Tv3 Tanzania

Tv3 Tanzania TV3 Tanzania Is a Sports and lifestyle affairs television station broadcasting in Swahili on Startimes

TV3 is a lifestyle and sports channel that is designed specifically to cater for the needs of the unreached audience. TV3 intends to be the definition of television transformation, trendsetter and number one platform for all sports, talents and lifestyle local contents. We have a range of programs well structured to meet the audience desires to set a trend that will, in turn, uplift the industry a

t large (by giving new talents a platform), by organizing events and be part of other events, by sparking innovation and creativity through the best local contents. Our target audience is primarily youth between 18 years to 35 years of age but suitable for viewers from all walks of life.

Tuandikie maoni yako juu ya MZANI HUU WA KURASA! Nasi tutayasoma kupitia kipindi cha Kurasa Mwanzo Mwisho kuanzia majira...
03/02/2025

Tuandikie maoni yako juu ya MZANI HUU WA KURASA! Nasi tutayasoma kupitia kipindi cha Kurasa Mwanzo Mwisho kuanzia majira ya saa 1:00 asubuhi hadi saa 3:00 asubuhi kupitia

Utapata uchambuzi yakinifu chini ya uongozi wa (MJUMBE).
_ , na ( Mr. Magazine ) atakayekusogezea Kurasa za magazeti mbalimbali ya michezo na taarifa zake.

NI JUMANNE HII...

03/02/2025

Unakubaliana na mchambuzi ._ kuwa wachezaji wengi wanaotumia mguu wa kushoto huwa wanakosaga penati..? wanauwezekano mkubwa wa kukosa penati kuliko kupata.



Cc | ._

Ndani ya Kisimbuzi Cha CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)

"ukiangalia yanga ya sasa unaonaona kabisa mchezaji k**a mudathiri , aucho wamechoka, hii ni kutokana na kutumika katika...
03/02/2025

"ukiangalia yanga ya sasa unaonaona kabisa mchezaji k**a mudathiri , aucho wamechoka, hii ni kutokana na kutumika katika michezo mingi, laikini mwalimu bado anaendea kuwatumia" ._



Cc | ._

Ndani ya Kisimbuzi Cha CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)

"Mabadiliko yanakuwaga na faida hasi na chanya, upande wa hasi ni upande ambao wachezaji ambao unawafanyia mabadiliko wa...
03/02/2025

"Mabadiliko yanakuwaga na faida hasi na chanya, upande wa hasi ni upande ambao wachezaji ambao unawafanyia mabadiliko wanaenda kutoathiri mchezo, alafu mabadiliko chanya mchezaji anapoingia anaenda kuuathiri mchezo, lakini sifikirii k**a yale mabadiliko yalienda kuwafanya .fc kuwa bora mbele ya "

Cc: ._





Katika kisimbuzi cha CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)

"Ukiangalia quality ya  na namna ambavyo timu inaperform unaona simba walikuwa na kila sababu ya kupata alama tatu kwahi...
03/02/2025

"Ukiangalia quality ya na namna ambavyo timu inaperform unaona simba walikuwa na kila sababu ya kupata alama tatu kwahiyo simba imeimarika sana ofcorse lakini pia wachezaji wengi wa simba wamekuwa na performance bora lakini pia amefanikiwa kuitengeneza timu ambayo ina discpline kubwa sana kimbinu yaani namna ambavyo timu yake inacheza unaona kila mchezaji ambaye anaingia ana uwezo wa kutekeleza kile ambacho mwalimu anahitaji kwa asilimia mia moja"_

Cc: ._





Katika kisimbuzi cha CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)

".fc wamekutana na  kwenye nyakati ambazo Simba imeimarika zaidi tofauti na vile ambavyo ilicheza mechi tano za kwanza z...
03/02/2025

".fc wamekutana na kwenye nyakati ambazo Simba imeimarika zaidi tofauti na vile ambavyo ilicheza mechi tano za kwanza za msimu, kwahiyo sasa hivi ukiitazama Simba, ipo kwenye ubora wa hali ya juu sana tofauti na zile mechi tano za kwanza." ._

Cc: ._





Katika kisimbuzi cha CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)

"Maandalizi mazuri ambayo  wameyafanya yaliwapa nafasi ya kupata alama tatu. .fc kuifunga  , kuifunga  haihalalishi kuwa...
03/02/2025

"Maandalizi mazuri ambayo wameyafanya yaliwapa nafasi ya kupata alama tatu. .fc kuifunga , kuifunga haihalalishi kuwa wana kila sababu ya kuifunga Simba. maandalizi yako ndiyo yanakupa nafasi ya kushinda au kupoteza mchezo au kupata sare." ._

Cc: ._





Katika kisimbuzi cha CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)

" na  wamekuwa na utawala wao katika upande wa mashabiki pindi wanapokuwa katika viwanja vya mikoani, wamekuwa wakiwavut...
03/02/2025

" na wamekuwa na utawala wao katika upande wa mashabiki pindi wanapokuwa katika viwanja vya mikoani, wamekuwa wakiwavutia mashabiki wakitamani kwenda kuwaona na ndio maana wanaenda kujaza uwanja."

Cc: ._





Katika kisimbuzi cha CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)

" .fc waliuongeza thamani huu mchezo kabla hata hawajacheza, waliuongeza thamani mapema sana kwa matokeo mazuri waliyoku...
03/02/2025

" .fc waliuongeza thamani huu mchezo kabla hata hawajacheza, waliuongeza thamani mapema sana kwa matokeo mazuri waliyokuwa wameyapata katika michezo iliyopita na ukitazama katika timu zilionekana zinafanya vizuri kabla ya huu mchezo, .fc pia ipo katika list ya timu ambazo zilionekana kufanya vizuri katika round ambazo wameshacheza huko nyuma, takribani round 15"

Cc: ._





Katika kisimbuzi cha CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)

🚨 πŽπ…π…πˆπ‚πˆπ€π‹: Marcus Rashford amejiunga na Aston Villa kwa mkopo akitokea Manchester United πŸŸ£πŸ”΅Katika mkataba huo kuna kipe...
03/02/2025

🚨 πŽπ…π…πˆπ‚πˆπ€π‹: Marcus Rashford amejiunga na Aston Villa kwa mkopo akitokea Manchester United πŸŸ£πŸ”΅

Katika mkataba huo kuna kipengele cha chaguo la kumnunua lakini sio cha lazima cha thamani ya Β£40m pamoja na 75% ya mshahara unaolipwa na Aston Villa hadi Juni 2025.

Ndani ya Kisimbuzi Cha CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)

31/01/2025

Kuelekea mchezo wa kesho Yanga dhidi ya Kagera suger , huu ni mtazamo na uchambuzi wa ._ akiamini kulingana na level ya ushindani baina ya timu hizo kagera huenda ikakaa nyuma kujilinda zaidi katika mchezo wa kesho.



Cc | ._

Ndani ya Kisimbuzi Cha CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)

Kwa mwenendo wa Yanga katika Mechi zilizopita, tunamuona akipata matokeo mazuri mbele ya Kagera Sugar muendelezo wa Ligi...
31/01/2025

Kwa mwenendo wa Yanga katika Mechi zilizopita, tunamuona akipata matokeo mazuri mbele ya Kagera Sugar muendelezo wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara?



Cc | ._

Ndani ya Kisimbuzi Cha CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)

Tuandikie maoni yako juu ya MZANI HUU WA KURASA!Nasi tutayasoma maoni hayo IJUMAA HII, Livekupitia kipindi cha Kurasa Mw...
30/01/2025

Tuandikie maoni yako juu ya MZANI HUU WA KURASA!

Nasi tutayasoma maoni hayo IJUMAA HII, Live
kupitia kipindi cha Kurasa Mwanzo Mwisho, kinachoruka kuanzia saa 1:00 asubuhi hadi saa 3:00 asubuhi kupitia

Timu nzima itakuwepo tayari kwa kukuletea uchambuzi jadidi ikiongozwa na , (MJUMBE), sanjari na wataalamu k**a
, na ( Mr. Magazine ) ambaye atakusogezea Kurasa za magazeti mbalimbali ya michezo na taarifa zake kwa ukubwa.

30/01/2025

Je unadhani sasa ni wakati sahihi kwa mshambuliaji wa yanga Clement Mzize kutoka na kwenda kucheza nje ya tanzania?



Cc |

Ndani ya Kisimbuzi Cha CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)

Baada ya Usajili wa wachezaji wenye majina makubwa ulifanywa na  Unaiona ikisalia kwenye Ligi Kuu soka Tanzania bara kwa...
30/01/2025

Baada ya Usajili wa wachezaji wenye majina makubwa ulifanywa na Unaiona ikisalia kwenye Ligi Kuu soka Tanzania bara kwa msimu ujao..?



Cc |

Ndani ya Kisimbuzi Cha CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)

FC BARCELONA gari imewaka wanachapa kila ambae yupo mbele yake..!! Wikiendi hii watakuwa nyumbani wakikipiga dhidi ya De...
30/01/2025

FC BARCELONA gari imewaka wanachapa kila ambae yupo mbele yake..!! Wikiendi hii watakuwa nyumbani wakikipiga dhidi ya Deportivo Alaves

FC BARCELONA Vs DEPORTIVO ALAVES
Jumapili Feb 2,2025
Saa 10:00 Jioni

Utashuhudia mechi hii mbashara kupitia channel yako pendwa ya michezo kwa lugha adhimu ya kiswahili.

Ndani ya Kisimbuzi Cha CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)

30/01/2025

Livie muda huu

Cc |

Ndani ya Kisimbuzi Cha CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)

Tuandikie maoni yako nasi tutayasoma kupitia kipindi cha Kurasa Mwanzo Mwisho, kinachoruka kuanzia saa 1:00 asubuhi hadi...
29/01/2025

Tuandikie maoni yako nasi tutayasoma kupitia kipindi cha Kurasa Mwanzo Mwisho, kinachoruka kuanzia saa 1:00 asubuhi hadi saa 3:00 asubuhi kupitia

Timu nzima itakuwepo tayari kwa kukuletea uchambuzi jadidi ikiongozwa na (MJUMBE), huku ikiwajumuisha wataalamu k**a
, na ( Mr. Magazine ) ambaye atakayekusogezea Kurasa za magazeti mbalimbali ya michezo na taarifa zake kwa ukubwa.

NI ALHAMIS HII...

Address

Mbezi Beach
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:30 - 16:00
Tuesday 08:30 - 16:00
Wednesday 08:30 - 16:00
Thursday 08:30 - 16:00
Friday 08:30 - 16:00
Saturday 09:00 - 12:30

Telephone

+255755228228

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tv3 Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tv3 Tanzania:

Videos

Share

Category