22/01/2025
: Mgombea Uraisi kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samiah Suluhu Hassan amewasili Jijini Dar es salaam kwa Treni ya SGR akitokea Dodoma kwenye Mkutano Maalum wa CCM.