Radiotumaini_tz

Radiotumaini_tz Official page of radio tumaini
Radio yako ya ujirani

Watangazaji wa Redio Tumaini wakiwa Studio. Unawajua kwa majina hawa vijana?
01/02/2023

Watangazaji wa Redio Tumaini wakiwa Studio. Unawajua kwa majina hawa vijana?

Baba Mtakatifu FRANSISKO baada ya kupokelewa na kukaribishwa Jamhuri ya Kidemokrasia (DRC) leo Jumanne Januari 31,2023 a...
31/01/2023

Baba Mtakatifu FRANSISKO baada ya kupokelewa na kukaribishwa Jamhuri ya Kidemokrasia (DRC) leo Jumanne Januari 31,2023 aliposhuka kwenye ndege yake alifanya mazungumzo kwa dakika chache na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Jean-Michel Sama Lukonde. Papa FRANSISKO alizungumza na Waziri Mkuu huyo katika jengo la wageni maalum lililopo uwanjani hapo (The VIP lounge of Kinshasa airport).

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Ulimwenguni Papa Francis awasili Kinshasa baada ya safari ya saa saba kutoka Roma.  Atakaa D...
31/01/2023

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Ulimwenguni Papa Francis awasili Kinshasa baada ya safari ya saa saba kutoka Roma. Atakaa DR Congo hadi Feb 3 kisha atasafiri hadi Juba, Sudan Kusini. Hii ikiwa ni ni safari yake ya 40 ya kitume. Mwishoni mwa wiki hii, atakuwa ametembelea nchi 60.
Cc Ewtn

31/01/2023

📹VIDEO | Papa Francis awasili Kinshasa baada ya safari ya saa saba kutoka Roma. Atakaa DR Congo hadi Feb 3 kisha atasafiri hadi Juba, Sudan Kusini. Hii ikiwa ni ni safari yake ya 40 ya kitume. Mwishoni mwa wiki hii, atakuwa ametembelea nchi 60.
Cc Ewtn

Masista na Waamini katika Parokia ya Mtakatifu Anthony wa Padua, Mbagala Jimbo Kuu la Dar es salaam.
28/01/2023

Masista na Waamini katika Parokia ya Mtakatifu Anthony wa Padua, Mbagala Jimbo Kuu la Dar es salaam.

Address

9916
Dar Es Salaam

Telephone

+255688485558

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radiotumaini_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Radiotumaini_tz:

Videos

Share