LenjyMedia

LenjyMedia Follow & LIKE My Page ⚡
(2)

Mwaka huu Adui wako Wasikupate🎉🎉
16/01/2025

Mwaka huu Adui wako Wasikupate🎉🎉

Alikua anaitwa nani Kwa movie za dj Afro 😊😂?
16/01/2025

Alikua anaitwa nani Kwa movie za dj Afro 😊😂?

Wanaume tupeni UZOEFU 😂
16/01/2025

Wanaume tupeni UZOEFU 😂

Nilichogundua, uzeeni kuna BATA za kutosha kuliko ujanani,Imagine ujanani unakula BATA ukiwa na stress za Kodi, Ada ya m...
16/01/2025

Nilichogundua, uzeeni kuna BATA za kutosha kuliko ujanani,

Imagine ujanani unakula BATA ukiwa na stress za Kodi, Ada ya mtoto mara madeni, lakini uzeeni unakula ulichowekeza ujanani,

Uzeeni unakula Kodi za nyumba ulizojenga, huwazi Ada za Watoto, unakula maisha Kwa pesa za Watoto mpaka wajukuu.🙌

Bodaboda mmemfanya nini Ndugu yetu huku  😂😂😂Oohh.... 🚶
16/01/2025

Bodaboda mmemfanya nini Ndugu yetu huku 😂😂😂

Oohh.... 🚶

"Msechu  hawezikumpa mwanamke mimba, kwa tumbo lile nikumbwa sana hawezi kabisa, watoto wake wote niwakupandikiza, mimi ...
15/01/2025

"Msechu hawezikumpa mwanamke mimba, kwa tumbo lile nikumbwa sana hawezi kabisa, watoto wake wote niwakupandikiza, mimi najua kila kitu, nimesoma, mimi nimwana sayansi" Maneno ya - Baba levo😆🙌

15/01/2025

NANI K**A MAMA... UCHUNGU WA MWANA AUJUAYE MZAZI k**a wewe una KIZAZI ungana na uyu MAMA JULIANA kwa Chochote kidogo ambacho unacho
NAOMBA UCHANGIE KIASI CHOCHOTE CHA PESA K**A UMEGUSWA
HAPA ...
LIPA VODA_
36710656_LENJYMEDIA

MPESA +2550749777652
FOLLOW LenjyMedia

Takwimu za mtandao wakijamii wa Instagram kwasasa unaonesha kwamba msanii Nguli wa Nigeria wizkid kwasasa amemzidi diamo...
15/01/2025

Takwimu za mtandao wakijamii wa Instagram kwasasa unaonesha kwamba msanii Nguli wa Nigeria wizkid kwasasa amemzidi diamond wa Tanzania Diamond platnumz Followers Laki 1 tu, wizkid hapo awali alimzidi diamond mamilioni ya followers ila kwasasa imebaki laki 1 tu na kwa speed ya simba Wizzy asipokuwa makini atapitwa asubuhi tu.😆🙌

Kiupande Wako Ni Nani Utampa Maua Yako Kati Ya Zuchu Na Nandy Nani Mkali Zaidi...???
15/01/2025

Kiupande Wako Ni Nani Utampa Maua Yako Kati Ya Zuchu Na Nandy Nani Mkali Zaidi...???

SIKUFUATA PESA KWA ALIKIBA -Ex wife wa msanii mkubwa hapa Afrika Ali Saleh Kiba amesema kuwa hakufuata umaarufu wala pes...
15/01/2025

SIKUFUATA PESA KWA ALIKIBA
-
Ex wife wa msanii mkubwa hapa Afrika Ali Saleh Kiba amesema kuwa hakufuata umaarufu wala pesa kwa mwanamkizi huyo.

"Sikufuata pesa wala umaarufu kwa Alikiba, k**a pesa ninazo za kutosha nilifuata mapenzi yalikosekana nikaamua kutafuta amani ya moyo wangu''- amesema Bi Amina

Aliyewahi kuwa Msemaji wa Simba SC Yanga SC, Bwana Haji Sunday Manara amesema hakufikia maamuzi ya kumuoa Zaylissa ili a...
15/01/2025

Aliyewahi kuwa Msemaji wa Simba SC Yanga SC, Bwana Haji Sunday Manara amesema hakufikia maamuzi ya kumuoa Zaylissa ili azaenae watoto bali alimuoa ili waenjoy maisha tu.

"Naziona sana hizo habari za mitandao kuwa mke wangu ni Mjamzito naomba niweke wazi kuwa sikumuoa zaylissa anizalie nataka kuenjoy maisha nikiwa na yeye"- Haji Sunday Manara.

Toa maoni yako hapa__________

Umegundua nini hapa 👇🤣
15/01/2025

Umegundua nini hapa 👇🤣

15/01/2025

ANALALA BILA SHIDAA

Wangapi Wanasubiri Siri ya Huba Session two? Zikifika Comment 500 Naachia Kabla ya jumapili ✍️✍️
15/01/2025

Wangapi Wanasubiri Siri ya Huba Session two? Zikifika Comment 500 Naachia Kabla ya jumapili ✍️✍️

Wataalamu tupeni UZOEFU 😂😂
15/01/2025

Wataalamu tupeni UZOEFU 😂😂

Mchungaji alimchana mwimbaji wa nyimbo za injili Joel lwaga ambae ndie mwimbaji mwenye wimbo unaofanya vizuri kwasasa ki...
15/01/2025

Mchungaji alimchana mwimbaji wa nyimbo za injili Joel lwaga ambae ndie mwimbaji mwenye wimbo unaofanya vizuri kwasasa kila kona "OLODUMARE" Mchungaji anasema Kitendo cha Joel lwaga kusema alishauriwa na Diamond msanii wa bongo fleva imeonesha moja kwa moja kuwa yeye si mtakatifu, "wewe mtu ulieokoka unakaa unashauriwa na mtu ambae hajaokoka mtu anaeabudu mizimu, mtu ambae ana abudu uchawi, alafu nanyinyi mnakaa mnausikiliza uo wimbo wake" Alisema - Mchungaji🙂🙌

MOVIE  GANI ILIKUKOSHA YA HUYU JAMAA SIMBA LA MASIMBA SENGO
15/01/2025

MOVIE GANI ILIKUKOSHA YA HUYU JAMAA
SIMBA LA MASIMBA SENGO

Good day Fans wetu
14/01/2025

Good day Fans wetu

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LenjyMedia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to LenjyMedia:

Videos

Share