Simba SC Footbal

Simba SC Footbal •Akaunti rasmi ya Simba SC Football kwa habari za michezo.
•Fans
•Kwa matangazo ya biashara tutafute WhatsApp 0712 125 518

RATIBA KAMILI YA SIMBA SHIRIKISHO CAFCC28/11/2024: Simba SC 🇹🇿 Vs FC Bravos 🇦🇴08/12/2024: CS Costantine 🇩🇿 Vs Simba SC 🇹...
07/10/2024

RATIBA KAMILI YA SIMBA SHIRIKISHO CAFCC

28/11/2024: Simba SC 🇹🇿 Vs FC Bravos 🇦🇴
08/12/2024: CS Costantine 🇩🇿 Vs Simba SC 🇹🇿
15/12/2024: Simba SC 🇹🇿 Vs CS Sfaxien 🇹🇳
05/01/2025: CS Sfaxien 🇹🇳 Vs Simba SC 🇹🇿
12/01/2025: FC Bravos 🇦🇴 Vs Simba SC 🇹🇿
19/01/2025: Simba SC 🇹🇿 Vs CS Costantine 🇩🇿

Je Mnyama atavuna alama ngapi katika kundi hili?

Endelea kufuatilia

Droo ya kombe la shirikisho barani Afrika CAFCC imefanyika Leo huko Misri ambapo Simba SC imepangwa kundi AKatika kundi ...
07/10/2024

Droo ya kombe la shirikisho barani Afrika CAFCC imefanyika Leo huko Misri ambapo Simba SC imepangwa kundi A

Katika kundi A Simba imepangwa na CS Sfaxien (Tunisia🇹🇳) CS Constantine (Algeria🇩🇿) na FC Bravos (Angola🇦🇴)

Pengine ushindani mkubwa unatarajiwa kutoka kwa CS Sfaxien na CS Constantine ambazo zimekuwa zikicheza hatua ya makundi ya michuano hii mara kwa mara wakati FC Bravos hii itakuwa mara yao ya kwanza

Mechi za hatua ya makundi zinatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi Novemba 2024 huku Simba akianzia ugenini kati ya tarehe 26-27 nchini Angola.

Endelea kufuatilia Simba SC Football







Droo ya hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Afrika CAFCC itafanyika leo nchini Misri saa 7 mchana Wana Simba wa ...
07/10/2024

Droo ya hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Afrika CAFCC itafanyika leo nchini Misri saa 7 mchana

Wana Simba wa Jiji la Dar Es Salaam saa 6 mchana watakuwa Tawi la Asili ya Simba lililopo Kawe kushuhudia droo hiyo ambayo itabaini kundi ambalo Simba itapangwa.

Endelea kufuatilia Simba SC Football







Wanachama wa Klabu ya Simba mnakaribishwa katika Mkutano Mkuu wa mwaka 2025.Mkutano utakuwa LIVE kupitia Azam Sports 2. ...
05/10/2024

Wanachama wa Klabu ya Simba mnakaribishwa katika Mkutano Mkuu wa mwaka 2025.

Mkutano utakuwa LIVE kupitia Azam Sports 2.

FT: YANGA PRONCESS 0️⃣➖1️⃣ JKT QUEENS JKT Queens wameibuka mabingwa wa kombe la Ngao ya Jamii baada ya kuinyuka Yanga Pr...
05/10/2024

FT: YANGA PRONCESS 0️⃣➖1️⃣ JKT QUEENS

JKT Queens wameibuka mabingwa wa kombe la Ngao ya Jamii baada ya kuinyuka Yanga Princess bao moja kwa bila katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa KMC Complex

Ni bao pekee la Donesia Minja lililofungwa dakika za jioni 88 zimeihakikishia JKT Queens kunyakua taji hilo

Yanga Princess wamekuwa washindi wa pili huku Simba Queens wakiwa washindi wa tatu katika kombe hilo.


Tumejikwaa, tunasimama kurudisha furaha tukianza na mpinzani aliye mbele yetu 💪
05/10/2024

Tumejikwaa, tunasimama kurudisha furaha tukianza na mpinzani aliye mbele yetu 💪

Ndio mpira wa miguu ulivyo una matokeo matatu,tunashukuru kwa kidogo tulichovuna Inshallah tutakuwa bora zaidi.FT Simba ...
04/10/2024

Ndio mpira wa miguu ulivyo una matokeo matatu,tunashukuru kwa kidogo tulichovuna Inshallah tutakuwa bora zaidi.

FT Simba 2️⃣➖2️⃣ Coastal
⚽M Hussein 25'
⚽L Ateba 39'

⚽A Abdallah 48'
⚽H Malonga 71'

Endelea kufuatilia Simba SC Football




Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi Simba kinachoanza leo katika mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union Mchezo utap...
04/10/2024

Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi Simba kinachoanza leo katika mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union

Mchezo utapigwa saa 16:15 katika uwanja wa KMC Complex

Endelea kufuatilia Simba SC Football




Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi Simba leo jioni kitakuwa na kibarua cha kusaka alama tatu muhimu dhidi ya Coastal Union k...
04/10/2024

Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi Simba leo jioni kitakuwa na kibarua cha kusaka alama tatu muhimu dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya NBC utakaopigwa majira ya saa 16:15 katika uwanja wa KMC Complex

Mchezo huo utakuwa ni wa tano kwa Simba kwani akifanikiwa kushinda atafikisha alama 15 katika msimamo wa ligi

Kila la kheri chama langu

Endelea kufuatilia Simba SC Football




Nahodha Mohamed Hussein akizungumzia namna wachezaji wamejiandaa kuwakabili Coastal Union.Endelea kufuatilia Simba SC Fo...
03/10/2024

Nahodha Mohamed Hussein akizungumzia namna wachezaji wamejiandaa kuwakabili Coastal Union.

Endelea kufuatilia Simba SC Football







Kocha Fadlu akizungumzia maandalizi ya mchezo wa kesho.Endelea kufuatilia Simba SC Football
03/10/2024

Kocha Fadlu akizungumzia maandalizi ya mchezo wa kesho.

Endelea kufuatilia Simba SC Football







Klabu ya Simba SC imetangaza rasmi kukamilisha usajili wa Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa DR Congo Elie Mpanzu🇨🇩 (22...
30/09/2024

Klabu ya Simba SC imetangaza rasmi kukamilisha usajili wa Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa DR Congo Elie Mpanzu🇨🇩 (22) Kibisawala kwa mkataba wa miaka miwili

Mpanzu yupo jijini Dar Es Salaam na atajiunga na kikosi cha Lunyasi wiki hii.

Shirikisho la soka la Afrika (CAF) imefikia makubaliano na kampuni ya kurusha matangazo ya mpira wa miguu Duniani Super ...
30/09/2024

Shirikisho la soka la Afrika (CAF) imefikia makubaliano na kampuni ya kurusha matangazo ya mpira wa miguu Duniani Super Sports kwaajili ya kurusha matangazo ya mashindano ya Ligi ya mabingwa,Shirikisho,mashindano ya Wanawake na CAF Super Leagues kuanzia msimu ujao 2025.

Endelea kufuatilia

Klabu ya Simba SC leo itakuwa na kibarua cha kusaka alama tatu muhimu ugenini dhidi ya Dodoma Jiji Huu utakuwa ni mchezo...
29/09/2024

Klabu ya Simba SC leo itakuwa na kibarua cha kusaka alama tatu muhimu ugenini dhidi ya Dodoma Jiji

Huu utakuwa ni mchezo wa nne kwa Mnyama akichezo katika ligi na amecheza mitatu na kuvuna alama 9 na magoli 9 hajafanikiwa kuruhusu bao hata Moja mbele ya mlinda mlango Moussa Camara

Je na leo unaziona goli ngapi katika mchezo wa leo ambao utawakutanisha walima Zabibu na Mnyama wa Mwituni?

Mchezo utapigwa saa 18:30 katika uwanja wa Jamhuri.

Pasi ngapi za magoli unaziona leo hapa kwa fundi Ahoua?
29/09/2024

Pasi ngapi za magoli unaziona leo hapa kwa fundi Ahoua?

Tunataka kuendeleza ushindi.
28/09/2024

Tunataka kuendeleza ushindi.

Kocha Fadlu kuelekea mchezo wa kesho.
28/09/2024

Kocha Fadlu kuelekea mchezo wa kesho.

Klabu ya Dodoma Jiji imetangaza viingilio vya mchezo wa kesho wa ligi kuu ya Tanzania Bara NBC Premier League dhidi ya S...
28/09/2024

Klabu ya Dodoma Jiji imetangaza viingilio vya mchezo wa kesho wa ligi kuu ya Tanzania Bara NBC Premier League dhidi ya Simba SC mchezo ambao utapigwa katika uwanja wa Jamhuri saa 18:30 jioni

VIP A TSH 20,000
VIP B TSH 10,000
MZUNGUKO TSH 5,000

Powered by

Endelea kufuatilia Simba SC Football









Follow Akaunti yetu ya Instagram hapa👇

https://www.instagram.com/invites/contact/?i=1wy8gk8e8p6d9&utm_content=pp2hyym

Follow Akaunti yetu ya Twitter ( X ) hapa👇

https://x.com/simbascfootball?t=qRMIvZZ9rPJ5a1ddtFZK_Q&s=09

Follow Akaunti yetu ya Threads hapa👇

https://www.threads.net/

Follow Account yetu ya TikTok hapa👇

https://www.tiktok.com/.sc.football?_t=8npLvYuDia6&_r=1

Follow Channel yetu ya WhatsApp hapa👇

https://whatsapp.com/channel/0029Va9WwGQADTOC2w4Mrr1W

Follow Channel yetu ya Telegram hapa👇

https://t.me/simbascfootball

Address

Msimbazi
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simba SC Footbal posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Simba SC Footbal:

Videos

Share

Category