IJUE HISTORI YA DAR ES SAALAM NA MSIKITI ULIOGEUZWA KANISA NA MJERUMANI KATIKA HOSPITALI YA OCEAN ROAD
Wajerumani hawakuja Dar Es salaam kwa lengo lolote isipokua kuumaliza Uislamu na Waislam. Majengo mengi yalijengwa na Waislam na sio Mjerumani, Ikulu ya Dar Es salaam, Agha Khan, Ocean Road na maeneo mengi haya yamejengwa na Waislam.
Khalifa Sayyid Majid ambae alikua ni Mtawala wa Zanzibar wakati huo wa Dola ya Kiislam, alinunua maeneo mengi na akanunua jengo kubwa liitwalo Daarussalaam (Mzizima) wakati huo ni Pori. Na kujengwa kwa Ikulu ambayo mpaka sasa ipo.
Sikiliza histori kutoka kwa Marehemu Sheikh Zuber Yahya, akizungumzia Misikiti iliobomolewa na Mjerumani na mengine kugeuzwa Kanisa.
Allah amsamahe makosa yake na alinawirishe kaburi lake.
@miladu_tv
#babdeoMiladu #MiladuUpdates
*TUMEZIRUHUSU TAASISI ZINGINE ZISAJILIWE ILI ZISAIDIE DINI NA SIO KUINGILIANA KATIKA MAMLAKA*
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuber amesistiza juu ya Taasisi zinazoingilia mamlaka husika ya kitengo cha kutangaza mwezi, kwani wameruhusu kusajiliwa ili kusaidia Dini na sio kuingilia Mamlaka.
@muftitanzaniaofficial
Video full ipo Youtube
@miladu_tv
#babdeoMiladu #MiladuUpdates #miladutv
*ZANZIBAR HUTANGAZI MWEZI KAMA SIO MUFTI*
Mufti ameiomba Serikali kulitazama hili la watu kujichukulia mamlaka ya kuutangaza mwezi hata kama si wahusika
"wenzetu Zanzibar mwenye mamlaka ya kuutangaza mwezi ni Mufti, ukitangaza kama sio Mufti unakamatwa. Lakini sisi huku tumekua kama Kuku kila mtu anawika" -----@muftitanzaniaofficial
@miladu_tv
#babdeoMiladu #MiladuUpdates #miladutv