OCMAN TV.

OCMAN TV. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from OCMAN TV., Media, Dar es salaam, Dar es Salaam.
(2)

• USISAHAU KUFOLLOW PAGE YETU
• KWA HABARI,elimu,burudani na mambo mengi zaidi.
• usisahau kusubscribe channel uwe wakwanza kupata matukio yote
MATANGAZO USHAURI UDHAMINI
[email protected]

20/08/2024

Hello 👋 Tz
Are you ready

AKAMATWA KWA KUMLAWITI MTOTO WA MIAKA MINNE - KENYAMvulana mmoja wa miaka minne amelazwa katika hospitali moja jijini Na...
24/06/2022

AKAMATWA KWA KUMLAWITI MTOTO WA MIAKA MINNE - KENYA
Mvulana mmoja wa miaka minne amelazwa katika hospitali moja jijini Nairobi baada ya kulawitiwa na mpenzi wa mamake.

Mamake ambaye ni Irene Nduku mwenye umri wa miaka 30 alik**atwa pamoja na mpenzi wake Samuel Agesa mwenye umri wa miaka 32 mnamo Alhamisi, Juni 23, 2022.

Kwa mujibu wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI), kisa hicho kiliripotiwa kwa polisi na mwalimu wa mtoto huyo.

“Mwalimu huyo aligundua kuwa mwanafunzi huyo alikuwa akihisi uchungu mwingi baada ya kumwelezea kilichotokea,” alisema George Kinoti, Mkurugenzi wa DCI.

Mtoto huyo alisimulia jinsi Agesa, ambaye ni mhudumu wa bodaboda, alikuwa akimnajisi baada ya kumpiga kila mara mamake akiwa hayuko nyumbani.

Nduku na Agesa kwa wamefikishwa mahak**ani leo Ijumaa Juni 25, 2022.

Mwezi jana, Wizara ya Afya iliripoti kuwa zaidi ya watoto 9,484 walinajisiwa mwaka jana, wengi wao wakiambukizwa magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi.

Watoto hao wwalikuwa kati ya umri wa miaka 12 na 17 kwa mujibu wa Mfumo wa Usimamizi wa Afya Nchini ambao huweka rekodi zote za matibabu katika hospitali na vituo vya afya vya umma.

Kesi za unajisi zinapaswa kuripotiwa kabla ya saa 72 kukamilika ili kumwezesha mwathiriwa kupata dawa za kuzuia maambukizi ya magonjwa ya zina kando na kuwasaidia madaktari kupata ushahidi wa kutumiwa dhidi ya wahusika

Mwanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi Buhalahala Johnson Thomas mwenye umri wa miaka 14 amekutwa amefariki dunia ...
21/06/2022

Mwanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi Buhalahala Johnson Thomas mwenye umri wa miaka 14 amekutwa amefariki dunia huku akiwa ametelekezwa pembeni ya Mto mita 120 kutoka Barabarani wilayani Geita Mkoani Geita.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa Mtoto huyo alitoka nyumbani kwao kwa kutumia usafiri wa Bajaji iliyokuwa inaendeshwa na Benson Theophili kuelekea Buhalahala Centre kwa ajili ya kushonewa sare za Shule.

RPC Mwaibambe amesema mara ya mwisho Mtoto huyo alionekana na Mwanafunzi mwenzie ambaye jina limehifadhiwa akielekea Barabarani tofauti na alipokuwa anaishi na hakuonekana tena mpaka alipokutwa amefariki siku ya tarehe 18 mwezi huu huku uchunguzi ukioneshwa mwili huo ulifikishwa eneo ulipokutwa na Watu wasiojulikana.

Amefafanua kuwa mwili wa marehemu baada ya uchunguzi ulibainika kuwa na majeraha mguu wa kushoto ukiwa umepondwa na kitu kizito na jicho kuumizwa na kugeukia ndani.

Polisi wamesema bado uchunguzi unaendelea na hakuna ambaye amek**atwa mpaka sasa kuhusiana na tukio hilo.

KARIBU MAGAZETINI LEO JUMATATUJUNE 20 2022Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Ma...
19/06/2022

KARIBU MAGAZETINI LEO
JUMATATU
JUNE 20 2022

Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.



Magazeti yamerudi
Support us
usisahau kusubscribe kwenye youtube channel yetu kwa kufata link yetu hapo chini
https://youtube.com/c/OCMANTv
Ahsantee

KARIBU MAGAZETINI LEO IJUMAMOSIJUNE 18 2022Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za M...
17/06/2022

KARIBU MAGAZETINI LEO
IJUMAMOSI
JUNE 18 2022

Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.



Magazeti yamerudi
Support us
usisahau kusubscribe kwenye youtube channel yetu kwa kufata link yetu hapo chini
https://youtube.com/c/OCMANTv
Ahsantee

KARIBU MAGAZETINI LEO IJUMAAJUNE 17 2022Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Maga...
16/06/2022

KARIBU MAGAZETINI LEO
IJUMAA
JUNE 17 2022

Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.



Magazeti yamerudi
Support us
usisahau kusubscribe kwenye youtube channel yetu kwa kufata link yetu hapo chini
https://youtube.com/c/OCMANTv
Ahsantee

https://youtu.be/CoUHifoQr-s
16/06/2022

https://youtu.be/CoUHifoQr-s

TAZAMA! BALOZI POLEPOLE AKIZUNGUMZA BAADA YA KUWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MALAWI👉🏻👇🏻

KARIBU MAGAZETINI LEO AL HAMISIJUNE 16 2022Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za M...
16/06/2022

KARIBU MAGAZETINI LEO
AL HAMISI
JUNE 16 2022

Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.



Magazeti yamerudi
Support us
usisahau kusubscribe kwenye youtube channel yetu kwa kufata link yetu hapo chini
https://youtube.com/c/OCMANTv
Ahsantee

Mkusanyiko huu wa picha unaonyesha watu wakitoa damu katika kituo cha damu kwenye Siku ya Wachangia Damu Duniani huko La...
15/06/2022

Mkusanyiko huu wa picha unaonyesha watu wakitoa damu katika kituo cha damu kwenye Siku ya Wachangia Damu Duniani huko Lahore, Pakistani. Siku ya Wachangia Damu Duniani huadhimishwa Juni 14 kila mwaka.

KARIBU MAGAZETINI LEO JUMATANOJUNE 15 2022Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Ma...
14/06/2022

KARIBU MAGAZETINI LEO
JUMATANO
JUNE 15 2022

Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.



Magazeti yamerudi
Support us
usisahau kusubscribe kwenye youtube channel yetu kwa kufata link yetu hapo chini
https://youtube.com/c/OCMANTv
Ahsantee

KARIBU MAGAZETINI LEO JUMANNEJUNE 14 2022Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Mag...
13/06/2022

KARIBU MAGAZETINI LEO
JUMANNE
JUNE 14 2022

Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.



Magazeti yamerudi
Support us
usisahau kusubscribe kwenye youtube channel yetu kwa kufata link yetu hapo chini
https://youtube.com/c/OCMANTv
Ahsantee

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akisalimiana na wananchi wa Tarafa ya Loliondo katika Kijiji cha Soiti s...
13/06/2022

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akisalimiana na wananchi wa Tarafa ya Loliondo katika Kijiji cha Soiti sambu wilaya ya Ngorongoro mkoa wa Arusha hii leo Juni 13, 2022.

https://youtu.be/hP0-yhVLtTY
12/06/2022

https://youtu.be/hP0-yhVLtTY

Wanao potosha habari kubusu ache kufanya hivyo nikuleta taharuki kwa wananchi Video from OCMAN TV HEAD QUATOR

KARIBU MAGAZETINI LEO JUMATATUJUNE 113 2022Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za M...
12/06/2022

KARIBU MAGAZETINI LEO
JUMATATU
JUNE 113 2022

Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.



Magazeti yamerudi
Support us
usisahau kusubscribe kwenye youtube channel yetu kwa kufata link yetu hapo chini
https://youtube.com/c/OCMANTv
Ahsantee

KARIBU MAGAZETINI LEO JUMAMOSiJUNE 11 2022Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Ma...
10/06/2022

KARIBU MAGAZETINI LEO
JUMAMOSi
JUNE 11 2022

Karibu Msomaji wetu upitie habari kuu katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.



Magazeti yamerudi
Support us
usisahau kusubscribe kwenye youtube channel yetu kwa kufata link yetu hapo chini
https://youtube.com/c/OCMANTv
Ahsantee

RC MAKALLA AELEKEZA MACHINJIO YA VINGUNGUTI KUKAMILIKA KABLA YA AUGUST 30 MWAKA HUU- Achoshwa na "Danadana" za kila siku...
10/06/2022

RC MAKALLA AELEKEZA MACHINJIO YA VINGUNGUTI KUKAMILIKA KABLA YA AUGUST 30 MWAKA HUU

- Achoshwa na "Danadana" za kila siku.

- Asema ziara za Rais Samia Suluhu Hassan nje ya Nchi zimefungua Fursa ya Biashara ya Nyama.

- Ataka *Mkandarasi kusimamiwa kikamilifu.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ameelekeza Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam kumsimamia kikamilifu Mkandarasi anaefanya Ujenzi wa chumba Cha kuhifadhi Nyama (Cold room) na Mabucha ya Nyama kwa kuhakikisha kazi inafanyika
usiku na mchana ili ifikapo August 30 Mwaka huu machinjioni iwe imekamilika.

RC Makalla ametoa maelekezo hayo alipofanya ziara kwenye machinjio hiyo ambayo Ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 15.4 na Sasa Mradi umefikia Asilimia 97.

Aidha RC Makalla amesema Ziara za Rais Samia Suluhu Hassan nje ya Nchi zimefungua Fursa ya Biashara ya Nyama hivyo ni lazima machinjio ikamilike kwa mustakabali wa Soko la Nyama nje ya Nchi.

Hata hivyo RC Makalla amewataka Wafanyabiashara wa Nyama kwenye machinjio hiyo kubadilika kwa kufuata utaratibu watakaopewa wa kufanya biashara kwenye Mabucha ambayo yanatarajiwa kukamilika Juni 15mwaka huu.

Kwa mujibu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam machinjio imechelewa kuanza kutumika Kutokana na kutokamilika kwa Cold room, Mabucha ya Nyama, tank la maji, eneo la kuhifadhi mbolea, mageti na sehemu ya kuosha miguu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe...
10/06/2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Queen Sendiga kutokana na vifo vya watu 19 katika ajali ya barabarani.

Aiali hiyo imetokea alfajiri ya leo Alhamisi Juni 10, 2022 katika Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa na kusababisha vifo vya wanaume 14, wanawake 4 na mtoto mmoja wa k**e.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, ACP Allan Bukumbi, basi dogo la abiria aina ya Coaster lililokuwa likisafiri kutoka jijini Dar es Salaam kwenda Iringa liligonga lori lililokuwa limeharibika katika eneo hilo.

Wakati majeruhi wakiwa wanaokolewa lilitokea lori lingine lililopoteza muelekeo na kugonga tena Coaster hiyo pamoja na majeruhi waliokuwa wanaokolewa

Watu 19 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali iliyotokea eneo la Mafinga mkiani Iringa leo Ijumaa J...
10/06/2022

Watu 19 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali iliyotokea eneo la Mafinga mkiani Iringa leo Ijumaa Juni 10, 2022.

Ajali hiyo imehusisha Lori aina ya Scania lenye namba za usajili T 736 AAE lililokuwa limebeba mchanga na Coaster yenye namba za usajili T 542 DQV.

Akithibitisha kutokea ajali hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, ACP Allan Bukumbi amesema ajali imesababisha vifo zaidi ya 10 akisema kuwa taarifa ziaidi zitatolewa baadaye

"Ni kweli ajali imetokea na inasadikika watu zaidi 10 wamepoteza maisha papo hapo," amesema.IMG_20220610_112557

Akitoa taarifa kwa Mkurugenzi wa Mji wa Mafinga, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Mafinga, Dk. Victor Msafiri amesema ajali hiyo imesababisha vifo vya watu 19 na majeruhi ambao bado wanaendelea kupatiwa matibabu.

Amesema majeruhi wanaendelea kupata matibabu na miilii ya marehemu baadhi imeshatambulika na wengine wanaendelea kutambuliwa na jeshi la polisi.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Mafinga Mji, Happiness Laizer amewatembelea majeruhi na kuwapa pole huku akiwaomba Madaktari kuwapa hudumu stahiki ili hali zao ziweze kutengemaa kwa haraka.

KARIBU MAGAZETINI LEO IJUMAAJUNE 10 2022   Magazeti yamerudi Support  us usisahau kusubscribe kwenye youtube channel yet...
09/06/2022

KARIBU MAGAZETINI LEO
IJUMAA
JUNE 10 2022



Magazeti yamerudi
Support us
usisahau kusubscribe kwenye youtube channel yetu kwa kufata link yetu hapo chini
https://youtube.com/c/OCMANTv
Ahsantee

11/05/2022
*WATANZANIA TUSIPOTOSHWE KUHUSU THE ROYAL TOUR, WASOMI WA FILAMU NA WAIGIZAJI MSIKAE KIMYA, ELEZENI KUHUSU PRIMARY RIGHT...
07/05/2022

*WATANZANIA TUSIPOTOSHWE KUHUSU THE ROYAL TOUR, WASOMI WA FILAMU NA WAIGIZAJI MSIKAE KIMYA, ELEZENI KUHUSU PRIMARY RIGHT NA SECONDARY RIGHT KWENYE UIGIZAJI*

NA
EMANUEL MARTINE
0623712600

1. Kuna watu wanahoji kuhusu umiliki wa The Royal Tour.

*Madhumuni ya The Royal Tour ni kuitangaza Nchi na vivutio vyake na kuionesha Dunia kuwa kuna nchi inaitwa Tanzania.*

Kampuni ya peter grrenberg sio wamiliki wa kila kitu. Umiliki kwenye uigizaji kuna hati miliki na hati shiriki *(Kwenye uigizaji kuna primary right na secondary right)*. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe *SAMIA SULUHU HASSAN ametimiza malengo ya kuitangaza Nchi yetu, kuvutia watalii kwenye vivutio vyetu na kuisemea mema Nchi yetu ili kupata wawekezaji kwenye Sekta* mbalimbali nchini.

Peter greenberg kwenye The Royal Tour wamepewa kazi ya kumili katika hati miliki kwasababu ndio wenye jina la THE ROYAL TOUR na Tanzania ni Nchi ya 9 kutumia jina hilo, ingekuwa jina sio The Royal Tour wasingepewa hati miliki ya The Royal Tour na pia wamepewa kusambaza kwenye TV 360 za marekani na Duniani ijue kuwa kuna Nchi inaitwa Tanzania.

Rais SAMIA SULUHU HASSAN na serikali wana hati miliki ya ushiriki na kusambaza pamoja na haki zote za kufanyia chochote filamu hiyo ya The Royal Tour. *Kwanini hati miliki kwenye The Royal Tour wamepewa kampuni ya peter greenberg kwasababu wao ndo waanzilishi wa jina la THE ROYAL TOUR kwa Nchi Zaidi ya 9.* Kampuni ya peter greenberg.

2. Kwanini kampuni ya Amazon imepewa kuuza??

Kwasababu ndio wauzaji wakubwa wa filamu mbalimbali kutoka kokote, tunanunua CD au movie mbalimbali kutoka Amazon na hata Wewe unayesoma Ujumbe huu k**a sio wewe familia Yako kila siku wanaenda kurusha movie pale Amazon. Lengo la serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuitangaza Nchi, kupitia Amazon wadau Wengi wanaweza kufika kununua CD hapo.

*Baada ya uzinduzi utakaofanywa Dar es salaam tuna amani TV mbalimbali za Tanzania zitakuwa zinaonesha bure filamu hiyo.*

Naomba watanzania tusiposhwe hii The Royal Tour ni kazi ya Sanaa k**a zilivyo kazi za sanaa zingine, Mhe Rais SAMIA SULUHU HASSAN amecheza filamu hiyo alivua URAIS wake ili aweze kufanya Kazi ya Sanaa kwa weledi. Muigiza ndani ya The

https://youtu.be/j4KYR9XFADQ
28/04/2022

https://youtu.be/j4KYR9XFADQ

UVCCM TAIFA :Nukuu za Makamu Mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi Tanzania Bara *Ndugu. ABDULRAHMAN OMAR KINANA* katika ukumbi wa Mount Meru Jijini Arusha...

27/04/2022
26/04/2022

mambo mazuri yapo youtube sasa link kwenye bio yangu
karibuni sana ukisubscribe itapendezaa

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when OCMAN TV. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to OCMAN TV.:

Videos

Share

Category

Nearby media companies


Other Media in Dar es Salaam

Show All

You may also like