Pacôme Zouzoua

Pacôme Zouzoua Official Pacôme Zouzoua Young Africans Sports Club PLAY TAFADHALI GUSA HII FOLLOW 👈 WELCOME WELCOME BACK ONLINE

09/12/2024
𝗞𝗔𝗭𝗜𝗡𝗜 𝗞𝗪𝗔𝗞𝗘 𝗞𝗨𝗡𝗔 𝗞𝗔𝗭𝗜.🫵🔋
09/12/2024

𝗞𝗔𝗭𝗜𝗡𝗜 𝗞𝗪𝗔𝗞𝗘 𝗞𝗨𝗡𝗔 𝗞𝗔𝗭𝗜.

🫵🔋

Kila mtu asome ujumbe huu na ashare ujumbe huu, Kwa sasa niko kazini kupata wachezaji hawa...1. Mlinzi wa kati (centre_b...
09/12/2024

Kila mtu asome ujumbe huu na ashare ujumbe huu, Kwa sasa niko kazini kupata wachezaji hawa...
1. Mlinzi wa kati (centre_back)

2. Kiungo mzuiaji ( pure defensive midfielder)

3.mbwa mwitu kwenye box (prolific number 9)

Pia namba kumi nayo saivi naona inahitajika kuhusu kibabage ni sababu Boka alikuwa majeruhi, kuhusu kocha kwanza mjue kocha hafukuzwi kwa kufungwa mechi mbili Gamondi alishindwa tu kuelewana na uongozi kuhusu nidhamu basi timu ikishaimarika hamtowaza tena eti kocha hajui kwaiyo tulieni msiyumbishwe.

Dar Es Salaam🛬
09/12/2024

Dar Es Salaam🛬


Tumewasili salama Dubai🛬 tutapumzika hapa na asubuhi tutaendelea na safari ya kurudi Dar Es Salaam.
09/12/2024

Tumewasili salama Dubai🛬 tutapumzika hapa na asubuhi tutaendelea na safari ya kurudi Dar Es Salaam.

Aliekuwa kocha wa viungo wa klabu ya  Helmy Gueldich ameamka na ujumbe mzito ambao ameshare kunako Instagram yake. ''No ...
09/12/2024

Aliekuwa kocha wa viungo wa klabu ya Helmy Gueldich ameamka na ujumbe mzito ambao ameshare kunako Instagram yake.

''No matter what you do, some people may never appreciate it. So keep moving forward—stay focused and committed to finishing the job for those who truly love and believe in you. One day, the others will realize what they lost and miss the unique way you always did things the right way.”

''Hata ufanye nini, huenda watu wengine wasithamini kamwe. Kwa hivyo endelea kusonga mbele—kaa makini na kujitolea kumaliza kazi kwa wale wanaokupenda na kukuamini kweli. Siku moja, wengine watatambua walichopoteza na kukosa njia ya kipekee ambayo ulifanya mambo kwa njia ifaayo kila wakati.”

RAIS KAONGEA"Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu tumemaliza mchezo salama. Matokeo tuliyoyapata ni sehemu ya mchezo lak...
08/12/2024

RAIS KAONGEA

"Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu tumemaliza mchezo salama. Matokeo tuliyoyapata ni sehemu ya mchezo lakini kuna hatua kubwa zinaenda kuchukuliwa katika kikosi chetu. Yote mliyoyaona na mimi nimeyaona niseme tu sitoyafumbia macho baadhi ya wachezaji itabidi watupishe".

Eng Hersi Said
Rais wa klabu ya Yanga SC.

Alikuwa mtu mwema kwetu sisi
08/12/2024

Alikuwa mtu mwema kwetu sisi

➡️ Kwa Hapa TP Mazembe ana Points zetu 6 afu MC Alger Tatu home  na Sare Kwa Al Hilal tunaingia makundi kwa points 10.
08/12/2024

➡️ Kwa Hapa TP Mazembe ana Points zetu 6 afu MC Alger Tatu home na Sare Kwa Al Hilal tunaingia makundi kwa points 10.

Sorry 😔😟
08/12/2024

Sorry 😔😟

Kikosi kinachoanza dhidi ya MC alger
07/12/2024

Kikosi kinachoanza dhidi ya MC alger

07/12/2024

REO SAA 4 USK

Leo simu zitaita na. Mm nitafunga na max nzeger atafanya kazi kubwa maombi yenu wananchi guys page football professor we...
07/12/2024

Leo simu zitaita na. Mm nitafunga na max nzeger atafanya kazi kubwa maombi yenu wananchi guys page football professor welcome wananchi 🔰✅

Mchezo wa leo chama aanze au asianze
07/12/2024

Mchezo wa leo chama aanze au asianze

🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰 🏆   ⚽️ MC Alger🆚Young Africans SC📆 07.12.2024🏟 5 July 1962 🕖 8pm🇩🇿 10pm🇹🇿
07/12/2024

🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰

🏆
⚽️ MC Alger🆚Young Africans SC
📆 07.12.2024
🏟 5 July 1962
🕖 8pm🇩🇿 10pm🇹🇿


Kazi imeanza kutoka kwa Mwamba Adnan Behlulović 🔰💪🏽
07/12/2024

Kazi imeanza kutoka kwa Mwamba Adnan Behlulović 🔰💪🏽


Tuko tayari na mchezo wa reo dhidi ya MC Alger🔰💪🏽
07/12/2024

Tuko tayari na mchezo wa reo dhidi ya MC Alger🔰💪🏽

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pacôme Zouzoua posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Pacôme Zouzoua:

Videos

Share