HTN news

HTN news Get Here Hot And Trending Events.

KAJALA APEWA CHEO CHA KUWA BOSI MKUU KONDE GANGHakikisha ume "like" na kuacha "comment" mwishoni.Unaemuona katika hii pi...
06/06/2022

KAJALA APEWA CHEO CHA KUWA BOSI MKUU KONDE GANG

Hakikisha ume "like" na kuacha "comment" mwishoni.

Unaemuona katika hii picha ni Kajala ambae kwa sasa amerudiana na Harmonize na mapenzi yao yapo moto sana.

Jambo kubwa ambalo linawashangaza watu wengi ni kwamba, Harmonize amemuamini Kajala mpaka kufkia hatua ya kumkabidhi lebo yake aisimamie na kuiendesha.

Kajala kwa sasa ndiye bosi mkuu pale Konde Gang na ndiye meneja wa Harmonize, Yaani shughuli zote za kifedha pale Konde Gang anazifanya Kajala kwa sasa.

Je! Hiki alichokifanya Harmonize ni sahihi? Unaiona wapi Konde Gang miaka mi3 ijayo? Toa comment moja nzito hapo chini.

Chanzo: Ayo Tv

AMEKUFA WAKATI AKIFANYIWA SAJARI YA KUBORESHA UMBO LAKE (Shape 8)Mrembo ambae unamuona katika picha hii anaitwa Slay Que...
05/06/2022

AMEKUFA WAKATI AKIFANYIWA SAJARI YA KUBORESHA UMBO LAKE (Shape 8)

Mrembo ambae unamuona katika picha hii anaitwa Slay Queen, Mrembo huyu ni maarufu sana huko nchini Nigeria.

Mrembo huyu amepoteza maisha wakati alipokuwa akifanyiwa sajari ya kuboresha umbo lake. Vyanzo mbali mbali vya habari vinasema kuwa mrembo huyu baada ya kufanyiwa sajari alianza kutokwa na damu nyingi na kupelekea kifo chake.

Rafiki wa karibu wa dada aliyefariki alieleza kuwa marehemu alikuwa anatani sana kuwa na muonekano mzuri yaani umbo namba nane siku nyingi sana.

K**a umeguswa na habari hii tafadhari gusa neno lililoandikwa "Like" kisha "Share" habari hii ili watu wajifunze.

Kwa ushauri wangu mimi ninawasihi wadada walizike na walichopewa na mungu, Je! Nini maoni yako wewe?

FAHAMU MAGONJWA HATARI ZAIDI AMBAYO AKIYAPATA MWANAMKE ATAISHIA PABAYAKulingana na utandawazi kwa sasa jinsi ulivyo kume...
05/06/2022

FAHAMU MAGONJWA HATARI ZAIDI AMBAYO AKIYAPATA MWANAMKE ATAISHIA PABAYA

Kulingana na utandawazi kwa sasa jinsi ulivyo kumekuwa na magonjwa tofauti tofauti ambayo yamekuwa yakihatarisha afya ya mwanadamu.

Leo nimekuletea orodha ya magonjwa hatari zaidi ambayo akiyapata mwanamke mwisho wake hautakuwa mzuri hata kidogo.

Ifuatayo hapa chini ni orodha ya magonjwa ambayo akiyapata mwanamke ataishia pabaya sana.

1. Breast Cancer

Huu ni ugonjwa wa kansa ya mat**i ambao mwanamke anaweza akaupata katika ukuaji wake au pia anaweza akaupata kwa kurithi kutoka kwa wazazi wake. Kansa ya mat**i inaweza kutokea katika t**i moja au yote.

Dada unashauriwa kuwahi maramoja katika kituo cha afya kilichopo karibu yake mara tu unapoona au kuhisi kitu kigumu katika t**i lako.

2. UTI

(Urinary Tract Infections) Ugonjwa huu kwa kiswahili unaitwa hivyo hivyo UTI ila wengi huita Yutiai. Ugonjwa huu unasababishwa na bacteria ambao huathiri katika njia ya kupitishia mkojo.

Ugonjwa huu ni hatari sana kwa mwanamke hasa pale anapokuwa mjamzito kwani unaweza kuleta madhara makubwa kwa mtoto ambae anatarajia kuzaliwa. Mama unapohisi kuwa unazo dalili za UTl basi wahi haraka sana katika kituo cha afya.

Dalili kubwa ya UTI ni pamoja na kutokwa na uchafu sehemu za siri. Ugonjwa huu ni hatari sana.

3. Fangasi Sugu

Fangasi ni ugonjwa ambao unasababishwa na vimelea ambavyo vinapatikana katika mwili wa mwanadamu. Vimelea hivi mwanzo vinapokuwa katika mwili mwanadamu huwa havina madhara ila pale ambapo itapungua kinga ya mwili ndipo huleta madhara.

Usisahau ku Like, Share na Ku Comment hapo chini k**a umejifunza katika makala hii.
Ahsante sana.

HARMONIZE ATOBOA PUA YAKE! Hii Ndiyo Sababu Imemfanya AtoboeWatu wengi wanamfahamu Harmonize k**a msanii wa bongo fleva ...
05/06/2022

HARMONIZE ATOBOA PUA YAKE! Hii Ndiyo Sababu Imemfanya Atoboe

Watu wengi wanamfahamu Harmonize k**a msanii wa bongo fleva ambae amekuwa akitumia ubunifu wa tofauti tofauti kwa lengo la kuikuza sanaa yake ya muziki.

Msanii huyu leo ameibuka na mapya baada ya kuonekana akiwa ametoboa pua yake. Msanii huyu aliandamwa na mashabiki wengi sana huko instagram baada ya kuonekana akiwa ametoboa pua yake.

Harmonize aliamua kuwajibu huku akisema kuwa kutoboa pua ni asili ya WAMAKONDE.

Je! Ushauri gani ambao unatamani kumpa Harmonize? Acha maoni yako hapo chini.

Address

Dar Es Salaa
Dar Es Salaam

Telephone

+255743142405

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HTN news posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to HTN news:

Share