Mapambo Media

Mapambo Media RADIO|PODCAST|BLOG|ADS AGENCY

Shiko wa Hii Style on TikTok is pure entertainment! When clients ask where the products are, instead of giving straightf...
06/01/2025

Shiko wa Hii Style on TikTok is pure entertainment! When clients ask where the products are, instead of giving straightforward answers, she starts talking about God. 😂😂😂

This is what happens when the CEO is also the chief marketer, logistics manager, finance officer, legal team, and basically runs everything in the business. When your business is expanding rapidly, it’s crucial to expand your team as well to handle the growing demand. Listen to me, a qualified Business Manager with a University degree. 😈

In the comments, someone asked, "Where will I take my Christmas flowers in January?" and got a hilarious response: "Imagine December is just around the corner, even you won’t believe it!"

Another client said it was their last order, only to be told, "God will bring you back to me." 🤣🤣🤣

Honestly, people out here pretending to be overly religious—forget about them. Drunk people are way better!

conwoman yioote! Scam
fa@top fans

31/12/2024
Mwakaaaaaaaaaaa wa majuuu
30/12/2024

Mwakaaaaaaaaaaa wa majuuu

Huko nakuru Kenya Mwana Dada Mmoja Amekimbizwa hospitalini baada ya Pasta kumdynga visu kadhaa tumboni.....  fans
24/11/2024

Huko nakuru Kenya Mwana Dada Mmoja Amekimbizwa hospitalini baada ya Pasta kumdynga visu kadhaa tumboni..... fans

Mhubiri Aliyezungumzia Kenya Kwanza Mapolisi kutoka DCI Kenya wamem tembelea kwake... fans Mapambo Media
24/11/2024

Mhubiri Aliyezungumzia Kenya Kwanza Mapolisi kutoka DCI Kenya wamem tembelea kwake...
fans
Mapambo Media

Simanzi mtahiniwa wa KCSE akifariki katika hali tata shuleni Turkana fans Kevin Williams Oduor
22/11/2024

Simanzi mtahiniwa wa KCSE akifariki katika hali tata shuleni Turkana
fans
Kevin Williams Oduor

Katika kuadhimisha Siku ya Watoto Njiti Duniani, Taasisi ya Doris Mollel imemkabidhi nyumba ya makazi Mariam Mwakabungu ...
19/11/2024

Katika kuadhimisha Siku ya Watoto Njiti Duniani, Taasisi ya Doris Mollel imemkabidhi nyumba ya makazi Mariam Mwakabungu (26), aliyejitolea kukumbatia Watoto Njiti katika Hospitali ya Rufaa Amana jijini Dar es Salaam, yenye thamani ya Shilingi milioni 45, iliyopo Chanika – Zavara.

Mariam amezawadiwa nyumba hiyo na msamaria mwema (hajataka kutajwa jina), ambayo imejengwa na Taasisi ya Doris Mollel Foundation kwa kushirikiana na wadau wengine waliochangia baadhi ya vitu wakati wa ujenzi wake.

"Napenda kumshukuru mungu, pia natoa shukrani za dhati kwa Taasisi ya Doris Mollel Foundation, sina kingine cha kuwashuru ni k**a vile nimeshtuka ndotoni, pia naomba kuwashukuru Wizara Ya Afya na Hospitali ya Amana, kwani wasingekuwa wao sijui ningekua wapi..." - Alisema Mariam.

Julai 20, 2023 serikali kupitia Wizara ya Afya, ilitoa ajira ya mkataba kwa Mariam, ikiwa ni siku moja tangu Rais Samia Suluhu Hassan kutuma salamu za pongezi zilizoambatana na fedha taslimu.
fans
Kevin Williams Oduor
Wuod Oketch

Je unahisi kesi yake ikitupuliwa mbali Ataweza kuwa na ushawishi mkubwaaa
19/11/2024

Je unahisi kesi yake ikitupuliwa mbali Ataweza kuwa na ushawishi mkubwaaa

Dci wametupilia Kesi ya watu wawili waliodaiwa kulala kwenye kitanda chake Rais .....  fans
19/11/2024

Dci wametupilia Kesi ya watu wawili waliodaiwa kulala kwenye kitanda chake Rais ..... fans

Bill gates na melindq  wamefungua afisi jijini Nairobi
19/11/2024

Bill gates na melindq wamefungua afisi jijini Nairobi

Hello East africa  fans
18/11/2024

Hello East africa fans

With Kevin Williams Oduor – I'm on a streak! I've been a top fan for 5 months in a row. 🎉
18/11/2024

With Kevin Williams Oduor – I'm on a streak! I've been a top fan for 5 months in a row. 🎉

Uchaguzi wa Marekani 2024: Kwa nini K**ala Harris ameshindwa?lCHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES7 Novemba 2024Mwezi mmoja uli...
10/11/2024

Uchaguzi wa Marekani 2024: Kwa nini K**ala Harris ameshindwa?
lCHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
7 Novemba 2024
Mwezi mmoja uliopita, K**ala Harris alionekana kwenye kipindi cha The View cha ABC kwa mahojiano. Alipoulizwa, atafanya kipi cha tofauti na rais aliyeko madarakani, Joe Biden: Akajibu, "hakuna jambo linalokuja akilini."

Jibu la Harris – likawa tangazo la shambulio la Republican – na kampeni zake za kisiasa hatimaye zimeshindwa kumshinda Donald Trump siku ya Jumanne.

Alikubali kushindwa mbio hizo, hadharani Jumatano alasiri, akiwaambia wafuasi wake "musife moyo."

Maafisa wa timu ya kampeni ya Harris walikuwa kimya siku ya Jumatano - wakati wafuasi wakionyesha mshtuko juu ya kile walichokiona.

"Kupoteza inauma sana. Ni ngumu," meneja wa kampeni wa Harris, Jen O'Malley Dillon alisema katika barua pepe kwa wafanyakazi siku ya Jumatano. "Hii itachukua muda mrefu kuikubali."

K**a makamu wa rais aliye madarakani, Harris hakuweza kujitenganisha na rais aliyepoteza ushawishi na alishindwa kuwashawishi wapiga kura kwamba ataweza kuleta mabadiliko waliyokuwa wakiyatafuta – katikati ya wasiwasi mkubwa wa kiuchumi.

Mwakilishi wa Wanawake wa Nairobi katika Bunge la Kenya, Esther Passaris, ameamsha mjadala mzito kuhusu matumizi ya akil...
07/11/2024

Mwakilishi wa Wanawake wa Nairobi katika Bunge la Kenya, Esther Passaris, ameamsha mjadala mzito kuhusu matumizi ya akili bandia (AI) katika ulimwengu wa kisasa, akizungumzia kashfa inayomuhusisha Baltasar Engonga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Kifedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta.

Engonga amejikuta katika kashfa kubwa baada ya video zaidi ya 400 zinazodaiwa kumwonyesha akiwa na wanawake mbalimbali kuvuja mtandaoni. Ingawa wengi wameelekeza lawama kwake, Passaris amesema kwamba video hizo huenda zilitengenezwa kwa kutumia teknolojia ya AI.
fans



Nchini Lebanon, idadi ya mimba kuharibika na watoto kuzaliwa mapema imekuwa ikiongezeka kwa sababu watu hulazimika kukim...
07/11/2024

Nchini Lebanon, idadi ya mimba kuharibika na watoto kuzaliwa mapema imekuwa ikiongezeka kwa sababu watu hulazimika kukimbia kila leo, kulinda usalama wao kutoana na mashambulizi ya Israel. DW imezungumza na mama huyu anayepigania uhai wa mwanae hospitalini.
fans


Address

Morogoro
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mapambo Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mapambo Media:

Videos

Share