Undugu salamu shimbi marami rombo

Undugu salamu shimbi marami rombo BARIKI MARESSY.MK

Tusisahau vyakula vyetu vyaasili
31/12/2020

Tusisahau vyakula vyetu vyaasili

Wangapi wanaijuwa hiii shule
31/12/2020

Wangapi wanaijuwa hiii shule

31/12/2020
Karibuni
13/08/2020

Karibuni

Hii ni kitu gani wale wenzangu wataluwa wanaelewa
05/08/2020

Hii ni kitu gani wale wenzangu wataluwa wanaelewa

RIP shujaa wetu mzee malechela pumzika kwa amani kazi umeimaliza
08/07/2020

RIP shujaa wetu mzee malechela pumzika kwa amani kazi umeimaliza

Mambo ya enzi
14/06/2020

Mambo ya enzi

10/06/2020

Hello

08/06/2020

TUNDU LISSU ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS. ANASUBIRI RIDHAA YA CHADEMA
-
Amesema akipata dhamana ya kuongoza, Serikali haitatumia Vyombo vya Dola dhidi ya Wapinzani na Wanahabari. Atakuwa mfariji Mkuu, hatakimbilia kijijini kwao wakati wa majanga k**a tetemeko au
-
Amesema "Itoshe kusema nina sifa zote za kuwa Rais wa Tanzania. Kwa zaidi ya miaka 20 nimekuwa mstari wa mbele kupigania Wananchi."
-
Amebainisha "Kabla ya kupigwa risasi na wasiojulikana katika Uongozi wa , nimekuwa Rais wa TLS na nimeongoza kupigania Katiba ya Tanzania"
-
Aidha, amesema "Ninaelewa masuala ya Kimataifa kwa mapana sana. Katika mabara yote, Bara la Australia tu ndio sijatembelea. Nina uwezo wa kuwafuta machozi."
-
Ameeleza "Ninaweza kuwatibu machungu mengi mliyosababishiwa. Nikiwa Rais nitafuta Sheria kandamizi zinazoumiza Wananchi"

29/05/2020

:Watu 59 miongoni mwao wakiwa ni wanafunzi wa vyuo mbalimbali wamenusurika kifo baada ya basi la kampuni ya Premier lenye namba za usajili T 629 AET likitokea Mwanza kwenda Mbeya kupinduka katika eneo la Usanda Misheni nje kidogo ya mji wa Shinyanga huku chanzo kikibainishwa kuwa ni mwendokasi.

Kamanda wa polisi wa mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo huku juhudi za kumsaka dereva wa gari hiyo zikiendelea

29/05/2020

Vashaka mvasima

29/05/2020

USHAURI WA MDAU: WAHITIMU (GRADUATES) MKUBALI MABADILIKO

> Anadai suala la miaka 1980 la kampuni kufuata wasomi vyuoni kuwapa limeisha muda mrefu na sasa wasomi hupigania nafasi chache ktk mashirika

> Wahitimu hukata tamaa baada ya kuitwa kwenye usahili ktk mashirika kadhaa au wengine hukata tamaa wakiona biashara wanazozianzisha hazifanikiwi

> Mdau anawashauri kutokata tamaa au kufa moyo kwa kuwa kwa enzi hizi kuna mabadiliko makubwa sana na hivyo ni muhimu kuwa wavumilivu

Soma https://jamii.app/WasomiWasifeMoyo

Address

Rt
Dar Es Salaam
8975

Telephone

+255765345678

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Undugu salamu shimbi marami rombo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category


Other Video Creators in Dar es Salaam

Show All

You may also like