muhimu kwenye utengenezaji wa tovuti k**a vile

User Interface (UI) Yaani muonekano mzuri wa tovuti utakaomvutia mtu anavyoingia katika tovuti kwa mara ya kwanza na kutamani kurudi tena na tena kwenye tovuti yako kutokana na muonekano wake mzuri,

Use Xperience (UX ) Yaani mpangilio wa tovuti yako kuhakikisha haumchanganyi mtu akiingia kila kitu kipo katika mpangilio wake k**a vile mawasiliano, kuhusu tovuti, huduma nk Hivyo ni vitu wiwili muhimu vya kuzingatia yaani kuwa na muonekano mzuri wa tovuti usiomchanganya mtu.

Pia tunazingatia usalama wa tovuti yako hivyo tutakuwekea SSL kwaajili ya ulinzi, pia tutakuwekea program maalum za kuzuia fake comment kwenye tovuti na email yako pia. Tunazingatia SEO Yaani Search Engine Optimazation hii ni jinsi ya kuifanya tovuti yako ipatikana kwa urahisi google.

Tutakufundisha pia jinsi mfumo wa email marketing unavyofanya kazi ili kuboresha biashara yako zaidi kitaalam.

Ghalama zetu ni nafuu mno ukilinganisha na ubora, karibu sana tukuhudumie k**a upo serious na hili weka oda yako hapa kisha utalipia advance baada kazi utamalizia kilichobaki.


Email: [email protected]
Website: dimabue.com

Siri ya Dimabue: Ukweli Uliofichika
30/12/2023

Siri ya Dimabue: Ukweli Uliofichika

Huenda ukawa unajiuliza nini maana ya dimabue, Basi kupitia video hii Utaweza kufumbua fumbo la Dimabue ambalo ulikuwa hulijui, Kwenye video hii utaweza kuju...

Address

Kijitonyama Science, Kajenge Road
Dar Es Salaam
14105

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dimabue posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dimabue:

Share


Other Digital creator in Dar es Salaam

Show All