DonMoo-Media

DonMoo-Media follow me YouTube https://youtu.be/F5eD4iMj2cE (DonMooMedia).
(3)

Kwasasa ipo YouTube, bonyeza pink kwenye bio yangu uweze kuitizama Tamthilia hii ya kipekee sana
26/07/2021

Kwasasa ipo YouTube, bonyeza pink kwenye bio yangu uweze kuitizama Tamthilia hii ya kipekee sana

23/07/2021

WATOTO WANGU ep 01. Itizame kwa kubonyeza link iliyopo chini ya BIO yangu.

16/07/2021

Good Nasheed

25/06/2021

I LOVE YOU MAMA 🕯...🎶
follow me instagram and follow YouTube chanel to whatch full videos.
Am a Cretor, Editor, Director, Cameraman
&
C.E.O
✍ DonMooSTUDIO
ft
✍DonMooMEDIA

26/02/2021

.machozi.1806 akisoma .islamicftz

12/11/2020

Embu cheka na Sheh Don

K**A HAUJAWAHI KUCHEKA KWA SAUTI BONYEZA HAPA👇https://youtu.be/HTXX5WxHet4
19/10/2020

K**A HAUJAWAHI KUCHEKA KWA SAUTI BONYEZA HAPA👇

https://youtu.be/HTXX5WxHet4

akitambulisha chanel mpya ya . Anakuomba ushare, like, comment na ku SUBSCRIBE chanel zake DonMooMEDIA na DonMooSTUDIO

SOMA KISA HIKI UPATE KUJIFUNZA ✍🏻 Naitwa Nashon kutokea Dodoma. Nilizaliwa katika familia yenye uwezo wa kifedha. Katika...
19/02/2020

SOMA KISA HIKI UPATE KUJIFUNZA ✍🏻

Naitwa Nashon kutokea Dodoma. Nilizaliwa katika familia yenye uwezo wa kifedha. Katika maosha yangu yote ys hule sikuwahi kukosa elfu kumi au zaidi elfu kumi mfukoni. Wazazi wangu walinipa kila nilichotaka. Nilikuwa napenda sana kucheza mpira wa miguu. Nilipata marafiki wengi sana kwakuwa sikuwa mtu wa kubana bana pesa. Nikiwa na marafiki zangu shuleni niliwanunulia chipsi, kachori, kashata na kadhalika.
Maisha yalibadilika ghafra pindi nilipohitimu kidato cha nne. Baba yangu alikorofishana na mama yangu wakawa wametengana. Mama akagombania akaishi na mimi na baba akang'ang'ania kuishibna mimi. Wazo lao likawa gumu kwangu baada ya baba kusema. "K**a unampenda mama yako nenda naye. Na k**a unanipenda mimi baki na mimi!".
Nilichanganyikiwa sana. Sikuwa na budi ya kuchukua uamuzi wa kumfuta mama kwasababu mama alikuwa akilia kwa kupigwa na baba. Nikaondoka na mama tukaenda kuyaanza maisha mapya kwenye nyumba ya kupanga. Maisha yalikuwa magumu sio sili niliifahamu shida kuanzia siku hiyo.
Nilizowea kula nyama za kila aina kila siku, chakula cha kila aina, kubadilisha simu kila nikiona toleo jipya. Kuanzia siku hiyo niliuza simu zangu mpaka vitu baadhi nilivyotoka navyo nyumbani ilikuweka hali ya maisha angalau. Mama hakuwa akitegemea duka moja kubwa la vifaa vya umeme alilopewa na baba. Siku aliyoenda kuchukua hela akaambiwa baba kaliuza duka.
Ghafra mama akaanza kuumwa kichwa. Niliteseka sana na mama. Nilijaribu kwemda kwa mjomba na kwa ndugu nilio wafahamu walipokuwa wakiishi. Majibu yao sikuyaelewa k**a ndio waliokuwa wale waliokuwa wakija nyumbani tunacheka nao na kula nao. Miongoni mwa majibu yao sitosahau jibu la mjomba.
"Mama yako hajui kupendeka. Wenzake wanalilia nafasi ya kupata mwanaume k**a baba yako. Yeye anachezea nafasi ile!. Mimi siwezi kumsaidia kwasasa. Namuacha mwezi moaka ajifunze akaombe msamaha kwa mume wake wakaendelee kuishi naye"

Niliteseka na mama ka muda wa miezi sita. Marafiki zangu wote niliosoma nao shule kila niliyemueleza matatizo yangu ushauli mkubwa nikuwa nimuombe Mungu atanisaidia. Nikikumbuka mimi shuleni walivyokuwa akiniomba pesa sikuwaambia wamuombe mngu atawasaidia.
Baada ya miezi sita hiyo tukiwa tuna deni la nyumba ya kupanga. Nikaamua kujiingiza katika kazi ya kuchoma mishikaki ile ya mia mia. Waliosoma na mimi hususani mabinti wa k**e niliwasikia kwa mbali wakiongea "Maisha k**a foleni. Ukisikia nyuma geuka wa mwisho anakuwa wakwanza. Unamuona mkaka wawatu kwa jinsi alivyo fubaa sikuhizi!"
Niliumia sana moyo lakini sikuchoka kupambana.

Kwa bahati nzuri nikapata rafiki mmoja kwa jina la Zakalia. Zakalia alikuwa akifanya kazi gereji. Akanishauli nifanye kazi ya kuosha magari kwa mjomba wake. Nikakubali kufanya kazi. Nilifanya kazi kwa muda wa mwezi mmoja nikaanza kuona mafanikio ya pesa. Kwasababu mjomba wake hakuwa na mtu wa kufanya kazi zaidi yake mwenyewe na mimi. Nilijitahidi kuwa mwenye heshima sana kwa kila mtu kutokana na ugumu wa maisha niliyokuwa nayo.

Sikuakini kazi ya kuosha magari ilinipatia kipato kilichoniwezesha kulipa pato la nyumba na kumudu chakula. Mama aliishi kwa kunishukulu sana na kuniombea kwa Mungu niweze kufanikiwa.

Siku moja nikiwa nimetoka kazini nilish*tuka nilipolikuta gari la baba nyumbani. Haraka nilikimbia ndani nikihofia isijekuwa baba kaleta vurugu kwa mama!. Kwa bahati nzuri nikawakuta sebuleni wanaongea vizuri. Nilijawa na furaha nikamuamkia baba. Baba alisimama na kunikumbatia akaiambia.
"Nisamehe sana mwanangu.
Nimemuomba msamaha mama yako kanisamehe. Kasema nikusubili wewe nikuombe msamaha. K**a ukikubali turudi nyumbani kwa pamoja"

Nilijikuta nauliza swali "chanzo cha nyie kugombana kilikuwa nini?"

Baba akatulia kwa muda kisha akanijibu.
"Tulipishana kauli mimi na mama yako"

Nikaamua kumsamehe baba. Tukahama kutoka kwenye nyumba ya kupanga tkarudi nyumbani kwa baba. Hapo sasa maisha yalarudi kuwa mazuri zaidi ya pale mwanzo. Wale.marafiki wa nafiki wakaanza kujipendekeza kwangu. Aise! Mpaka sasa siitaji urafiki na mtu wala udugu na mtu. Nipo bize na maisha hangu siangalii wala sifuatilii maisha ya mtu. Nimeamini yakuwa 'utapendwa au utachukiwa kwaajili yabkitu. Na utapendwa au utachukiwa kwa kukosa kitu'.✍🏻

FROM:

nifollow YouTube 👉🏻 https://youtu.be/q_58GAiprI0

🔰SOMA 🔰KISA 🔰HIKI🔰Msusi mmoja alikuwa akimsuka binti wa fir,auni mara chanuo likamdondoka yule msusi.Alipokuwa akiliokot...
25/12/2019

🔰SOMA 🔰KISA 🔰HIKI🔰

Msusi mmoja alikuwa akimsuka binti wa fir,auni mara chanuo likamdondoka yule msusi.

Alipokuwa akiliokota akasema "bismillahi / kwa jina la m/mungu"

Binti wa fir,aun akasema "mungu yupi baba angu?"

Msusi akamjibu "hapana bali ni mungu wangu mm na huyo ndiye mungu wako ww na pia ndie mungu wa baba ako."

Binti wa fir,aun akatoka na kwenda kuyashtaki hayo kwa baba ake.

Fir,aun akaagiza yule msusi aitwe na alipomwita akamuuliza.

Msusi yule akamjibu "mungu wangu mm ni mungu mmoja."

Fir,aun akaagiza yainjikwe mafuta ktk chombo kikubwa mfano wa sufuria.

Kisha akaagiza iletwe familia yote ya msusi yule,

Msusi alikuwa ana watoto watatu miongoni mwao alikuwamo mtoto mdogo asiyefika miaka miwili.

Fir,aun akamuanza mtoto mkubwa wa yule msusi kwa kumshika ili amtupe ndani ya mafuta yale yenye kuchemka

Kabla ya kumtumbukiza fir,aun akamuuliza msusi "ni nani mola wako?"

Msusi akasema "mola wng ni m/mungu mmoja."

Fir,aun akamtumbukiza mtoto yule wa kwanza wa msusi ktk mafuta akaungua mpk akabakia mifupa.

Fir,aun akamchukua mtoto wa pili wa msusi.

Kabla hajamtumbukiza ktk mafuta yale yenye kuchemka akamuuliza msusi "ni nani mola wako?"

Msusi akajibu "mola wangu ni m/mungu mmoja."

Fir,aun akamtumbukiza mtoto yule wa pili wa msusi akaungua mpk ikabakia mifupa.

Fir,aun akamchukua mtoto wa tatu wa msusi ambae bado ananyonya.

Na bibi yule msusi alikuwa akimpenda zaidi mtoto wake huyo.

Fir,aun akamuuliza msusi "ni nani mola wako?"

Msusi akanyamaza moyo wake ukimuhurumia mtoto wake yule aliyemdogo kabisa.

M/mungu akamsemesha mtoto yule aliyemdogo kabisa kwa uwezo wake na hakuna yeyote aliyemsikia isipokuwa msusi peke yake.

Mtoto akasema "mama usiogope mwambie mola wake yeye na mola wetu sisi ni m/mungu mmoja ww upo ktk haki,,,

Msusi akasema " ninasema bila ya shaka yoyote mola wng mimi na mola wako ww fir,aun ni m/mungu mmoja."

Mtoto yule mchanga wa msusi akatumbukizwa ktk mafuta akaungua mpk ikabakia mifupa.

Kisha akachukuliwa msusi yule nae akatumbukizwa ktk mafuta yale k**a watoto wake.

Wote wakafa na ikachukuliwa mifupa yao na kufukiwa ktk jangwa.

Wakati mtume s,a,w akienda ktk safari ya israai na miiraj akiwa pmj na malaika jibriil a,s walipita ktk jangwa lile.

Walipokuwa wakipita mahala pale mtume s,a,w akasikia harufu nzuri sana isiyokuwa na mfano.

Mtume s,a,w akamuuliza jibriil a,s "harufu hii nzuri niisikiayo hapa ni harufu ya nn?"

Jibriil a,s akamjibu "hii ni harufu ya msusi wa binti wa fir,aun pmj na watoto wake."

🔰TOA🔰MAONI🔰YAKO🔰

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DonMoo-Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to DonMoo-Media:

Videos

Share

Category


Other Video Creators in Dar es Salaam

Show All

You may also like