Ahmed Ally

Ahmed Ally Ahmed Ally Afisa Habari wa Simba Sports Club Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Tumekabidhi Toyota Crown kwa Mteja wetu  Ni rahisi sana kuagiza na  fika ofisini kwetu Osterbay Jijini Dsm au tupigie kw...
21/08/2024

Tumekabidhi Toyota Crown kwa Mteja wetu

Ni rahisi sana kuagiza na fika ofisini kwetu Osterbay Jijini Dsm au tupigie kwa namba #0748898888

Ubaya Ubwela unaendelea Kwa Ushindi huu tumefuzu Kwenda Nusu Fainali
21/08/2024

Ubaya Ubwela unaendelea Kwa Ushindi huu tumefuzu Kwenda Nusu Fainali

Tumeanza Ligi Kwa furaha
21/08/2024

Tumeanza Ligi Kwa furaha

Na hapo hajaruka amejinyoooosha tuu
21/08/2024

Na hapo hajaruka amejinyoooosha tuu

Siku ya kazi 🏟️
21/08/2024

Siku ya kazi 🏟️

Kiongozi Bora Uwanjani
20/08/2024

Kiongozi Bora Uwanjani

Kwenye Malalamiko ya Magic kwenda FIFA amesema hakupenda kutambulishwa kwenye Jeneza, pia hakupenda Shuka alilofunikwa l...
20/08/2024

Kwenye Malalamiko ya Magic kwenda FIFA amesema hakupenda kutambulishwa kwenye Jeneza, pia hakupenda Shuka alilofunikwa lilikua chafu na ameenda mbali zaidi na kusema kuwa walimbadilishia kazi na kumfanya Mwana Mazingaombwe

Kilichomkera zaidi bwana Magic ni kuvalishwa kinyago cha Mpapure wakamdanganya ni eti akivaa hivyo anafanana Victor Osimhen

Ndoto ya vijana wengiToyota Crown imewasili na kukabidhiwa kwa Mteja Nawe karibu tutimize ndoto yako kwa njia rahisi san...
20/08/2024

Ndoto ya vijana wengi

Toyota Crown imewasili na kukabidhiwa kwa Mteja

Nawe karibu tutimize ndoto yako kwa njia rahisi sana

Tutembelee ofisini kwetu Jijini Dar Es Salaam au tupigie kwa #0748898888

Kwani alichomaindi Magjc ni kuvishwa kinyago au kuvunjiwa Mkataba kihuni??
20/08/2024

Kwani alichomaindi Magjc ni kuvishwa kinyago au kuvunjiwa Mkataba kihuni??

Streka Refu kuliko Goli bado kidogo aweke Waaaah ila Chemalone akawahi kufunga yeye
20/08/2024

Streka Refu kuliko Goli bado kidogo aweke Waaaah ila Chemalone akawahi kufunga yeye

Aweeeeeee ni hapo Kesho Serena
19/08/2024

Aweeeeeee ni hapo Kesho Serena

19/08/2024

Unajua maana ya ishara ya Awesu akifunga goli?? Acha nikupe siri

Baada ya Mamlaka kutoa taarifa kuwa Awesu ni mchezaji wa KMC na Simba iongee na KMC ili kumpata mchezaji huyo, Nyuma mwiko wakaiwaibukia KMC na kumtaka mchezaji huyo

KMC wakawaambia hapana huyu mchezaji tayari yupo kwenye Mazungumzo na Simba na anapenda na Simba na sisi hatuwezi kubadilisha jambo rudini tuu na hela zenu za Mkopo

Ndio maana Awesu akifunga anasema yeye ni Wahapa hapa yaani ni wa Simba Sports Club ha

Unajua maana ya ishara ya Awesu akifunga goli?? Acha nikupe siriBaada ya Mamlaka kutoa taarifa kuwa Awesu ni mchezaji wa...
19/08/2024

Unajua maana ya ishara ya Awesu akifunga goli?? Acha nikupe siri

Baada ya Mamlaka kutoa taarifa kuwa Awesu ni mchezaji wa KMC na Simba iongee na KMC ili kumpata mchezaji huyo, Nyuma mwiko wakaiwaibukia KMC na kumtaka mchezaji huyo

KMC wakawaambia hapana huyu mchezaji tayari yupo kwenye Mazungumzo na Simba na anapenda na Simba na sisi hatuwezi kubadilisha jambo rudini tuu na hela zenu za Mkopo

Ndio maana Awesu akifunga anasema yeye ni Wahapa hapa yaani ni wa Simba Sports Club ha

Aweeee Ubaya Ubwelaaa wa Queens huko CECAFA
19/08/2024

Aweeee Ubaya Ubwelaaa wa Queens huko CECAFA

Niwatakie Jumatatu njema Wana Simba wote!!!
19/08/2024

Niwatakie Jumatatu njema Wana Simba wote!!!

Pamoja na kushinda dhidi ya Tabora United lakini ukweli ni kuwa tunahitaji kuwapa muda zaidi wachezaji wetu waendelee ku...
19/08/2024

Pamoja na kushinda dhidi ya Tabora United lakini ukweli ni kuwa tunahitaji kuwapa muda zaidi wachezaji wetu waendelee kutafuta ubora wao

Tumesajili Wachezaji bora sana ambao wamefanya makubwa walikotoka

Katika hao Wapo walioanzia juu moja kwa moja na wengine wameanzia chini, iko hivyo duniani kote hasa Mchezaji anapotoka timu ndogo kwenda kubwa au kutoka ligi ndogo kwenda kubwa au anapoenda kwenye timu yenye presha kubwa k**a yetu

Ni jukumu letu kuwavumilia, kuwatia moyo, kusimama nao nyakati zote ili warejeshe kujiamini na kuupata ubora wao

Aina ya Wachezaji tuliokua nao nusu yao wakiupata ubora wao basi Mwaka huu utakua Msimu mzuri kwetu INSHA ALLAH

18/08/2024

Magoli yetu yote leo yamefungwa kwa kutumia vipimo vya Physics

Address

Sinza
Dar Es Salaam

Telephone

+255777777770

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ahmed Ally posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share